Tundu Lissu: Suala la Bandari halihitaji kuamuliwa na Mahakama za Sheria bali Mahakama za Umma. Gesi yote, Dhahabu yote na sasa Bandari vimekwenda!

Tundu Lissu: Suala la Bandari halihitaji kuamuliwa na Mahakama za Sheria bali Mahakama za Umma. Gesi yote, Dhahabu yote na sasa Bandari vimekwenda!

Hivi tuna uhakika kama hawa CCM ni watanzania wenzetu au ni binadamu kama sisi kweli?
Mambo wanayofanya kwa kuuza kitapeli na kifisadi raslimali za Taifa ni kama sio binadamu hawa!
Wanafanya mambo yanayofanana na shetani kabisa na cha ajabu majuha wanashangalia!
Anyway, Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo yupo na atawalipa kwa ubaya wanaotufanyia wa Tz.
 
Mpira,bettin,bongofleva..ndiyo tunayoweza,kweli watu kutoka visiwani wawili ndio watuuzie rasilimali zetu watanganyika kweli?!Sisi tukienda kwao ni kebehi tu tushakapo pale bandarini,utasikia machogo hayo wanatuita.Ngoja tuone mwisho wake.CCM mna juhudi kweli ya kuuchochea moto sijui ndio ukilaza au kuvimbiwa!
 
Hii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!!

Duniani kote hakuna uhuru uliopatikana mahakamani!!

Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Lakini uamuzi wa Mwambukusi unazidi kupigilia msumari kuwa kwa mfumo uliopo, kamwe hatutoboi. Vijana wa tanganyika mpoo? ama mko bize na masuala ya simba na yanga? Tusipo amka tutaendelea kudharauliwa siyo tukiwa nje ya nchi tu hata hapa hapa bongo.
 
Kama wewe hujui kuwa mawakili wote ni maafisa wa Mahakama basi wewe ndiye mwehu na juha mkubwa
Nawe utakuwa mwehu zaidi ya Lissu. Unafikiri sijui kuwa mawakili ni Maafisa wa Mahakama Kuu? Ninachokiuliza, anajiitaje Afisa wa Mahakama Kuu wakati anaiponda kuwa haitendi haki? Unawezaje kulikata tawi ulilolikalia? Huo ndio wehu wa Lissu.
 
Hii inanikumbusha kitabu cha The Godfather!! Haki dhidi ya serikali huwezi ipata mahakamani!!

Duniani kote hakuna uhuru uliopatikana mahakamani!!

Nilimshangaa mno Mwabukusi!
Kuna njia.3 za kudai haqi!
1- Diplomacy (pamoja na kushitaki...)
2-Violance (maadamano, migomo...)
3-combat. (Silaha.....)
 
Kenge huwa hasikii hadi atokwe damu sikioni haya makelele ni chura kwa ccm,inahitajika kupitia njia ngumu baadae vizazi vinehemeke aman imetupumbaza,hatuwezi taka pepo huku tunaogopa kufa.
 
Back
Top Bottom