Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Tanzania haiwezi kuishi bila dunia ila dunia inaweza kuishi bila Tanzania

akasema akishinda uraisi basi atahakikisha anarudisha mahusiano mema ya Tanzania na nchi za magharabi ambazo Magufuli anaonekan a kujitenga nazo.
Mh Rais JPM wala hajajitenga na hizo nchi, bali amejikita zaidi katika kuhakikisha rasilimali za Tanzania zote zinanufaisha kwanza Tanzania na watu wake.

Hivyo hizo nchi labda zimeamua kujitenga zenyewe baada ya kuona TZ inasonga mbele chini ya awamu hii ya JPM. TZ haiwezi kufanya dhambi ya kujitenga na majirani zake.
 
Well said
 
Wakala wa wazungu huyo achana nae mkuu,keshapewa mpunga sasa anahangaika kuwaridhisha wanaume Ulaya.
Nimeanza kupat wac wac na huyu jamaa kwenye hii miaka 3 aliyokuwa nje ya nchi kimatibabu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakuna wala haijatokea nchi iliyoweza kujiendeleza yenyewe bila kutegemea nchi zingine. Tanzania tunawategemea sana hao mabeberu kama mnavyo waita kwa kila hali. Hayo mabeberu yakituwekea vikwazo leo nadhani kabla hata ya uchaguzi tutakuwa tumelia Poo! Ujamaa ulikufa sio kwa sababu tullikuwa hatuna marafiki China na Sovieti. Tulikuwa nao lakini hata chumi zao zinawategemea USA. Tusitafute uadui na waliokwisha piga hatua. Hatulivunji gari la mtoto kwa kuwa ameanza kuinua mguu.
 
Good
 
Well Said [emoji123]
 
Kama hatupimi mbona na tuna korona mbona hatufi ? Mbona kenya tu hapa majiran wanakufa
Listen you little minded staff! I work with Kenyans right here and they are very straight, Corona japo inatangazwa Kenya lakn hakuna mwenye uhakika what is going on ile ni nchi ya wapigaji nachochukia Mimi ni kutoa credit za bure, huwezi kuzuia air Bourne disease kwa maombi tu a kwa inscientific measures kama kujifukiza tunadanganyana mchana kweupe
 
Tofautisha uhusiano mzuri na uhusiano wa kibalozi.
N.korea ina uhusiano na Ujerumani lakini ujerumani ni moja wapo wa nchi iliyo iwekea vikwazo N.korea.
Iran ina uhusiano kibalozi na karibia mataifa yote ya ulaya lakini umoja wa ulaya umeliwekea vikwazo taifa hilo.
 
Wale genetically born Wana akili, Sasa we linganisha na watu wako hata kutengeneza choo hawaeezi wanajisaidia porini Kama ngedere,
Sisi bado Sana ku catch up na dunia inabidi tusaidiwe Kwanza Kuna generation zitakuja kustaarabika baadaye
Mjinga kabisa wewe na wanao like
 
Lisu anapenda ufisadi, anataka aunge juhudi kufunga nchi na kuzuia watu wasifanye kazi kisa corona. Mbona sasa mataifa ya kigeni wanafurahia Tanzania kuliko Kenya?
 
Sisi tumetake risk wa kufa afe wa kuishi aishi na hicho kimesaidia, maana dunia haina full understanding na Corona it's a new disease, kwamba Kama una immunity ya kutosha you will survive, most of viral disease ipo hivyo kama nyie wajanja ebu anzen kuomba ukimwi uishe
 
N Ni kweli tupu
 
Tanzania hii hii "Shithole Country" au nyingine.
 
Ila wahuni wa singeli sio watu, Leo magufuli na ubabe wake wote wahuni wamempigisha magoti.

Last time walimchezesha singeli
 
Nafikiri issue siyo kujitenga, Tanzania haijitengi ila inachagua marafiki wenye faida na siyo marafiki wanyonyaji
Marafiki wenye faida wap hao China au ?haaaaa daah.
Hivi zimbabwe mpaka fedha yake inageuka makaratasi yasiyo kuwa thamani yeyote mgabe hakuwa rafiki wa china?
Na sasa hivi wapo wanawapigia magoti mabeberu ili wawa ondolee vikwazo akiwemo huyo jiwe mnao msifu eti ni kiboko ya babeberu.
Mkuu kwa sasa Tz haijawa na ubavu wowote wa kuegemea upande,ww kama unaionaga Iran inavyo zitunishia kifua nchi za magharibi sisi huo ubavu hatuna hata kidogo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…