Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Tanzania haiwezi kuishi bila dunia ila dunia inaweza kuishi bila Tanzania

Aisee...! bado anapita Mule mule...kuwa Lissu anatudharau watanzania. Na hii inahitimisha kile nilichokuwa nimekidhani kwa Lissu, kuwa naweza kutuuza watanzania kwa mafungu!

Yaani kabisa, unawania nafasi ya kuwaongoza watanzania halafu unatoa kauli 'irresponsible' kama hizi kuwa hauamini katika uendelevu wa uhai wa Taifa lako!! Nchi nyingi...kauli kama hii inaweza kuchukuliwa kama 'uhaini'.

Hata hivyo, ngoja nipate uhakika kama kayasema haya kweli ama la! Najua ni kipindi cha kampeini chochote cha weza kuletwa JF.
 
Wakuu habarini za jioni,

Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu yenu.

Nimeona niulete huu uzi wa mheshemiwa Tundu Lisu hapa tuujadili ili tuone kama kweli hoja hii ina mashiko . Nimemsikiliza huu mheshimiwa (Tundu Lisu) akiwa Shinyanga anasema kuwa Tanzania haiwezi kuishi bila Dunia ila Dunia inaweza kuishi bila Tanzania, na akasema akishinda uraisi basi atahakikisha anarudisha mahusiano mema ya Tanzania na nchi za magharabi ambazo Magufuli anaonekan a kujitenga nazo.

Je ni kweli kuwa Tanzania haiwezi kuendelea bila mahusiano mema na nchi za kibepari ? Kama ni kweli Je vipi kuhusu nchi kama Korea Kaskazini na Cuba ambazo ni kama zimetengwa na ulimwengu hasa mataifa makubwa lakini mbona wanaishi ?

Ukiangalia korea kaskazini ina uhusiano na China na Urusi pekee lakini Je mbona wanaendelea kusonga mbele na wameweza hadi kutengeza silaha za Nuclear kuwatisha hadi wamarekani, nawasilisha
Wakala wa wazungu huyo achana nae mkuu,keshapewa mpunga sasa anahangaika kuwaridhisha wanaume Ulaya.
 
Aisee...! bado anapita Mule mule...kuwa Lissu anatudharau watanzania. Na hii inahitimisha kile nilichokuwa nimekidhani kwa Lissu, kuwa naweza kutuuza watanzania kwa mafungu!

Yaani kabisa, unawania nafasi ya kuwaongoza watanzania halafu unatoa kauli 'irresponsible' kama hizi kuwa hauamini katika uendelevu wa uhai wa Taifa lako!! Nchi nyingi...kauli kama hii inaweza kuchukuliwa kama 'uhaini'.

Hata hivyo, ngoja nipate uhakika kama kayasema haya kweli ama la! Najua ni kipindi cha kampeini chochote cha weza kuletwa JF.
Mkuu acha mawazo mgando dunia ya sasa hakuna taifa lenye uwezo wa kuishi bila kutegemea mataifa mengine narudia halipo na halitokuja kutokea.
 
Dunia ya sasa hakuna taifa linalo weza kuishi bila kutegemea taifa lingine narudia halipo.
Ni nchi gani ambayo Tanzania haina uhusiano nayo!? Usilete habari za Kenya! Kenya ni watani zetu tunajuana. Tumerejesha uhusiano karibu na nchi nyingi tulizokuwa tunapisha na nazo zikiwepo, Morocco, na Izrael! Kusema Tanzania haina uhusiano na Ulaya ni uongo wa mchana kweupe. Ndiyo maana Yuda wa Mufindi kagutuka kuwa Lissu anawaongopea watanzania!
 
Wakuu habarini za jioni,

Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu yenu.

Nimeona niulete huu uzi wa mheshemiwa Tundu Lisu hapa tuujadili ili tuone kama kweli hoja hii ina mashiko . Nimemsikiliza huu mheshimiwa (Tundu Lisu) akiwa Shinyanga anasema kuwa Tanzania haiwezi kuishi bila Dunia ila Dunia inaweza kuishi bila Tanzania, na akasema akishinda uraisi basi atahakikisha anarudisha mahusiano mema ya Tanzania na nchi za magharabi ambazo Magufuli anaonekan a kujitenga nazo.

Je ni kweli kuwa Tanzania haiwezi kuendelea bila mahusiano mema na nchi za kibepari ? Kama ni kweli Je vipi kuhusu nchi kama Korea Kaskazini na Cuba ambazo ni kama zimetengwa na ulimwengu hasa mataifa makubwa lakini mbona wanaishi ?

Ukiangalia korea kaskazini ina uhusiano na China na Urusi pekee lakini Je mbona wanaendelea kusonga mbele na wameweza hadi kutengeza silaha za Nuclear kuwatisha hadi wamarekani, nawasilisha
Kitendo cha kusema dunia inaweza kuwepo bila tanzania ni kwamba sisi tupo kwa ajili ya mabeberu.watutumikishe wanavo taka.uchumi unachanganywa na wanasiasa
.
Kuna kitu nilikisoma kinaitwa :economic hitman

Ukisoma hii utaona jinsi gani kuwa lisu kuna sehemu hana itaji na yeye ushauri japo anajua sheria
 
Watz na ccm yenu mnashindwa kutengeneza hata toothpick tu halafu mnajilinganisha na North Korea. Pumbavuuu

kwan unadhan innovation inafanywa na serikali ama watu binafsi, we ulidhan computer zimeletwa na serikali ya putin? watu binafsi ndo wanaofanya innovation, ukiona nchi yako haipo then sio serikali bali the people themselves, magufuli anajitahidi kuweka uwekezaji mtu anakwambia mishahara, sasa unaona nan anawaza pumba apa?
 
Wale genetically born Wana akili, Sasa we linganisha na watu wako hata kutengeneza choo hawaeezi wanajisaidia porini Kama ngedere,
Sisi bado Sana ku catch up na dunia inabidi tusaidiwe Kwanza Kuna generation zitakuja kustaarabika baadaye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu wanachambia RUNGU
 
Aiseee Ujamaa ulianguka miaka mingi iliopita.
Wakuu habarini za jioni,

Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu yenu.

Nimeona niulete huu uzi wa mheshemiwa Tundu Lisu hapa tuujadili ili tuone kama kweli hoja hii ina mashiko . Nimemsikiliza huu mheshimiwa (Tundu Lisu) akiwa Shinyanga anasema kuwa Tanzania haiwezi kuishi bila Dunia ila Dunia inaweza kuishi bila Tanzania, na akasema akishinda uraisi basi atahakikisha anarudisha mahusiano mema ya Tanzania na nchi za magharabi ambazo Magufuli anaonekan a kujitenga nazo.

Je ni kweli kuwa Tanzania haiwezi kuendelea bila mahusiano mema na nchi za kibepari ? Kama ni kweli Je vipi kuhusu nchi kama Korea Kaskazini na Cuba ambazo ni kama zimetengwa na ulimwengu hasa mataifa makubwa lakini mbona wanaishi ?

Ukiangalia korea kaskazini ina uhusiano na China na Urusi pekee lakini Je mbona wanaendelea kusonga mbele na wameweza hadi kutengeza silaha za Nuclear kuwatisha hadi wamarekani, nawasilisha
Dunia sasa ni ya Kibepari, hata hao wachina, warusi ni wabepari wenye ujamaa kiasi.

Itoshe kusema ivi..sio tu Tanzania, Bali Afrika nzima inategemea Dunia ili iishi..

Kusema ukweli, Dunia haitegemei Waafrika .

Wee fikiria, Kama Uchina na Urusi saizi wanalia lia sababu Dunia imewakamata.... Sembuse Tanzani????

LISSU YUKO SAHIHI.... ALIJIFANYA MUGABE, NCHI ALIIFIKISHA WAPI???
 
Wale genetically born Wana akili, Sasa we linganisha na watu wako hata kutengeneza choo hawaeezi wanajisaidia porini Kama ngedere,
Sisi bado Sana ku catch up na dunia inabidi tusaidiwe Kwanza Kuna generation zitakuja kustaarabika baadaye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umeniacha hoi sana na hoja yako....lakini hivi unajua kuwa mtu huwa anapata akili za uvumbuzi wa mambo kutokana na mazingira pia, mfano ebu nambie ikiwa leo serikali ikapiga marufuku bidhaa kutoka nje ya nchi mfano magari au simu, believe me ndani ya miaka 10 au 20 mtakuwa mtaanza kutengeza magari yenu na simu zenu mpaka wenyewe mtajiulza akili mmezitoa wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kitendo cha kusema dunia inaweza kuwepo bila tanzania ni kwamba sisi tupo kwa ajili ya mabeberu.watutumikishe wanavo taka.uchumi unachanganywa na wanasiasa
.
Kuna kitu nilikisoma kinaitwa :economic hitman

Ukisoma hii utaona jinsi gani kuwa lisu kuna sehemu hana itaji na yeye ushauri japo anajua sheria

Sasa kama haupo kwa ajili ya Mabebru ule Mchanga (Makinikia) mliuzuia kwa Sababu mna wadai Mabeberu Trillions of Money ,mmepata ngapi kulinganisha na ile mliyo sema mna ibiwa !?.

Tuliaminishwa hapa kila Mtu atapata Noah kutokana na Pesa tunazowadai Mabeberu ,kumbe tunalishana Matango pori tupu.
 
Ni nchi gani ambayo Tanzania haina uhusiano nayo!? Usilete habari za Kenya! Kenya ni watani zetu tunajuana. Tumerejesha uhusiano karibu na nchi nyingi tulizokuwa tunapisha na nazo zikiwepo, Morocco, na Izrael! Kusema Tanzania haina uhusiano na Ulaya ni uongo wa mchana kweupe. Ndiyo maana Yuda wa Mufindi kagutuka kuwa Lissu anawaongopea watanzania!
Tofautisha uhusiano wa kibalozi na uhusiano mzuri hata N.korea ina uhusiano wa kibalozi na ujerumani lakini kati ya mataifa yaliyo iwekea vikwazo vinavyo iumiza N.korea ni Ujerumani.
Wakati Nato inaivamia Libya libya ilikuwa na uhusiao wa kibalozi na mataifa yote yaliyo husika na kuivamia.
 
Corona tuliishinda bila kutegemea taifa lolote duniani liwe la ulaya ubelgiji marekani au Kenya ambayo kutwa Chadema hukusifia kuwa kuko vizuri kwa matibabu

Lisu mwongo Ushahidu ni ushindi wetu dhidi ya corona kuwa taifa likiamua laweza survive bila msaada wa nchi yoyote
Nimekudharau mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom