Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakala wa wazungu huyo achana nae mkuu,keshapewa mpunga sasa anahangaika kuwaridhisha wanaume Ulaya.Wakuu habarini za jioni,
Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu yenu.
Nimeona niulete huu uzi wa mheshemiwa Tundu Lisu hapa tuujadili ili tuone kama kweli hoja hii ina mashiko . Nimemsikiliza huu mheshimiwa (Tundu Lisu) akiwa Shinyanga anasema kuwa Tanzania haiwezi kuishi bila Dunia ila Dunia inaweza kuishi bila Tanzania, na akasema akishinda uraisi basi atahakikisha anarudisha mahusiano mema ya Tanzania na nchi za magharabi ambazo Magufuli anaonekan a kujitenga nazo.
Je ni kweli kuwa Tanzania haiwezi kuendelea bila mahusiano mema na nchi za kibepari ? Kama ni kweli Je vipi kuhusu nchi kama Korea Kaskazini na Cuba ambazo ni kama zimetengwa na ulimwengu hasa mataifa makubwa lakini mbona wanaishi ?
Ukiangalia korea kaskazini ina uhusiano na China na Urusi pekee lakini Je mbona wanaendelea kusonga mbele na wameweza hadi kutengeza silaha za Nuclear kuwatisha hadi wamarekani, nawasilisha
Mkuu acha mawazo mgando dunia ya sasa hakuna taifa lenye uwezo wa kuishi bila kutegemea mataifa mengine narudia halipo na halitokuja kutokea.Aisee...! bado anapita Mule mule...kuwa Lissu anatudharau watanzania. Na hii inahitimisha kile nilichokuwa nimekidhani kwa Lissu, kuwa naweza kutuuza watanzania kwa mafungu!
Yaani kabisa, unawania nafasi ya kuwaongoza watanzania halafu unatoa kauli 'irresponsible' kama hizi kuwa hauamini katika uendelevu wa uhai wa Taifa lako!! Nchi nyingi...kauli kama hii inaweza kuchukuliwa kama 'uhaini'.
Hata hivyo, ngoja nipate uhakika kama kayasema haya kweli ama la! Najua ni kipindi cha kampeini chochote cha weza kuletwa JF.
Ni nchi gani ambayo Tanzania haina uhusiano nayo!? Usilete habari za Kenya! Kenya ni watani zetu tunajuana. Tumerejesha uhusiano karibu na nchi nyingi tulizokuwa tunapisha na nazo zikiwepo, Morocco, na Izrael! Kusema Tanzania haina uhusiano na Ulaya ni uongo wa mchana kweupe. Ndiyo maana Yuda wa Mufindi kagutuka kuwa Lissu anawaongopea watanzania!Dunia ya sasa hakuna taifa linalo weza kuishi bila kutegemea taifa lingine narudia halipo.
Kitendo cha kusema dunia inaweza kuwepo bila tanzania ni kwamba sisi tupo kwa ajili ya mabeberu.watutumikishe wanavo taka.uchumi unachanganywa na wanasiasaWakuu habarini za jioni,
Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu yenu.
Nimeona niulete huu uzi wa mheshemiwa Tundu Lisu hapa tuujadili ili tuone kama kweli hoja hii ina mashiko . Nimemsikiliza huu mheshimiwa (Tundu Lisu) akiwa Shinyanga anasema kuwa Tanzania haiwezi kuishi bila Dunia ila Dunia inaweza kuishi bila Tanzania, na akasema akishinda uraisi basi atahakikisha anarudisha mahusiano mema ya Tanzania na nchi za magharabi ambazo Magufuli anaonekan a kujitenga nazo.
Je ni kweli kuwa Tanzania haiwezi kuendelea bila mahusiano mema na nchi za kibepari ? Kama ni kweli Je vipi kuhusu nchi kama Korea Kaskazini na Cuba ambazo ni kama zimetengwa na ulimwengu hasa mataifa makubwa lakini mbona wanaishi ?
Ukiangalia korea kaskazini ina uhusiano na China na Urusi pekee lakini Je mbona wanaendelea kusonga mbele na wameweza hadi kutengeza silaha za Nuclear kuwatisha hadi wamarekani, nawasilisha
Watz na ccm yenu mnashindwa kutengeneza hata toothpick tu halafu mnajilinganisha na North Korea. Pumbavuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu wanachambia RUNGUWale genetically born Wana akili, Sasa we linganisha na watu wako hata kutengeneza choo hawaeezi wanajisaidia porini Kama ngedere,
Sisi bado Sana ku catch up na dunia inabidi tusaidiwe Kwanza Kuna generation zitakuja kustaarabika baadaye
Kweli Jingalao,hiyo Tanzania si imeanza 1964!!!Tanzania ilikuwepo...Mtu wa kale aliishi Tanzania
Dunia sasa ni ya Kibepari, hata hao wachina, warusi ni wabepari wenye ujamaa kiasi.Wakuu habarini za jioni,
Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu yenu.
Nimeona niulete huu uzi wa mheshemiwa Tundu Lisu hapa tuujadili ili tuone kama kweli hoja hii ina mashiko . Nimemsikiliza huu mheshimiwa (Tundu Lisu) akiwa Shinyanga anasema kuwa Tanzania haiwezi kuishi bila Dunia ila Dunia inaweza kuishi bila Tanzania, na akasema akishinda uraisi basi atahakikisha anarudisha mahusiano mema ya Tanzania na nchi za magharabi ambazo Magufuli anaonekan a kujitenga nazo.
Je ni kweli kuwa Tanzania haiwezi kuendelea bila mahusiano mema na nchi za kibepari ? Kama ni kweli Je vipi kuhusu nchi kama Korea Kaskazini na Cuba ambazo ni kama zimetengwa na ulimwengu hasa mataifa makubwa lakini mbona wanaishi ?
Ukiangalia korea kaskazini ina uhusiano na China na Urusi pekee lakini Je mbona wanaendelea kusonga mbele na wameweza hadi kutengeza silaha za Nuclear kuwatisha hadi wamarekani, nawasilisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umeniacha hoi sana na hoja yako....lakini hivi unajua kuwa mtu huwa anapata akili za uvumbuzi wa mambo kutokana na mazingira pia, mfano ebu nambie ikiwa leo serikali ikapiga marufuku bidhaa kutoka nje ya nchi mfano magari au simu, believe me ndani ya miaka 10 au 20 mtakuwa mtaanza kutengeza magari yenu na simu zenu mpaka wenyewe mtajiulza akili mmezitoa wapi [emoji16][emoji16][emoji16]Wale genetically born Wana akili, Sasa we linganisha na watu wako hata kutengeneza choo hawaeezi wanajisaidia porini Kama ngedere,
Sisi bado Sana ku catch up na dunia inabidi tusaidiwe Kwanza Kuna generation zitakuja kustaarabika baadaye
Do you think we are safe? You can not be sure of the cause of death until you do a postmortem! Be cautiousKuna nduguyo au jirani aliyekufa kwa Corona ?
Kitendo cha kusema dunia inaweza kuwepo bila tanzania ni kwamba sisi tupo kwa ajili ya mabeberu.watutumikishe wanavo taka.uchumi unachanganywa na wanasiasa
.
Kuna kitu nilikisoma kinaitwa :economic hitman
Ukisoma hii utaona jinsi gani kuwa lisu kuna sehemu hana itaji na yeye ushauri japo anajua sheria
Nimetolea mfano kwa sababu we are all humans, au wao wakorea ni watu na sisi ni nyani labda unambie hapaKwa maana hiyo unaiona Tanzania kama Korea kaskazini au sio?
Nadhani aliandika kuchekesha tu [emoji16][emoji16][emoji16]Akili za kijinga kabisa hizi
Uko vizuri, ushahidi wote wa archelogia upoTanzania ilikuwepo...Mtu wa kale aliishi Tanzania
Tofautisha uhusiano wa kibalozi na uhusiano mzuri hata N.korea ina uhusiano wa kibalozi na ujerumani lakini kati ya mataifa yaliyo iwekea vikwazo vinavyo iumiza N.korea ni Ujerumani.Ni nchi gani ambayo Tanzania haina uhusiano nayo!? Usilete habari za Kenya! Kenya ni watani zetu tunajuana. Tumerejesha uhusiano karibu na nchi nyingi tulizokuwa tunapisha na nazo zikiwepo, Morocco, na Izrael! Kusema Tanzania haina uhusiano na Ulaya ni uongo wa mchana kweupe. Ndiyo maana Yuda wa Mufindi kagutuka kuwa Lissu anawaongopea watanzania!
Tunasaidiana ndiyo ila sasa inabidi tusaidiane katika usawa siyo yeye ana faidi kuliko sisiTunategemeana.
Ndo ukaifanye uje na hojahii uwa tunaita Home Work!
Nimekudharau mkuu.Corona tuliishinda bila kutegemea taifa lolote duniani liwe la ulaya ubelgiji marekani au Kenya ambayo kutwa Chadema hukusifia kuwa kuko vizuri kwa matibabu
Lisu mwongo Ushahidu ni ushindi wetu dhidi ya corona kuwa taifa likiamua laweza survive bila msaada wa nchi yoyote