Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Baada ya matamko ya Lissu ufanyike utafiti huru Lissu anakubalika kwa asilimia ngapi?CCM acheni kumshauri adui yenu.Kupotea kwake kisiasa ndio furaha yenu!
 
Sisi Tanzania vs TUNDU LISSU
 
I 'm forced to assume that this verbose and self-exiled politician is not that well upstairs, for what he spitted in this hurriedly submission.
Is he suffering a mental blindness, insensitive or is abscessed with jealous and egocentrism?. Time will tell.

Does his his mental faculties failed to register and translate accordingly what's transpiring on ground this time around, when the entire nation and the people of all walks of life are in grief and mourning their departed patriotic leader of our time! Quite unbelievable!

Our fore-father, mentors and traditions dictates that at such time of mourning, the best thing to do is to be sympathetic, speak positively OR to SHUT up!
 
Nafikiri pia anadhani kwamba kufa kwa mtu ndio mwisho wa madhara ya huyo mtu. Na kwa akili yake ilivyo fupi anakiona kifo cha Magufuli kama malipizi ya kupigwa kwake risasi . Poor that man!

Na anavyozidi kumwongelea Magufuli anazidi kuonyesha nguvu na impact ya Magufuli hata baada ya kifo chake. Kwamba hata baada ya kufa lakini bado anaishi, iwe mioyoni mwa waliompenda na hata wale ambao hawakumpenda. Na hasa hii ndio huwa signature ya watu wakuu, huwezi kuwaapuuza. Hawapuuziki kirahisi. Wanaishi milele. Sasa Lissu akifa leo atakumbukwa kwa kitu gani?
 
Kifo Cha Magufuli nilikijua Kabla Kabla Kabla hata Kabla Lissu hajajua,

Ubalozi wa China ulikuwa na una watu walionijuza Tarehe 8 . Hata Samia Kurekodi ile Clip akisaidiwa na Mabeyo wakaipost it wasn't easy

Kundi la Wahaya na Wasukuma lilitaka Jambo fulani kufanyika bila Kufuata taratibu na Katiba,

Pia Kuna jambo la Kujifunza kupitia quote hii ya Lissu


"I was the first to break the news that something strange was going on with Magufuli’s health. Following tips from credible sources in the United States and South Africa three days earlier, on 7 March, a Sunday, I tweeted that the president had not been seen in church that day, an unusual event for a president, whose weekly church attendances were the subject of live television coverage and an obligatory front-page story in all the major newspapers, both government-owned and privately held" by Lissu
 
Hapana ndoto yake kuu ni kuwa Rais,nadhani 2025 wasipompitisha CDM atahama hadi Chama.Shida ni kuwa he thinks he is too smart than the rest Members of CHADEMA.
Hicho ni Kiingereza cha wapi nyie CCM na mkalimani wenu wa uwanja wa Jamhuri. Eti ......too smart than...... Kweli ili uwe CCM sharti upitie mchujo ili kuona kama una upungufu wa akili ndipo ukubalike kuingia Lumumba.
 
Kwa hiyo na nyie kuendelea kumwongelea Lissu mnaonyesha nguvu na impact ya Lissu hata akiwa nje ya nchi? Kwani wewe inakuuma nini hao wawili kujibizana na kuzozana, kama anayezodolewa ana uwezo wa kujibu si mumuache ajibu? Au hawezi kujibizana tena?

Maana nakumbuka kabla hajapigwa risasi Lissu hao wawili walijibizana mmoja akiwa Dar na mwingine akiwa Dodoma. Yule wa Dar akamtumia kombora za risasi yule wa Dodoma. Sasa na wa Dodoma amejibu mapigo kwa kutuma Makombora ya "kuchomoa betri "za yule wa Dar. Acha wapambane, anayeshindwa atanyosha mikono.
 
Lissu kaamua kupiga msumari kwny kidonda kibichi!!

Ccm Risasi lazima ziwatese mpaka mwisho hii Karne
Mungu ni mtenda haki.
 

Kweli ndugu denooJ , TL si malaika kama ambavyo Jiwe/Chuma/Kichaa asivyo malaika. Kumtukuza TL au Jiwe/Chuma/Kichaa ni uzwazwa na ni kumvimbisha/kuwavimbisha vichwa,na kama tulivyoona/tuonavyo,vichwa vilivimba/vinavimba hasa,jambo ambalo halina afya kwa mustakabari mwema wa Taifa na wao binafsi.
 
Hii ni mada kabisa
 
Kumbe huenda hata uvumi wa kukwapuliwa mihela 'biotii' na hicho kikundi ovu unaweza kuwa kweli?!
 
Umemalizia vibaya mkuu,
Umgemalizia kusema, anapendwa na watu wenye dizaini kama yake, wale wanaopenda kudhihaki kazi ya Mungu, kuwasema vibaya maiti isiyoweza kujitetea, ni wapumbavu tu na waliofiliska kichwani kutukana maiti
 
Umemalizia vibaya mkuu,
Umgemalizia kusema, anapendwa na watu wenye dizaini kama yake, wale wanaopenda kudhihaki kazi ya Mungu, kuwasema vibaya maiti isiyoweza kujitetea, ni wapumbavu tu na waliofiliska kichwani kutukana maiti
 
Hicho ni Kiingereza cha wapi nyie CCM na mkalimani wenu wa uwanja wa Jamhuri. Eti ......too smart than...... Kweli ili uwe CCM sharti upitie mchujo ili kuona kama una upungufu wa akili ndipo ukubalike kuingia Lumumba.
Eee bwana kingereza noma: kwa grammer sahihi, neno "too"... lazima lifuatwe na neno "to". Kwa mfano: Zitto is too young to contest for presidency. I stand to be corrected! hata mimi nimekuja leo tu!!
 
Eee bwana kingereza noma: kwa grammer sahihi, neno "too"... lazima lifuatwe na neno "to". Kwa mfano: Zitto is too young to contest for presidency. I stand to be corrected! hata mimi nimekuja leo tu!!
Upo sahihi ndugu yangu. Sasa akili za hawa wafuasi wa CCM jamani!
 
Eee bwana kingereza noma: kwa grammer sahihi, neno "too"... lazima lifuatwe na neno "to". Kwa mfano: Zitto is too young to contest for presidency. I stand to be corrected! hata mimi nimekuja leo tu!!
too smart than- siyo kiingereza ni mkusanyiko wa maneno ya kiingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…