Tundu Lissu: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Eee bwana kingereza noma: kwa grammer sahihi, neno "too"... lazima lifuatwe na neno "to". Kwa mfano: Zitto is too young to contest for presidency. I stand to be corrected! hata mimi nimekuja leo tu!!
Hiyo "than" yake huyu mwanaCCM hutanguliwa na maneno kama bigger than....., smaller than...., shorter than....., smarter than.... taller than....... Nashauri Lumumba wafungua tuition ya beginners of English language learning.
 
Umemalizia vibaya mkuu,
Umgemalizia kusema, anapendwa na watu wenye dizaini kama yake, wale wanaopenda kudhihaki kazi ya Mungu, kuwasema vibaya maiti isiyoweza kujitetea, ni wapumbavu tu na waliofiliska kichwani kutukana maiti
Leo ni maiti na siyo CHUMA? JIWE?
 
Naona nikusaidie katika kazi za JMP:- Tundu lissu kula shaba kadhaa mchana kweupe! kutuma vifaru na wanajeshi kwenda unguja na pemba wakati wa uchaguzi kwa lengo moja tu, piga piga. Kukaa kimya wakati wananchi wake visiwani pemba na unguja wakiuawa na majeshi aliyoyatuma huko. Kulikalia kimya suali la wana uamsho na kutosema walipo au lini watahukumiwa. kutekwa watu na watu wasiojulikana na polisi kushindwa kuwajua watekaji japo kuwa baadhi ya waliotekwa waliachiliwa sehemu zilizojaa CCTV. Kufanya maendeleo kama infrastructure tanzania bara na kutofanya lolote tanzania visiwani hususan pemba. Kutembelea sehemu mbali mbali za tanzania bara na kusikiliza vilio vya wananchi isipokuwa visiwani zanzibar kama vile uraisi wake mwisho ni chumbe. Nadhani nitasita hapa kwa sasa.
 
Nampongeza Sana Lissu kwa hili chapisho
Na ninakubalina naye kuwa Watanzania tumepitia miaka mitano ya mateso ya Hali ya juu

Ilifikia kipindi yeye mwenyewe magu akawa anawaambia wananchi watakimbia mji kwa ugumu wamaisha, watu wakauawa, wakatekwa, na kufunguliwa mashtaka ya siyo ya kweli, bidhaa zikapanda bei wakulima wakadhulumiwa.

Vyombo vya habari vikapangiwa habari za kuandika,

Magufuli uende kuzimu ukateseke
Kwenye ziwa la moto
 
Hiyo "than" yake huyu mwanaCCM hutanguliwa na maneno kama bigger than....., smaller than...., shorter than....., smarter than.... taller than....... Nashauri Lumumba wafungua tuition ya beginners of English language learning.
Ahaahhaa, Ras Simba anatakiwa ahusike hapo. Taabu ni huyo aliyejaribu kumjibu Lissu, ni mara mia angetumia kiswahili chetu tu. Lissu kwa swala la lugha ni habari nyingine, Lumumba wanajua hivyo, na kila mtu anajua hivyo. Jamaa yuko vizuri.
 
Eeeenh Heee!

Imenibidi nikucheke kidogo.

Hukusoma kilichoandikwa, au umesoma lakini hukuelewa kitu.

Naona hapo umeungana na 35 wengine!

Watu wa aina yenu ndio mzigo mkubwa sana katika taifa hili.

Hata kama hukubaliani na huyo mwandishi, weka yako nawe tuone unayokubali. Lakini uwezo huo huna; unabaki kuangukia mipasho tu!
 
Ndugu Marais hulinda raia, hasa jamii za Lissu. Lissu alikuwepo kipindi cha Mkapa, JK, tena na mdomo wake "mpana" na ulimi mrefu?, Lkn hakuujumiwa. Kahujumiwa kipindi cha Magufuli, tabia za Magufuli dhidi ya anaotofautiana nao zajulikana!
By the way mabeberu ni akina nani hao?
 
Pretty much a comprehensive summary of the dictator's work.

I can hardly see any sanitizer powerful enough to clean up the mess associated with his five years in power.
 
Ahaahhaa, Ras Simba anatakiwa ahusike hapo. Taabu ni huyo aliyejaribu kumjibu Lissu, ni mara mia angetumia kiswahili chetu tu. Lissu kwa swala la lugha ni habari nyingine, Lumumba wanajua hivyo, na kila mtu anajua hivyo. Jamaa yuko vizuri.
Hilo hata huyu wanayezurula naye mitaani wakimchuuza analijua. Aligoma hata kuwa na mdahalo naye.
 
Umemalizia vibaya mkuu,
Umgemalizia kusema, anapendwa na watu wenye dizaini kama yake, wale wanaopenda kudhihaki kazi ya Mungu, kuwasema vibaya maiti isiyoweza kujitetea, ni wapumbavu tu na waliofiliska kichwani kutukana maiti
Wanaidhihaki maiti ni akina Majaliwa wanaoitembeza huko Dodoma, ZNZ, Mwanza Kisha Geita. Dar es Salaam ingetosha kuwakilisha nci nzima. Lakini watu wameamua kupiga hela Mara ya mwisho kabla Mama Samia hajaanza kudhibiti
 
Ukweli mchungu, bahati mbaya wanaojiita wanyonge hawawezi kuelewa
Keep on brother Lissu, you are on the way to become the greatest Tanzanian politician ever, I pray i be alive when that day comes💪
 
Baada ya matamko ya Lissu ufanyike utafiti huru Lissu anakubalika kwa asilimia ngapi?CCM acheni kumshauri adui yenu.Kupotea kwake kisiasa ndio furaha yenu!

Utayakubali matokeo au utaishia tena kusema “wamechakachua”?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…