Elimu eliimu elimu..comprehension kilikua kipimo cha ufahamu tukiwa shule. Ujibuj wa maswali ndy kilikua kipimo cha uelewa .Sishangai kuwa watu wanaweza kuelewa hivi na mwandishi ambae nae hakuelewa alichooandika akawa hajaelewa wasomaji wataelewa ama hawataelewa!!Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k
Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu
Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Tundu Lissu ni mpango wa Mungu. Kama Magufuli alimtuma Paul Makonda na kikundi chake wakamwagie mvua ya risasi, kisha wakamzike kijijini kwao Ikungi Singida. LAKINI Lissu hakufa
Na aliponusurika akapelekwa kutibiwa Nairobi na Belgium huku Magufuli akasitisha asilipiwe gharama za matibabu, akamnya g'anya mshahara na mafao ya ubunge akamnya g'anya na ubunge LAKINI Lissu HAKUFA
Bado akaja kugombea u-Rais na akawa na mvuto kuliko Magufuli na Magufuli analijuwa Hilo ndiyo maana akaamua KUIBA UCHAGUZI wote na kujipa 84%.
Magufuli pamoja na kulindwa na ma unduki na magari ya kudhibiti internet na kila kitu amekufa kizembe tu kwa kukaidi COVID19 na sasa maiti yake inazurulishwa kila mahali, LAKINI Tundu Lissu yuko HAI. Kama huamini katika Mungu hapa lazima UKUBALI kuwa MUNGU YUPO.
Usimchukulie Tundu Lissu kirahisi, anakubalika na kueleweka na WATANZANIA wengi sana. Tuombe uhai tuione 2025
Mkalimani Yuko wapi jamani?!
Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k
Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu
Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Jobless kama wewe ungechangiya 400 ya kuweka betri kwenye moyo.
Magufuli!Kazi za JPM
SGR, Stiglasgoji, Madaraja, upanuzi wa bandari, meli, Kota za bule Kwa wananchi wake, kufufua shirika la ndege n.k
Kazi za Tundu Lissu..
Kuitisha mandamano yamsaidie kuingia Ikulu.
Kutumia nguvu nyingi kupambana na wafu.
Kujiunga na mabeberu kuhakikisha bwawa la umeme halijengwi.
Kuungana na mabeberu kuyashawishi ili nchi yake mwenyewe iwekewe vikwazo.
Kutukana viongozi wote hata viongozi wa dini na kazi zote za kupinga maendeleo ya nchi yetu
Hapa Nani mwenye faida Kwa Nchi?
Unataka kusema naona unamuita mmeo akuteteeHuwa sicomment kwa watu wapumbavu,kaa pembeni pita kule kwenye Comment yangu,achia Wastaarabu wanaojua nini maana ya kupingana kwa Hoja. Narudia tena skip my Comment. Idiot. joka kuu unaona upuuzi kama huu tumeudiscuss kwa Thread ile nyingine. JF imevamiwa na vijana wapumbavu sana.
Tumekusikia MkalimaniKimombo kimenyooka kama rula.
tatizo kubwa kwa Lisu hasa ktk utawala huu uliokuwa wa Jiwe (R.I.P) ni kutokuwa mnafki, Lisu anakupa makavu yako kwa hoja mchana kweupe...jambo ambalo lilikuwa halikubaliki kabisa awamu ya tano!.
ilitakiwa kupongeza tuu kwa maneno yote matamu unayoyajua hapa duniani!.
Kama Baba na Babu yakoLisu ni mbwa.. Shoga