Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, the man who saw yesterday

Mambo yanaenda Kasi Sana. Leo wamachame wamebeba masalee kumuomba mzee baba msamaha
 
Watakaoharibu Amani ya Tanzania ni CCM
CCM ndiyo mshindi inakubalika sana na watz umeona Kanda ya Kaskazini jinsi Rais alivyopokelewa wakati last week mlikuwa mnasema atapopolewa mawe. Tukawaambia mjaribu muone tutakavyowafundisha adabu.
 
CCM ndiyo mshindi inakubalika sana na watz umeona Kanda ya Kaskazini jinsi Rais alivyopokelewa wakati last week mlikuwa mnasema atapopolewa mawe. Tukawaambia mjaribu muone tutakavyowafundisha adabu.
Nasema hivi mkishindwa kubalini kuachia madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…