Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, the man who saw yesterday

Mambo yanaenda Kasi Sana. Leo wamachame wamebeba masalee kumuomba mzee baba msamaha
 
Watakaoharibu Amani ya Tanzania ni CCM
CCM ndiyo mshindi inakubalika sana na watz umeona Kanda ya Kaskazini jinsi Rais alivyopokelewa wakati last week mlikuwa mnasema atapopolewa mawe. Tukawaambia mjaribu muone tutakavyowafundisha adabu.
 
Nasema hivi mkishindwa kubalini kuachia madaraka
 
Hili n kweli kabisa. Umma umesema ndio kwa Rais Magufuli na utathibitisha tar 28 jumatano ijayo
Kwa njia hii?

1603390521689.png
 
Back
Top Bottom