figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru.
Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe.
Amesema kuliko kufanya Uchaguzi katika mazingira haya ya sasa, Bora tarehe ya Uchaguzi isogezwe mbele kwani tarehe zimepangwa na binadamu.
Amedai kwamba CCM wanadai muda hautoshi wa kupitia katiba na sheria, kanuni za tume huru ya Uchaguzi. Kakubaliana na hali hiyo, ila akapendekeza kwasababu hiyo, bora tarehe isigogezwe mbele lakini sheria ifanyiwe marekebisho.
Tundu Lissu kadai bila mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi
Pia Kohoji kwanini Mawakala wanaosimamia Uchaguzi wanaapa kwa Mkurugenzi kuficha siri, ni siri gani hiyo wanaoyoficha? Ya wizi wa kura?
Kasema hataki tena mambo ya kuapa kwa Mkurugenzi, Mambo ya Polisi kuingia vituo vya kupigia kura kwanini ndo wanaingiza kura feki.