Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru.
Your browser is not able to display this video.
Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe.
Amesema kuliko kufanya Uchaguzi katika mazingira haya ya sasa, Bora tarehe ya Uchaguzi isogezwe mbele kwani tarehe zimepangwa na binadamu.
Amedai kwamba CCM wanadai muda hautoshi wa kupitia katiba na sheria, kanuni za tume huru ya Uchaguzi. Kakubaliana na hali hiyo, ila akapendekeza kwasababu hiyo, bora tarehe isigogezwe mbele lakini sheria ifanyiwe marekebisho.
Tundu Lissu kadai bila mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi
Pia Kohoji kwanini Mawakala wanaosimamia Uchaguzi wanaapa kwa Mkurugenzi kuficha siri, ni siri gani hiyo wanaoyoficha? Ya wizi wa kura?
Kasema hataki tena mambo ya kuapa kwa Mkurugenzi, Mambo ya Polisi kuingia vituo vya kupigia kura kwanini ndo wanaingiza kura feki.
Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru. View attachment 3237166
Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe.
Amesema kuliko kufanya Uchaguzi katika mazingira haya ya sasa, Bora tarehe ya Uchaguzi isogezwe mbele kwani tarehe zimepangwa na binadamu.
Amedai kwamba CCM wanadai muda hautoshi wa kupitia katiba na sheria, kanuni za tume huru ya Uchaguzi. Kakubaliana na hali hiyo, ila akapendekeza kwasababu hiyo, bora tarehe isigogezwe mbele lakini sheria ifanyiwe marekebisho.
Tundu Lissu kadai bila mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi
Pia Kohoji kwanini Mawakala wanaosimamia Uchaguzi wanaapa kwa Mkurugenzi kuficha siri, ni siri gani hiyo wanaoyoficha? Ya wizi wa kura?
Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru. View attachment 3237191
Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe.
Amesema kuliko kufanya Uchaguzi katika mazingira haya ya sasa, Bora tarehe ya Uchaguzi isogezwe mbele kwani tarehe zimepangwa na binadamu.
Amedai kwamba CCM wanadai muda hautoshi wa kupitia katiba na sheria, kanuni za tume huru ya Uchaguzi. Kakubaliana na hali hiyo, ila akapendekeza kwasababu hiyo, bora tarehe isigogezwe mbele lakini sheria ifanyiwe marekebisho.
Tundu Lissu kadai bila mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi View attachment 3237199

Hayo mawazo ya kijinga sana yani umeshasikia Ngorongoro imeuzwa, Bandari ya DAR imeuzwa, Bandari ya Bagamoyo imeuzwa, ufisadi kila mahali fedha zinatoroshwa nje ya nchi, Bunge halitetea wananchi linatunga sheria mbovu za kuuza mali za tanganyika, alafu unasema waendelee kubaki madarakani kwa miaka mingine miwili? Tundu Lisu unaanza kuwapa mashaka watanzania unakuwa huna tofauti na mboe

Tuliwaonya CCM ni dude kubwa, wakaingie mkenge. Lissu ni mradi wa kampeni ya kuahirisha uchaguzi ili chama kubwa libaki madarakani. Mtaelewa kukipambazuka.