Chadema kama haitashiriki.ni shauri yao vyama vingine vyote vya upinzani vitashirikiKuendelea kufanya uchaguzi ambao hauna maana yoyote ni ujing na kuootezeana muda, tunakubaliana bora Samia aendelee kutawala atakavyo kuliko kutumia hela za umma na tutuchosha bure wananchi kufanya uchaguzi usio na maana yoyote ile.
Lissu yupo sahihi, aungwe mkono na wote wenye akili timamu.
Huyu mbwatukaji wa hovyo sana, anafikiri baada ya hiyo miaka 2 rais atakuwa yeye? Samia yupooo!
Hivi CCM hampendi Uchaguzi wa haki na wazi,wenye kusimamiwa na chombo huru pasipo kuua wale kuteka wananchi??...kumbukeni huwa mnaenda ibadani kila siku wengine Makka na Israel kuhiji
Kwa mawazo yangu wazo la kusogeza mbele uchaguzi ni baya kwa sababu:..hizo ndizo gharama ambazo CCM imetuingiza kwa kuchelewa kufanya mabadiliko ya maana ktk sheria zetu za uchaguzi.
..nadhani kukiwa na nia njema kuanzia sasa hivi tunaweza kutumia muda mfupi kufanya mabadiliko kuliko huo anaopendekeza Tundu Lissu.
Sidhani kama upo sahihi je wewe unalizika na tume hii ya uchaguzi,, jinsi inavyo fanya kazi kama unalizika basi huitakii mema nchi yako.Hakuna mtu yoyote ambaye Anauhakika wakushinda kukiwa na Mabadiko ila, watu wataridhika na kufurahia uchaguzi huru na haki kwa sasa wewe hata kama ukubaliki hata huko CCM, Wakiamua upite unapita. Hiyo siyo haki. Asilimia kubwa sana ya Watanzania ni jamaa na marafiki wa watu walio CCM na wanaipenda CCM kwa kuwa na mifumo inayo eleweka shida inakuja kwenye kupeana madaraka.Huyu mbwatukaji wa hovyo sana, anafikiri baada ya hiyo miaka 2 rais atakuwa yeye? Samia yupooo!
Hivi kiongozi umewahi kusimamia uchaguzi?, kwa sheria hizi za uchaguzi zilizopo ziweze kuwapa wapinzani wabunge wengi?, Kwa taarifa yako Samia hana tofauti na Magufuli kwenye uchaguzi.Nimesimamia serikali za mitaa nimeona wakurugenzi ambao ndoo wasimamizi wa uchaguzi jimboni wanavyokuja na mikakati iliyopangwa kutoka huko juu.Anakwsmbia kwenye kituo chako unatakiwa kufanya lolote ili mgombea wao apate asilimia zaidi ya 90.Kila dk katibu kata ,tarafa,viongozi wa chama wanakutembelea kukukumbusha suala hilo.Mgambo na polisi wote wameishaelekezwa cha kufanya mnashirikiana vyema kuhakikisha mambo yanaenda vyema.Sasa ndoo nakuuliza hao wabunge wengi unaowasema wanapatikanaje kwa staili hiyo?Kwa mawazo yangu wazo la kusogeza mbele uchaguzi ni baya kwa sababu:
1. Linatoa loop hole ya kubadilisha term ya urais.
2. Hamna guarantee ya mabadiliko yeyote maana inategemea mno nia njema ya waliopo sasa madarakani.
3. Rais aliyepo hatakubali kuwa Rais wa kwanza wa CCM aliyedumu kwa muhula mmoja. Hilo CDM wasahau.
Badala yake CDM iweke nguvu katika kuhakikisha vyama vya upinzani makini vinapata wabunge na madiwani wengi. Muda uliobaki utumike katika kupata wagombea wanaokubalika na kujenga ushirikiano na vyama vingine. Wakiweza kupata wabunge makini watakuwa katika nafasi ya kusukuma jambo hili nje na nfani ya Bunge.
CDM itumie vilevile kupata resources za kujiendesha na kuwahamasisha wananchi.
Aidha, mwaka 2030 patakuwa na mabadiliko ya uongozi CCM na hivyo kukifanya kuwa vulnerable kuliko sasa kwa sababu patakuwa na mnyukano wa wanaoyaka kugombea urais.
Aidha, Rais wa sasa atataka kuacha legacy ya kuacha nchi yenye Katiba bora inayowapa watanzania uhuru wa dhati wa kuchagua viongozi wanaowataka ambao watawajibika kwao. Tukumbuke kuwa Samia alihusika sana katika juhudi zilizopita za kupata Katiba Mpya. Naamini angependa kumalizia kazi aliyoanza.
Mwisho, miaka mitano utaipa CDM muda wa kutosha wa kutibu majeraha ya uchaguzi wa Mwenyekiti wake na hivyo kuunganisha wanachama na wafuasi wake. Watakuwa wanajidanganya kama wataamini hayapo.
Amandla...
Nimesimamia serikali za mitaa nimeona wakurugenzi ambao ndoo wasimamizi wa uchaguzi jimboni wanavyokuja na mikakati iliyopangwa kutoka huko juu.Anakwsmbia kwenye kituo chako unatakiwa kufanya lolote ili mgombea wao apate asilimia zaidi ya 90.Kila dk katibu kata ,tarafa,viongozi wa chama wanakutembelea kukukumbusha suala hilo.Mgambo na polisi wote wameishaelekezwa cha kufanyaHivi kiongozi umewahi kusimamia uchaguzi?, kwa sheria hizi za uchaguzi zilizopo ziweze kuwapa wapinzani wabunge wengi?, Kwa taarifa yako Samia hana tofauti na Magufuli kwenye uchaguzi.Nimesimamia serikali za mitaa nimeona wakurugenzi ambao ndoo wasimamizi wa uchaguzi jimboni wanavyokuja na mikakati iliyopangwa kutoka huko juu.Anakwsmbia kwenye kituo chako unatakiwa kufanya lolote ili mgombea wao apate asilimia zaidi ya 90.Kila dk katibu kata ,tarafa,viongozi wa chama wanakutembelea kukukumbusha suala hilo.Mgambo na polisi wote wameishaelekezwa cha kufanya mnashirikiana vyema kuhakikisha mambo yanaenda vyema.Sasa ndoo nakuuliza hao wabunge wengi unaowasema wanapatikanaje kwa staili hiyo?
Wasiwasi wangu ni kusubiri halafu mbele kwa mbele hatunywi sumu ishinde kwa kishindo.Baada ya miaka 3 Mtakuta nchi imeshauzwa yote
Jumuiya ya kimataifa? Haya, ngoja tuone.Nadhani bado hamjaelewa dhana na mantiki ya No reform no election. Pia hamjaelewa mbinu na mikakati ya CHADEMA kwenye hili.
Iko hivi, kwa hali ilivyo sasa ni vigumu kwa CHADEMA kupata viti vya ubunge na udiwani kwenye uchaguzi. CCM itaendesha uchaguzi fake halafu itaamua kuwagawia CHADEMA na vyama vingine viti kadhaa. Inaweza kugawa viti vi 5 kwa chadema, 3 kwa ACT na 1 kwa vyama vingine ili ijidai kuwa uchaguzi umefanyika. Sasa kuna haja gani kushiriki kwenye uchaguzi wa namna hii?
1. Mbinu ya kwanza ni kushinikiza mabadiliko. Hoja ya CCM hapa ni kwamba muda hautoshi kufanya mabadiliko. Ingawa siyo kweli lakini hoja hii ina mantiki fulani. So ndo maana Lisu anasema bora kusogeza mbele uchaguzi ili mabadiliko yafanyike. Hapa anajaribu kutoa proposal kujibu hoja ya CCM ya muda hautoshi ili kukaribisha mazungumzo ya kujadili muda kiasi gani uongezwe. Kama CCM wataingia kwenye mazungumzo basi watakubaliana na wadau wote wa siasa muda wa kuongeza.
2. CCM wanaweza kukataa hili la kuongeza muda wakaamua kwenda kwenye uchaguzi. CHADEMA wanaweza kutumia mbinu mbalimbali kuzuia lakini ni kweli hawatafanikiwa. Fujo zitakuwa nyingi, watu watakufa, watu watakamatwa na kufungwa n.k. hapa ndo jumuiya ya kimataifa itaingia na watu wanaweza kupelekwa ICC baada ya huo Uchaguzi fake. Serikali itakayo kuwa madarakani itakuwa haina uhalali wa kisiasa na italazimika kufanya mabadiliko makubwa kwa ajili ya uchaguzi wa 2030.
Hivyo basi. Mkae mkijua lengo kubwa la No reforms no election si matokeo ya haraka haraka. Ni kwa ajili ya 2030.
3. Samia anajua kwenye uchaguzi huru hatoboi. Na hayuko tayari kuachia kiti. Bado anautamani urais. Na CHADEMA wanalijua hili. So ana machaguo mawili. La kwanza anatafute njia ya kubaki madarakani kwa kufuata ushauri wa kuongeza muda ili afanye marekebisho na kuamua kwamba baada ya muda huo hatagombea tena. Hapa atakuwa amejiongezea kipindi cha mteremko cha angalau miaka 2 akiwa Rais. Chaguo la 2 kuingia kwenye uchaguzi fake kwa nguvu na kuwa tayari kuongoza kipindi cha 2025 - 2030 kwa nguvu ya dola, na kuwa tayari kukabiliwa na jumuiya ya kimataifa ikiwa ni pamoja na kupelekwa ICC na kushurutishwa kufanya mabadiliko. Chaguo ni lake.
Una hata kovu la risasi?Mtanzania wa kweli? Familia yake ni raia wa USA, yeye anaishi Ubeleji, utamwitaje Mtanzania wa kweli? Wewe na mimi wenye familia na ndugu zetu hapa tutaitwaje sasa?
Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru.
View attachment 3237446
Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe.
Amesema kuliko kufanya Uchaguzi katika mazingira haya ya sasa, Bora tarehe ya Uchaguzi isogezwe mbele kwani tarehe zimepangwa na binadamu.
Amedai kwamba CCM wanadai muda hautoshi wa kupitia katiba na sheria, kanuni za tume huru ya Uchaguzi. Kakubaliana na hali hiyo, ila akapendekeza kwasababu hiyo, bora tarehe isigogezwe mbele lakini sheria ifanyiwe marekebisho.
Tundu Lissu kadai bila mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi
Pia Kohoji kwanini Mawakala wanaosimamia Uchaguzi wanaapa kwa Mkurugenzi kuficha siri, ni siri gani hiyo wanaoyoficha? Ya wizi wa kura?
Kasema hataki tena mambo ya kuapa kwa Mkurugenzi, Mambo ya Polisi kuingia vituo vya kupigia kura kwanini ndo wanaingiza kura feki
View attachment 3237163View attachment 3237164View attachment 3237165
Mimi sidhani wala sitarajii kwacserikali hii na viongozi hawa wanaweza kutuletea katiba boravkatika mazingira haya ambayocwako tayari hata kuuwa watu ili wabaki madarakani. Tusitajie kwa shinikizo bila shinikizo kuwa eti CCM itakuwa tayari kuruhusu apatika ne Raisi mwingine nje ya CCM hiyo haiwezi kutokea abadani katika mazingira ya kawaida, Tundulisu na kelele zake atapita kama walivyo pita wengine. CCM haisikii wala haielewi. Mpaka atokee mwehu mmoja.Itakuwa na faida gani kama wao hawatakuwa sehemu ya watunga sheria?
Soma post yangu hapo juu utaelewa.yaani tuwaongezee hawa mafisadi miaka 2 yote ya kuendelea kuliua taifa?
NimerekebishaHivi ni mimi tu nikiplay video inaenda haraka haraka au vp?au kuna hujuma
Hivi Lissu na Samia unaweza kuwalinganisha?Huyu mbwatukaji wa hovyo sana, anafikiri baada ya hiyo miaka 2 rais atakuwa yeye? Samia yupooo!
Chuma kinatema cheche. Yuko sahihi.Tundu Lissu: Tubadilishe tarehe ya Uchaguzi Mkuu kwa Miaka miwili ili tuwe na tume Huru.
View attachment 3237446
Waati akihutubia Maelfu ya Watu huko Mkoani Singida hii leo, amesema Uchaguzi uahirishwe.
Amesema kuliko kufanya Uchaguzi katika mazingira haya ya sasa, Bora tarehe ya Uchaguzi isogezwe mbele kwani tarehe zimepangwa na binadamu.
Amedai kwamba CCM wanadai muda hautoshi wa kupitia katiba na sheria, kanuni za tume huru ya Uchaguzi. Kakubaliana na hali hiyo, ila akapendekeza kwasababu hiyo, bora tarehe isigogezwe mbele lakini sheria ifanyiwe marekebisho.
Tundu Lissu kadai bila mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi hakutakuwa na Uchaguzi
Pia Kohoji kwanini Mawakala wanaosimamia Uchaguzi wanaapa kwa Mkurugenzi kuficha siri, ni siri gani hiyo wanaoyoficha? Ya wizi wa kura?
Kasema hataki tena mambo ya kuapa kwa Mkurugenzi, Mambo ya Polisi kuingia vituo vya kupigia kura kwanini ndo wanaingiza kura feki
View attachment 3237163View attachment 3237164View attachment 3237165