Pre GE2025 Tundu Lissu: Tumemweleza Balozi wa Norway kuhusu hali ya kisiasa nchini na sera yetu ya "Bila Mabadiliko Hakuna Uchaguzi"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Hatimaye Tundu Lissu amefichua alifhoenda kuzungumza na Balozi wa Norway:

Lissu kupitia ukurasa wake wa X amesema:

"Balozi Tine Tonnes wa Norway ametukaribisha kwa mazungumzo kwenye makazi yake rasmi mjini Dar. Tumepata fursa ya kumweleza Balozi Tonnes juu ya hali ya kisiasa nchini na msimamo wetu wa 'Bila Mabadiliko Hakuna Uchaguzi.'

Falme ya Norway ni rafiki wa miaka mingi wa Tanzania; ni muhimu kuwashirikisha marafiki zetu wa kimataifa juu ya matatizo ya mfumo wa kiimla wa uchaguzi unaofanya chaguzi zetu kuwa za hovyo"


 
Kunaendelea kukucha
 
Safi saana!!
Wakate kabisa na ile kitu inaitwa kwa msaada wa watu wa Norway.
 
Safi sana
 
nadhan wamewatambua kwamba kweli Tz Kuna vibaka na matepeli wa siasa, right ?πŸ’
 
Norway imetupa dola milioni 38 tu kwa miaka 5.....

Ukizivunja unapata wastani wa dola 7. kwa kila mwaka wa fedha.......

Dola milioni 38 zinaelekweza katika KILIMO ,KUTUNZA MAZINGIRA haswa mkoani Iringa na Morogoro....
Fedha hiyo pia ni kwa ajili ya kupunguza HEWA UKAA.....

Wale wapingaji wa DP WORLD miongoni mwao walikuwa akina Tundu Lissu....mwarabu atatupatia TRILIONI 26 kwa mwaka 1 tu.... biashara ikiwa nzuri tutafikishwa mpaka TRILIONI 60......

Akina TL hawakutaka tupate fedha hii ili waje kujificha katika kuzuia DOLA MILIONI 38....

Hivi hawa ni wagonjwa wa Mirembe ama Lutindi?!?

Vijana wenzangu shime tuwakatae hawa makuwadi wa MABEBERU.....

#Taifa Kwanza kwa njia yoyote iwayo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…