Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Hatimaye Tundu Lissu amefichua alifhoenda kuzungumza na Balozi wa Norway:
Lissu kupitia ukurasa wake wa X amesema:
"Balozi Tine Tonnes wa Norway ametukaribisha kwa mazungumzo kwenye makazi yake rasmi mjini Dar. Tumepata fursa ya kumweleza Balozi Tonnes juu ya hali ya kisiasa nchini na msimamo wetu wa 'Bila Mabadiliko Hakuna Uchaguzi.'
Falme ya Norway ni rafiki wa miaka mingi wa Tanzania; ni muhimu kuwashirikisha marafiki zetu wa kimataifa juu ya matatizo ya mfumo wa kiimla wa uchaguzi unaofanya chaguzi zetu kuwa za hovyo"