Kisiya Jr.
Senior Member
- Nov 21, 2011
- 102
- 29
Tundu Lissu ni mnafiki na mzandiki tu.
Ha haa....nikiwa msomi km wewe,sishabikii upumbavu wa mzee fast jet hata km kuna fatherhood!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu Lissu ni mnafiki na mzandiki tu.
Kadanganya Watanzania juu ya Wajumbe wa kutoka TEC na CCT kuto kuteuliwa! Anakuja na ngonjela za Zanzibar! Alichosema JK Uzandiki wa Lissu ni kudanganya watu juu ya TEC na CCT aseme hapo
Ts ur our iconWakuu kamanda Lissu anafanya press, sasa hivi Makao Makuu ya Chadema na haya ndiyo amezungumza;
j
- Wadau wa Zanzibar hawajashirikishwa hata kidogo na hawakuwepo kwenye ratiba ya Kamati.
- Kamati ilipanga kwenda Zanzibar kutembea na sio kuonana na wadau, kwa sabab walitakiwa pkutembelea miradi ya TASAF, OFISI YA MAKAMU WA RAIS NA OFISI YA BUNGE.
- Wakakataa na kuomba kwa katibu wa Bunge kuwaona wadau wa Zanziba, Katibu wa Bunge alikubali.
- Walitengeneza orodha ya wadau.
- Yalianza maneno pembeni kuwa hakuna usalama Zanzibar wakati huohuo Kamati ya Ulinzi na Usalama ilikuwa Zanzibar.
- Wakazuiliwa kwenda na hivyo hakuna mdau wa Zanzibar aliyehusishwa.
- Kama haya ni makosa uzandiki na unafiki unatoka wapi wakati hoja ya kwenda Zanzibar yeye aliyeitoa?
Nitaendelea kuwapa update
- Kama hakuna ulazima kwa mujibu wa kanuni kwenda Zanzibar ofisi ndogo za Bunge Zanzibar zina maana gani, kwa hili rais amepotoka na hajui analolifanya.
- Hawajawahi kukutana na mjumbe wa Baraza la wawakilishi Zanzibar, na hata M/sheria amekiri.
UTEUZI KWENYE TUME YA KATIBA
- Hoja ni mamlaka ya Rais kuteua wajumbe 166
- Walipinga 2011 Ikaondolewa na wakairudisha tena kwenye muswada huu
- Uteuzi wa wajumbe wa Tume usilinganishwe na uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba. Ushahidi wa TEC , CCT na Shirikisho la walemavu kutoteuliwa pamoja na kupeleka majina kwa Rais ulitolewa kwenye Kamati ya Bunge, uongo wake unatoka wapi?
- Shirikisho la walemavu halikumpendekeza Al Shaimar Kwegir na hivyo Rais aliteua watu alkyewaona yeye wanafaa. Uongo unatoka wapi?
Maneno ya Rais,
- Hatamuita mzindiki, mnafiki wala mwongo ila ametoa hitimisho kwa maneno ya sikia sema (hearsay) kwa sababu ametumia maneno "nimeambiwa, nimesikia na nimejulishwa" mara tisa kwenye hotuba yake.
Kuhusu kuwa na mazungumzo ya pamoja;
- Kama ana nia njema basi asiusaini muswada na Katiba inamruhusu kufanya hivyo.
- Akiusaini ataendekeza mambo ya kiccm na hana haja ya kuaminiwa tena.
- Kamati ya Sheria na Utawala ya Bunge inakutana kuanzia kesho na hivyo anasubiri sheria husika iliyopitishwa kinyemela kurudishwa Bungeni.
Mwisho. Anakaribisha maswali;
- Ukiwa na mchakato mbovu yatatokea mambo kama ya Zimbabwa miaka 16 ndiyo ikapata Katiba na Kenya miaka 11 ndipo wakapata Katiba, kwa sababu mwanzoni hakukuwa na mchakato shirikishi.
- Wanachokifanya CCM sasa ndicho walichokifanya KANU kule Kenya
- Wananchi hawatanyamaza kamwe katika mchakato huu.
Umekurupuka kama aliyefumaniwa na mke wa mtu!tidu lisu. anayekufahamu kuwa wewe ni munafiki.munzadiki.halafu alipeleza.lisema ovyo.lipiga kelele.lipotezaji la muda bungeni. likoswa hekima na maarifa wakati nilisomi.siyo rais pekee hata sisi watanzania na wananchi wakawaida. kwahiyo lisu munapo fika ajeda zito kama hizi zakuzungumuzia musitakabali wa nchi uwe unatulia nakujipanga kwakuwa wewe ni musomi hapo lazima kitokee cha maana.siyo kuwa unakurupuka na nakuaza kuota harusi silaa na josephina itakuwa lini.
Mi mate itawaruka sana kama mumeona ukwaju lakini ukweli unabaki pale pale Tundu Lissu ni "MNAFIKI" a.k.a MZANDIKI
Maneno ya hekima haya
Tundu Lissu ni mnafiki na mzandiki tu.
Rejea hotuba ya Kikwete, wacha porojo, mbona huulizi yaliosemwa ya TEC na CCT? au na wewe unauguwa ugonjwa wa Tundu?
Hotuba ya Kikwete haina jipya! Better listen to Khadija Kopa's taarab songs!! tehe tehe tehe!
Tundu Lissu ni mnafiki na mzandiki tu.
Hapo mzee kakwama kwani hujui inakuwaje baba anapokwaa mkenge mbele ya wanae? inabidi azugezuge kihivyo aisee ila kwa hoja ya kwamba wengine wanaeza wakaona zimemwagwa point unaweza kuwa sawaHapana mkuu,Hii ni siasa,kila hoja inapaswa kujibiwa. ukiziiacha, wananchi NA wafuasi watajua ni ukweli. Wale wasiokua wavivu WA kufikiria tunapata wasiwasi NA busara ya My.rais kutoa maneno ya kuudhi na kidhalilishaji kiasi kile kwa kutumia maneno ya kuambiwa! Hapa ndio namsifia Tundu Lisu kumjibu.
kwanini Rais hakuwataja wajumbe wa tume waliotoka TEC, CCT Walemavu na BAKWATA? ili tujue mwongo na mzandiki ni nani
Nimeamini Tundu Lissu, ni mzandiki anatakaka kuminyana hata kwenye ili.
Hizo ndio zenu kila siku yakiwaingia, muulie Tundu kwanini kaitisha press conference?
Hizo ndio zenu kila siku yakiwaingia, muulie Tundu kwanini kaitisha press conference?
Hizo ndio zenu kila siku yakiwaingia, muulie Tundu kwanini kaitisha press conference?
Mkikosa hoja mnaanza viroja, bavichaa mnajulikana.
Tundu lisu yopo kama mtambomtambo hiv!,kama akitaka kuwa tahaira,au pengine ana radhi ya wazazi wake,sijui akili nyingi,mimi siyo mtaalam lkn huyu jamaa hayuko sawa.