Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

Nimeamini Tundu Lissu, ni mzandiki anatakaka kuminyana hata kwenye ili.
 
Kadanganya Watanzania juu ya Wajumbe wa kutoka TEC na CCT kuto kuteuliwa! Anakuja na ngonjela za Zanzibar! Alichosema JK Uzandiki wa Lissu ni kudanganya watu juu ya TEC na CCT aseme hapo

yule zeruzeru wa chama cha walemavu hakupendekezwa na chama chake, sijui raisi kamtoa wapi.
 
Ts ur our icon
 
Umekurupuka kama aliyefumaniwa na mke wa mtu!
 
Mi mate itawaruka sana kama mumeona ukwaju lakini ukweli unabaki pale pale Tundu Lissu ni "MNAFIKI" a.k.a MZANDIKI

Na rais Kikwete anayepambana na raia wake jukwaani kwa mipasho unamuuitaje? Poor you!
 
Maneno ya hekima haya

Hapana mkuu,Hii ni siasa,kila hoja inapaswa kujibiwa. ukiziiacha, wananchi NA wafuasi watajua ni ukweli. Wale wasiokua wavivu WA kufikiria tunapata wasiwasi NA busara ya My.rais kutoa maneno ya kuudhi na kidhalilishaji kiasi kile kwa kutumia maneno ya kuambiwa! Hapa ndio namsifia Tundu Lisu kumjibu.
 
Rejea hotuba ya Kikwete, wacha porojo, mbona huulizi yaliosemwa ya TEC na CCT? au na wewe unauguwa ugonjwa wa Tundu?

Hotuba ya Kikwete haina jipya! Better listen to Khadija Kopa's taarab songs!! tehe tehe tehe!
 
Hotuba ya Kikwete haina jipya! Better listen to Khadija Kopa's taarab songs!! tehe tehe tehe!

Hizo ndio zenu kila siku yakiwaingia, muulie Tundu kwanini kaitisha press conference?
 
Tundu Lissu ni mnafiki na mzandiki tu.


Mkidhania mnakimbia na Dr. Slaa kama mlivyomfanya chekecheke Lyatonga Mrema, kwa taarifa yenu wapo kina Lisu maelfu ambao watawanyima usingizi majizi wakubwa laana kuu
 
Hapo mzee kakwama kwani hujui inakuwaje baba anapokwaa mkenge mbele ya wanae? inabidi azugezuge kihivyo aisee ila kwa hoja ya kwamba wengine wanaeza wakaona zimemwagwa point unaweza kuwa sawa
 
kwanini Rais hakuwataja wajumbe wa tume waliotoka TEC, CCT Walemavu na BAKWATA? ili tujue mwongo na mzandiki ni nani

Hawezi kuwataja kwa sababu yeye ndiye muongo na mzandiki!
 
Nimeamini Tundu Lissu, ni mzandiki anatakaka kuminyana hata kwenye ili.

Gamba elewa hoja usiwe kama anayesema nimeambiwa.Hv mahakamani unaweza kuwa shahidi kwa kusema usolishuhudia?
 
Hizo ndio zenu kila siku yakiwaingia, muulie Tundu kwanini kaitisha press conference?

Unauliza jibu! Kilichowauma zaidi ni pale Lisu alipowaita maccm ni kheri mngeitwa jina lenu la kujisitiri yaani magamba. Na bado tutayaona mambo mengi hadi kufikia 2015 kwani ni kifo cha mende.
 
Bangi za kutunzia ndani ya makoti zinampa shida Toto TUNDU.
Huyu ni MNAFIKI,MZANDIKI,MUONGO halaf JK kasahau tu angeongezea"""" MVUTA BANGI" ndio ingekamilisha sifa za TUNDU CHAFU
 
Tundu lisu yopo kama mtambomtambo hiv!,kama akitaka kuwa tahaira,au pengine ana radhi ya wazazi wake,sijui akili nyingi,mimi siyo mtaalam lkn huyu jamaa hayuko sawa.

ingekuwa vyema ungejadili hoja zake badala ya kumjadili yeye! unafikiri kumjadili yeye kunasaidia wewe kuonekana wa maana sana! au we ndio uliokamilika kuliko wanadamu wengine? hongera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…