Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

Heading na content haviendani mkuu...binafsi nilidhani utakuja na hoja za kutokukubaliana na kauli ya Freeman Mbowe.

Lakini nikionacho ni maelezo tu ukieleza tu hali ya mambo ilivyotukia...umeshindwa hata kuweka bayana hizo hoja za Lissu ambazo kwazo Mh. Jakaya Kikwete anaziona ni za kizandiki...
 

Waende tu wanywe juice Ikulu waache kutuzingua.
 

Mkuu, naona wewe ndo hujaelewa kabisa. Mbowe katika maelezo yake anasema kuwa alichosema Lissu kina baraka ya kambi ya upinzani kitu ambacho sicho. kama maneno ya uongo, uzandiki na uzushi ni msimamo wa kambi ya upinzani, basi sina imani kabisa na chadema
 

You might think that TL talks a lot of sh1t but you and i know that he can back it up ANYTIME. I totally understand that because he is good at what he does, it gives you cause for concern. Its natural, sir.
 
mbona rais wetu msikivu katumia hekima na busara na kawaita wapinzani Ikulu?? Huyu si Rais wa CCM mind you!!! Huyu JK ni Statesman.
 

wewe umemezwa na ushabiki wa kutotaka kuona LISSU akiguswa, ndiyo wale wale mnaomvimbisha kichwa LISSU na kupelekea kujisemea kama mwendawaizmu.
 

Nyinyi ndio Karume Jnr aliwaita mna akili ya SAMAKI!

Serious tangu lini wewe Chabruma ukawa na IMANI na CDM?

Only a fool will believe you
 
You might think that TL talks a lot of sh1t but you and i know that he can back it up ANYTIME. I totally understand that because he is good at what he does, it gives you cause for concern. Its natural, sir.
kaka kwani lazima ukubali we nani kwenye taifa
 
Sikubaliani kabisa na maneno ya MBOWE kuwa, Rais JAKAYA KIKWETE kumshambulia TUNDU LISSU wakati wa hotuba yake kuwa alimuonea kwa madai kuwa maneno ya LISSU hayakuwa yake bali ni ya kambi rasmi ya upinzani.
?
Mkuu bandiko halijaakisi mustakabali wa siasa za Tanzania na katiba mpya. Hebu kasome jinsi mchakato wa katiba za Kenya na Tanzania ulivyofanyika then rudi hapa tujadiliane,
 

​Taabu yako ni kuwa hutumii ubongo wako kama alivyokujalia Mwenyezi Mungu!
 
..................................wanaolitakia amani taifa letu, ndani ya Bunge(wale wa chama tawala na upinzani), nje ya bunge, wasomi na hata wananchi wa kawaida walishaanza kuingiwa wasiwasi na utimamu wa akili ya Mbunge huyu...............

Hii statement ni kama ya mtu aliyefanya utafiti.
 
Waende tu wanywe juice Ikulu waache kutuzingua.
Mkuu samahani mizaha kama hii inalishushia hadhi jukwaa hili,Sidhani kama kweli chai na juice vinapatikana Ikulu peke yake Tanzania nzima au viongozi hao wamekosa fedha za kununua chai na juice mpaka waende ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…