Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

Hapa ndio tunaona watu wanaotumia akili zao na watu wanaotumia akili za kuambiwa. Mh. Raisi naomba jifunze kitu kutoka kwa lisu, na sio kufanya kazi kwa kuambiwa mambo na akina Lukuvi ambao uwezo wao ni mdogo na sasa baada ya Lisu kuzungumza unaaibika na kuonekana hufikiri thabiti
 
kumbe mtu ukiwa unawaza negative ndiyo uwezo kubwa wa kufikiri?,tundu lisu anawaza negative ni mzushi,mnafiki,mbea hilo halina ubishi,
ukiona mpaka rais anaona unafiki na umbe wa mtu huyo mtu ni mbea kweli.

Ni kweli kabisa Tundu Lissu anawaza negative ya mawazo ya jm, mambo ya kuambiwa hayawezi kuwa sawa na kujionea mwenyewe, mawazo ya kiongozi wa cdm (people's power) hayawezi kulingana na ya kiongozi wa cc'm (mafisadi's power), mawazo ya mtu anayesifiwa na watanzania hayawezi kulingana na mawazo ya mtu anayesifiwa na kina obama. TUNDU'S opinions are negative to jk's but they're coincide with the opinions of the majority of tanzanian.
 
tangu lisu apige marufuku watu wa jimboni kwake kutoshiriki kazi za maendeleo nikajua pale hakuna kiongozi kunashati na koti tu.

Amekataza kutoa MICHANGO2! na 7bu serikali inaHELA inapatanya kwa mambo mengine yacyo na maana! Hakukataza kushiriki shughuli za Maendeleo
 
tidu lisu. anayekufahamu kuwa wewe ni munafiki.munzadiki.halafu alipeleza.lisema ovyo.lipiga kelele.lipotezaji la muda bungeni. likoswa hekima na maarifa wakati nilisomi.siyo rais pekee hata sisi watanzania na wananchi wakawaida. kwahiyo lisu munapo fika ajeda zito kama hizi zakuzungumuzia musitakabali wa nchi uwe unatulia nakujipanga kwakuwa wewe ni musomi hapo lazima kitokee cha maana.siyo kuwa unakurupuka na nakuaza kuota harusi silaa na josephina itakuwa lini.

jenga hoja acha uchumia tumbo,,,,kwanza unabahati operation kimbuka part I IMEKUKOSA,,SUBIRI PART II LAZIMA IKURUDISHE KWENU,,,,KILA KITU MU ,,MU,,,MU,,,MUSOMI,,,MUNAFIKI,,
 
Ama kweli Tundu Lissu ni MTUNDU sana!

Yaani Kiwete hotuba nzima amemzungumzia Tundu Lissu! Huu ni udhaifu mkubwa sana kwa Rais wa nji hii na ni aibu kubwa.

Waingereza siku zote wanatumia msemo ufuatao:FOOLISH MIND DISCUSS PEOPLE BUT INTELLIGENT MIND DISCUSS ISSUES!

Kitendo cha Rais Kiwete kuacha kuzungumzia kwa kina mapungufu ya Muswada wa Sheria ya Katiba mpya na kujikita kujadili watu kwa kuwataja majina kwenye hutuba yake amedhihirisha upumbavu(Foolishness)alionao.

Pole sana Rais Kiwete na hongera Mhe. Tundu Lissu.

 
Hilo linajulikana Lissu ni jembe. akili za kuambiwa changanya na za kwako. By JK.
 
Huyu jamaa ni mnafiki yeye si alisema muungano umevunjika sasa mambo ya kwenda Znz yametoka wapi au anatafuta "sympathy" ya wa Zanzibar.

Alisema wapi? AU umechanganya na za kwako?

vijana_kura_ya_maoni-430x320.jpg
 
Big up tundu lissu endelea kuelewesha make maccm hayana nia nzur na taifa letu.
 
Lisu fanya kazi achana na Kelele za VYURA za Huyo kilaza wao ktoka ukwalen
 
Kuna majitu hayana akili kabsa km hili hapa eti lissu alisema muungano umevunjika lin alitamka maneno hayo ukiwa na akili za matakoni ni shida kweli kweli.
 
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,team ccm,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

kushoto......................................kulia

nimembiwa.................................. wapigeni tu


kazi kweli kweli
 
namshangaa sana tundu la ushuzi sijui anaona WTZ kama makalio yake, acha uzezeta, mwanaizaya we, hiyo akili uliyopewa mbona unaitumia kuangamiza watu wasio na hatia? kama kweli mnania hiyo mbona mmejipanga ikiludi bungeni mtatoka nje ili katiba mpya isipatikane? ivi kweli nyie viongozi wa chadema mnawaza kwa kutumia nini? kweli mmevulugwa vya kutosha, kumbukeni mmetumwa kama wawakilishi bungeni kwa niaba ya Wananchi, mnavyokimbia vikao vya bunge wanaoumia ni wananchi waliowaagiza au matumbo yenu? acheni ubahadhuri wana watoka pabaya, wana wajambia -----. huyu mtu hafai ktk jamii ya kitanzania.

nawewe hufai kama jina lako lilivo mito mingi unamwaga tuu koteee kwendraaaa mburula mbwigaweee
 
kumbe mtu ukiwa unawaza negative ndiyo uwezo kubwa wa kufikiri?,tundu lisu anawaza negative ni mzushi,mnafiki,mbea hilo halina ubishi,
ukiona mpaka rais anaona unafiki na umbe wa mtu huyo mtu ni mbea kweli.
Nini tofauti ya mtu kusema "Zanzibar walishirikishwa kwenye mswaada wa katiba mpya" na kusema "Nimeelezwa/Nimeambia Zanzibar walishirikishwa kwenye mswaada wa katiba mpya", ukiona tofauti utagundua rais wako ndio kwanza MMBEYA halafu uzushi ...... ndio vinafuata
 
Tundu Lissu sawa sawa mkumbushe huyo Raisi wetu Kikwete ni Mr nimeambiwa,nimeelezwa ,nimefahamishwa my foot how can you run a country na hadithi za nimeambiwa nimeelezwa no wonder hakuna la maana tangu miaka 18 uaanza kuwania kiti cha uraisi na kutawala
 
Ni dhahiri kuwa kuna maneno ambayo Kikwete, kama Rais, hakustahili kuyatamka maana yanatia wasiwasi kama tuna Rais makini. Rais huwezi kwenda kuhutubia watu wako kwa kuegemea maneno ya 'nimeambiwa, nimeelezwa, nadhani, n.k., unapotumia maneno hayo maana yake ni kuwa huna uhakika. Rais ana vyombo vingi sana vya kumsaidia kuwa na taarifa sahihi ili asitende mambo kwa hisia, na kama havitoshi amepewa uwezo wa kuunda hata tume, ili wakati wote awe na taarifa sahihi.

Rais anaposhindwa kuwa na uhakika, katika nchi hii nani atakuwa na uhakika? Kama huna uhakika huwezi kumwambia mtu ni mwongo, mzandiki, au mfitini. Ukiona kiongozi anaanza kuwashambulia watu binafsi, kama alivyofanya Kikwete kwa Tundu Lisu, lazima kuna tatizo kubwa. Ni kwamba Rais wetu amekosa hoja na sasa anawatafuta watu binafsi badala ya hoja zilizotolewa. Na huu ni UDHAIFU MKUBWA WA RAIS WETU. ALIFANYA HIVYO KWA MUGAYA NA ULIMBOKA. Kama kuna washauri wa Rais, wamweleze wazi kuwa kiongozi wa nchi hustahili kuwa hotuba za mitaani kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom