Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

Tundu Lissu: Tutazipima kauli za Kikwete kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala!

lisu mbea,mnafiki,mzushi,mzandiki na mfitini.

Kizazi cha Mulugo... hata kuandika taabu. Kwa kukusaidia tu. Jina la mtu huandikwa likianza na herufi kubwa, pia sentensi inatakiwa ianze na herufi kubwa.
 
naona leo chamakipya untaongoza kwa post lazima wakupe zaidi ya buku saba
 
1381122789707.jpg
 
MUNGU alimpendelea sana Tundu Lissu. Kwa akili ya Lissu, HE is not fair
 
Last edited by a moderator:
mkuu mimi naamini hata kama utachanganya watu wa ukoo wenu wote hamuwezi kufikia akili ya jk ni kiongozi wa pekee sana japo wapo watu ambao hawamwelewi.

Angekuwa hivyo kama asingekuwa anajishughulisha na mambo ya kutajirisha ukoo na familia yake haraka haraka hadi kufanya shughuli zinazoliletea taifa letu aibu!!!!!!!!!!
 
naona leo chamakipya untaongoza kwa post lazima wakupe zaidi ya buku saba

Nakelwa sana na mtu mzima kama lisu kuwa mbea,mnafiki,mzandiki na mzushi kwani ndiyo kazi aliyotumwa na wananchi wa singida mi najua haya mambo hufanyika kwenye vyumba vya kusukia nywele sijui naye kama ni mdau ni tabia ya ajabu sana kwa mtu anayedhaniwa ni mbunge kuwa mnafiki na mbea.
 
kila siku tunasema kila anapoongoza nchi Rais wa Kiislamu makanisa huandaa jinsi ya kumchafua ili kuonyesha Waislamu hawawezi kuongoza. sasa Tundu Lissu anasema waulizwe hao maaskofu tuwaelewe vipi chadema? kwa sababu kanisa lilishindwa kumuingiza Padri mzinifu kushika urais wa nchi sasa kilichobaki ni hujuma tu. WEWE LISSU TOKA LINI UKAWATETEA WAZENJ?
 
Angekuwa hivyo kama asingekuwa anajishughulisha na mambo ya kutajirisha ukoo na familia yake haraka haraka hadi kufanya shughuli zinazoliletea taifa letu aibu!!!!!!!!!!

acha kuwa mpunga vielelezo kwa haya usemayo tafadhali.
 
tangu lisu apige marufuku watu wa jimboni kwake kutoshiriki kazi za maendeleo nikajua pale hakuna kiongozi kunashati na koti tu.
 
mkuu Boko haram maana yake Elimu ya Magharibi ni haramu, Physics, Chemistry, Computer, Law, Engineering, Medicine, accountancy, sociology etc. Pata picha unazungumza na kilaza wa namna gani!?

Nani kakwambia hizo ni elimu za magharibi. Elimu hizo zimo ndani ya Quran na zimefafanuliwa vizuri sana. Hao wazungu wanachofanya ni kutjibitisha tu yaliyoandikwa kwenye Quran. Mathematics ili
 
Last edited by a moderator:
Kuna sehemu katika taarifa hiyo Mh Lissu anasema walipewa hela nyingi kuliko kawaida. Natumai zilirejeshwa, la sivyo wabunge wameuibia umma kwani hawakuenda Zanzibar!
 
tangu lisu apige marufuku watu wa jimboni kwake kutoshiriki kazi za maendeleo nikajua pale hakuna kiongozi kunashati na koti tu.

Haya tumekusikia...Why a repeatition?
Unajaza server za watu bure...
 
Huyu jamaa ni mnafiki yeye si alisema muungano umevunjika sasa mambo ya kwenda Znz yametoka wapi au anatafuta "sympathy" ya wa Zanzibar.

ninachowapendea watz wote si waoga hata kidogo maana mtu hata bila kuelewa kinachoendelea anakurupuka na ku- criticize jamani......uwezo wa kufikiria wa TL ni mkubwa kias cha wewe kutoelewa hata anachosema....siyo wewe tu hata wale wakina "nimeambiwa"
 
“Tuliambiwa na Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah tungepewa fedha za kukaa Zanzibar hata kwa wiki nzima, na tulilipwa fedha nyingi tofauti na tunavyolipwa kwa utaratibu wa kawaida,”

Was this a corruption?...
 
Back
Top Bottom