amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 914
Yaani umeruhusu akili za akina Bulembo na Le Mutuz( W.J Malecela) zichukue nafasi kwenye ubongo wako! Umekwisha.lisu mbea,mnafiki,mzushi,mzandiki na mfitini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani umeruhusu akili za akina Bulembo na Le Mutuz( W.J Malecela) zichukue nafasi kwenye ubongo wako! Umekwisha.lisu mbea,mnafiki,mzushi,mzandiki na mfitini.
lissu ni mwongo.mnafiki.mfitini, mzushi mzandiki first class
Kikwete ni mtu anayeogopa kufanya maamuzi magumilissu ni mwongo.mnafiki.mfitini, mzushi mzandiki first class
lissu ni mwongo.mnafiki.mfitini, mzushi mzandiki first class
Na Abdallah Bulembo je? Kama Lissu ni mwongo mbona hoja zake zimekubaliwa na rais kwamba zinazungumzika na zirudishwe kujadiliwa? We mbona unataka kuturudisha nyuma?
Ni kweli kabisa, kayageuza ya Zanzibar wakati kuhusu uongo wake Rais aliyasema ya TEC na CCT.
Huyu jamaa ni muongo, mfitini aka fataani, mnafik na mzandik mkubwa sana.
Kikwete ni mtu anayeogopa kufanya maamuzi magumi
Yaani umeruhusu akili za akina Bulembo na Le Mutuz( W.J Malecela) zichukue nafasi kwenye ubongo wako! Umekwisha.
Na Abdallah Bulembo je? Kama Lissu ni mwongo mbona hoja zake zimekubaliwa na rais kwamba zinazungumzika na zirudishwe kujadiliwa? We mbona unataka kuturudisha nyuma?
Lissu kiboko yao anawatoa povu
Si wanamuiga Obama,wamuige na hili la kutosaini muswada usio na manufaa kwa taifa,,,,