Mkuu siasa inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Lugha kama hii uliyoitumia hapa haifai,cha msingi ni kubishana kwa hoja za msingi na zinazojenga na mwisho wa siku wananchi ndiyo wenye maamuzi ya mwisho.Kazi gani, wakati yeye ndiye chanzo cha Mbunge wake kuropoka kama kama mtu aliyefumaniwa Chooni.
huo ndio ukweli, walivoonja ya mara ya kwanza wamenogewa, sasa wanaitaka tenaMkuu samahani mizaha kama hii inalishushia hadhi jukwaa hili,Sidhani kama kweli chai na juice vinapatikana Ikulu peke yake Tanzania nzima au viongozi hao wamekosa fedha za kununua chai na juice mpaka waende ikulu.
Heading na content haviendani mkuu...binafsi nilidhani utakuja na hoja za kutokukubaliana na kauli ya Freeman Mbowe.
Lakini nikionacho ni maelezo tu ukieleza tu hali ya mambo ilivyotukia...umeshindwa hata kuweka bayana hizo hoja za Lissu ambazo kwazo Mh. Jakaya Kikwete anaziona ni za kizandiki...
wewe umemezwa na ushabiki wa kutotaka kuona LISSU akiguswa, ndiyo wale wale mnaomvimbisha kichwa LISSU na kupelekea kujisemea kama mwendawaizmu.
Sikubaliani kabisa na maneno ya MBOWE kuwa, Rais JAKAYA KIKWETE kumshambulia TUNDU LISSU wakati wa hotuba yake kuwa alimuonea kwa madai kuwa maneno ya LISSU hayakuwa yake bali ni ya kambi rasmi ya upinzani.
Nadiriki kusema kuwa wanachokifanya hivi sasa CHADEMA ni kujaribu kumusafisha LISSU na tabia yake ya siku nyingi kutoa maneno ya kizushi, dhihaka kwa serikali na mbwebwe nyingine nyingi ambazo kwa uhakika wanaolitakia amani taifa letu, ndani ya Bunge(wale wa chama tawala na upinzani), nje ya bunge, wasomi na hata wananchi wa kawaida walishaanza kuingiwa wasiwasi na utimamu wa akili ya Mbunge huyu.
Siku chache zilizopita , LISSU amepambwa sana kwenye vyombo vya habari, wapambe wake, kwenye mitandao ya kijamii kuwa ni mtu tishio, lakini hakuna aliyesimama na kusema siyo yeye aliye tishio bali ni chama kwa ujumla, ila leo ambapo Rais ameonesha kukerwa na pengine sasa kama mkuu wa nchi anaona anakoelekea LISSU ni hatari kwa amani ya nchi yetu ndipo wanaibuka akina MBOWE na kusema kuwa yale yalikuwa maneno ya Kambi ya Upinzani na kwamba Rais hajamtendea haki na kwamba amuombe msamaha, kwa lipi mpaka rais amuombe msamaha LISSU kama siyo kumkosea adabu mheshimiwa Rais na kuendelea kulea ugonjwa kwa vile LISSU ataona kama amepewa go ahead na mkubwa wake kuendelea kusema hovyo.
MBOWE anasemaje Rais amuombe radhi LISSU wakati huo wanampongeza kwa hotuba yake huku wakisema amewaaibisha wana CCM ambao walionekana kuunanga muungano wao vyama vitatu, muungano ambao kimsingi umekosa mashiko hasa baada ya hotuba ya Rais JAKAYA KIKWETE. Wanamtaka Rais awaite kwenda ikulu kufanya nini kama kweli wanaona LISSU ameonewa?
Mkuu, naona wewe ndo hujaelewa kabisa. Mbowe katika maelezo yake anasema kuwa alichosema Lissu kina baraka ya kambi ya upinzani kitu ambacho sicho. kama maneno ya uongo, uzandiki na uzushi ni msimamo wa kambi ya upinzani, basi sina imani kabisa na chadema
CHADEMA kama wanajitakia mema na waendelee kukubalika na kuungwa mkono na wananchi, ni vema wakajitafakari na kupima upya uwezo na busara za watu wanaowakabidhi madaraka
Sikubaliani kabisa na maneno ya MBOWE kuwa, Rais JAKAYA KIKWETE kumshambulia TUNDU LISSU wakati wa hotuba yake kuwa alimuonea kwa madai kuwa maneno ya LISSU hayakuwa yake bali ni ya kambi rasmi ya upinzani.
Nadiriki kusema kuwa wanachokifanya hivi sasa CHADEMA ni kujaribu kumusafisha LISSU na tabia yake ya siku nyingi kutoa maneno ya kizushi, dhihaka kwa serikali na mbwebwe nyingine nyingi ambazo kwa uhakika wanaolitakia amani taifa letu, ndani ya Bunge(wale wa chama tawala na upinzani), nje ya bunge, wasomi na hata wananchi wa kawaida walishaanza kuingiwa wasiwasi na utimamu wa akili ya Mbunge huyu.
Siku chache zilizopita , LISSU amepambwa sana kwenye vyombo vya habari, wapambe wake, kwenye mitandao ya kijamii kuwa ni mtu tishio, lakini hakuna aliyesimama na kusema siyo yeye aliye tishio bali ni chama kwa ujumla, ila leo ambapo Rais ameonesha kukerwa na pengine sasa kama mkuu wa nchi anaona anakoelekea LISSU ni hatari kwa amani ya nchi yetu ndipo wanaibuka akina MBOWE na kusema kuwa yale yalikuwa maneno ya Kambi ya Upinzani na kwamba Rais hajamtendea haki na kwamba amuombe msamaha, kwa lipi mpaka rais amuombe msamaha LISSU kama siyo kumkosea adabu mheshimiwa Rais na kuendelea kulea ugonjwa kwa vile LISSU ataona kama amepewa go ahead na mkubwa wake kuendelea kusema hovyo.
MBOWE anasemaje Rais amuombe radhi LISSU wakati huo wanampongeza kwa hotuba yake huku wakisema amewaaibisha wana CCM ambao walionekana kuunanga muungano wao vyama vitatu, muungano ambao kimsingi umekosa mashiko hasa baada ya hotuba ya Rais JAKAYA KIKWETE. Wanamtaka Rais awaite kwenda ikulu kufanya nini kama kweli wanaona LISSU ameonewa?
Ungejua kuwa mtu uliyemuandikia hivyo wala hata haguswi na mambo yenu ya kushabikia vyama na kusahau mustakabali wa Taifa letu nadhani ungefuta hayo uliyoandika...
Imefika mahali lazima wananchi mtambue kuwa aseme Lissu au aseme Kikwete, kinachotakiwa ni kupata Katiba yenye rutuba na sio kuanza kupishana kauli...
JK alichotakiwa kufanya sio kuanza kulumbanisha kauli, au kuanza kuwanyooshea vidole wafuasi wenzake wa CCM au kina Lissu & Co...kumbuka katiba ya JMT inamtambua JK kama Rais wa Watanzania(pasipo kuzingatia itikadi zao) na sio Mwenyekiti wa CCM
ALitakiwa atoe tamko lenye kuashiria hitimisho la mnyukano uliojitokeza kwa maslahi ya wananchi wa Tanzania...lazima ujue hao kina Lissu au CCM wataendelea kuzozana na wala hawataweza kuwa kitu kimoja...
Kazi gani, wakati yeye ndiye chanzo cha Mbunge wake kuropoka kama kama mtu aliyefumaniwa Chooni.
Heading na content haviendani mkuu...binafsi nilidhani utakuja na hoja za kutokukubaliana na kauli ya Freeman Mbowe.
Lakini nikionacho ni maelezo tu ukieleza tu hali ya mambo ilivyotukia...umeshindwa hata kuweka bayana hizo hoja za Lissu ambazo kwazo Mh. Jakaya Kikwete anaziona ni za kizandiki...
Aliyemjibu mtu anayejisemea kama mwendawazimu tumwiteje?.wewe umemezwa na ushabiki wa kutotaka kuona LISSU akiguswa, ndiyo wale wale mnaomvimbisha kichwa LISSU na kupelekea kujisemea kama mwendawaizmu.
Mkuu nimemuelewa ndugu mleta mada kwa mujibu wa alivyojitahidi kufafanua...
Suala ambalo nilitaka mleta mada kwa upeo wake atufafanulie, je hayo mawazo ya Tundu Lissu ambayo Bw Mbowe ameyaita ni baraka kutoka Kambi Rasmi ya Upinzani yana mantiki yoyote?
Je aliyoyazungumza Bw. Lissu yana maslahi na tija katika upatikanaji wa Katiba Mpya?
NB:
Tambua kuwa mvutano huu sasa umegeuzwa kuwa ni jambo la kisiasa na sio jambo la umma...
Unataka kutuaminisha kuwa Ikulu imegeuka mgahawa?.Waende tu wanywe juice Ikulu waache kutuzingua.