Soma vizuri bandiko langu acha kukurupuka.Chief spy unaemtaja anahusikaje na jaribio la kifo cha Lissu ilhali uteuzi wake ulianza 2019 na ameondoka 2023
Ilhali Lissu alikutana na dhahma ya risasi 2017
Ukiwa muongo muongo jitahidi uwe na kumbukumbu
Hayo ya Mungu unasema wewe, yeye Lissu anataka kulindwa au kuhakikishiwa usalama wake na Rais.Mungu asipoilinda nyumba, wailindao wafanya KAZI Bure,
Rais haezi mlinda Lissu,
Mungu ndo amlinda Lissu na alimuokoa na MAUTI,
Kuna wakati Huwa nawaza risasi zile zimeleta athari Fulani ktk UBONGO wa Lissu.
Sasa huyo Magufuli yupo?You must be crazy and hopeless1 Mbowe alipigwa risasi? Kila mmoja kuna anavyotazamwa na watawala! Lisu alipelekwa uwanja wa ndege na balozi wa scandinavian countries/USA akikabiliwa na kesi ya uhaini waliyokuwa wameigushi kama ya Mbowe? Unadhani Lisu angelitoka mzima mbele ya magufuli kama siyo balozi za nje kumnusuru?
Kuna mengi yameshajadiliwa, kukubaliana na kufanyika nyuma ya pazia.. Hivyo nadhani hakuna shida sanaMamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.
Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?
BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Sasa huyo magufuli bafobyupoUsijibizane na hayaa mapumbafu hayajui hata nchi inaelekea wapi, wao wanadhani ujasiri wa Lissu kurudi kugombea Urais bhasi Magufuli alishamuacha,wakati target ilikuwa amuue baada ya uchaguzi na wangemuweka lokapu kwa kisingizio Cha kesi wamdunde sindano za sumu Kama alivyokuwa akisema hadharani Heri James M/kiti wa vijana CCM taifa. Majinga na manafiki ndo yanaongea ujinga ujinga
Kwamba POLICE anaowatuhumu kumdhuru ndo wamuhakikishie USALAMA?Hayo ya Mungu unasema wewe, yeye Lissu anataka kulindwa au kuhakikishiwa usalama wake na Rais.
ASANTE FOR YOUR DEEP THINKING AND ANALYSISI OF ISSUES!Usijibizane na hayaa mapumbafu hayajui hata nchi inaelekea wapi, wao wanadhani ujasiri wa Lissu kurudi kugombea Urais bhasi Magufuli alishamuacha,wakati target ilikuwa amuue baada ya uchaguzi na wangemuweka lokapu kwa kisingizio Cha kesi wamdunde sindano za sumu Kama alivyokuwa akisema hadharani Heri James M/kiti wa vijana CCM taifa. Majinga na manafiki ndo yanaongea ujinga ujinga
Asingekimbia ungeandika nini mkuu?Nilimpigia kura, sikujua angekimbia tena.
Naona asirudi tu,
Una uhakika?Najaribu kuwaza watu ambao nao walipitia hali ya kushambuliwa na kunusurika kifo ila bado wapo nchi hawakuwahi kuwakimbia watesaji wao.
Magufuli hakuwa mjinga, alijua kuwa dunia nzima inamtazama yeye wkati wa kampeni na uchaguzi. Alisubiri attention ya dunia iondoke baada ya uchaguzi, then aendelee na hujuma dhidi yake.Kuna watu wamekuuliza hapo, huyo lisu 2020 aliporudi kugombea urais akazunguka nchi nzima nani alimgusa.
Magu anaemsingizia kwamba ndio alikuwa mtesiwake Sasa hayupo for 2years.
Mambo mengine nikutafuta kiki za kijinga tu.
But with the trend of what happened before and after his shooting, one can irresistibly point to the involvement of the government of Magufuli!Tundu Lissu hana hakika ni nani adui yake, Lissu hana hakika nani alimpiga risasi wala kundi gani liliandaa lile tukio!
Kaka umeongea kitu kizito sana! π€π€π€Lissu arudi tuu. Alietaka kumuua hana tena pumzi,hana tena mamlaka,kaoza nyama zote,kaliwa na wadudu,kabaki fuvu tuu na mfupa wa kiuno chini ya futi sita. Spy Chief hana tena kazi,aliteuliwa usiku katenguliwa usiku. Kamanda Zero yupo huko ubalozini anajifunza kiingereza uzeeni. Maisha ya binadamu ni hadithi tuu anasemaga Mzee Mwinyi.
Nani kakwambia wapo?! Ni nani kakwambia ukishindwa mission ile utabaki hai?!π Hizi habari mnapata wapi?!Ingekuwa vizuri zaidi ila chama kinamhitaji aongeze Nguvu kwenye hii mikutano iliyoruhusiwa na Yeye ninavomjua hawezi kufika bila kukutana na Mh Samia wazungumze kuhusiana na usalama wake kwa sababu ukweli ni kwamba Watesi wake bado Samia anao serikalini anachapa nao kazi kawabadilisha vitengo tuu Ila wotr wapo serikalini ndo mapungufu ya Rais Samia yalipo hajiamini kuwatema.
Maandiko yanasema usimjaribu Bwana Mungu wako. Ndiyo maana ukishasali usiku huwa unafunga mlango na sio kuacha wazi eti Umeshamkabidhi Mungu jukumu la kukulinda kupitia sala.Yupo Mungu atamlinda na kumwepusha na mabaya yote. Aliyemwokoa ktk gharika lile ndiye huyu atamlinda hata sasa adui zake atawachanganya.
Mashetani kwa sasa wanahaha pa kujificha baada ya baba yao kujifia, Je unawasikia? Yule mzee wa Kipeperushi cha Tanzanite unamsikia tena?Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.
Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?
BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Post ya ovyo kabisa! Huyo jamaa yako alikuwa hapa 2020; kafanya kampeni na kutukana juu nani alimgusa?Alipuuzwa tu. Mhe. Rais Samia alienda Brussels kaongea nae. Kubwa kabisa, Mwenyekiti wake Mbowe anashiriki mikutano ya kujenga taifa Ikulu. Msilete siasa za ovyo kuichafua nchi. Tanzania ni salama sana...anayeogopa labda ni adui wa taifa.πππ
Kwamba Magufuli alitaka kujaribu kumuuwa tena waziwazi au kwamba Lissu alikimbia kubambikiwa kesi?
Tundu Lissu hana hakika ni nani adui yake, Lissu hana hakika nani alimpiga risasi wala kundi gani liliandaa lile tukio!
Mimi nachokiona hapa ni uspesho kwa Lissu kwamba Lissu ni mtu hatari sana kuliko wanasiasa wenzie wote ndio maana yeye bado anawindwa hadi leo na anahitaji kupewa ulinzi na Rais kuhakikushiwa hato sumbuliwa wala kudhuriwa kwa aina yeyote.