Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

Chief spy unaemtaja anahusikaje na jaribio la kifo cha Lissu ilhali uteuzi wake ulianza 2019 na ameondoka 2023
Ilhali Lissu alikutana na dhahma ya risasi 2017

Ukiwa muongo muongo jitahidi uwe na kumbukumbu
Soma vizuri bandiko langu acha kukurupuka.
 
Mungu asipoilinda nyumba, wailindao wafanya KAZI Bure,

Rais haezi mlinda Lissu,

Mungu ndo amlinda Lissu na alimuokoa na MAUTI,

Kuna wakati Huwa nawaza risasi zile zimeleta athari Fulani ktk UBONGO wa Lissu.
Hayo ya Mungu unasema wewe, yeye Lissu anataka kulindwa au kuhakikishiwa usalama wake na Rais.
 
You must be crazy and hopeless1 Mbowe alipigwa risasi? Kila mmoja kuna anavyotazamwa na watawala! Lisu alipelekwa uwanja wa ndege na balozi wa scandinavian countries/USA akikabiliwa na kesi ya uhaini waliyokuwa wameigushi kama ya Mbowe? Unadhani Lisu angelitoka mzima mbele ya magufuli kama siyo balozi za nje kumnusuru?
Sasa huyo Magufuli yupo?
 
Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.

Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?

BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Kuna mengi yameshajadiliwa, kukubaliana na kufanyika nyuma ya pazia.. Hivyo nadhani hakuna shida sana
 
Usijibizane na hayaa mapumbafu hayajui hata nchi inaelekea wapi, wao wanadhani ujasiri wa Lissu kurudi kugombea Urais bhasi Magufuli alishamuacha,wakati target ilikuwa amuue baada ya uchaguzi na wangemuweka lokapu kwa kisingizio Cha kesi wamdunde sindano za sumu Kama alivyokuwa akisema hadharani Heri James M/kiti wa vijana CCM taifa. Majinga na manafiki ndo yanaongea ujinga ujinga
Sasa huyo magufuli bafobyupo
 
Usijibizane na hayaa mapumbafu hayajui hata nchi inaelekea wapi, wao wanadhani ujasiri wa Lissu kurudi kugombea Urais bhasi Magufuli alishamuacha,wakati target ilikuwa amuue baada ya uchaguzi na wangemuweka lokapu kwa kisingizio Cha kesi wamdunde sindano za sumu Kama alivyokuwa akisema hadharani Heri James M/kiti wa vijana CCM taifa. Majinga na manafiki ndo yanaongea ujinga ujinga
ASANTE FOR YOUR DEEP THINKING AND ANALYSISI OF ISSUES!
 
Kuna watu wamekuuliza hapo, huyo lisu 2020 aliporudi kugombea urais akazunguka nchi nzima nani alimgusa.

Magu anaemsingizia kwamba ndio alikuwa mtesiwake Sasa hayupo for 2years.

Mambo mengine nikutafuta kiki za kijinga tu.
Magufuli hakuwa mjinga, alijua kuwa dunia nzima inamtazama yeye wkati wa kampeni na uchaguzi. Alisubiri attention ya dunia iondoke baada ya uchaguzi, then aendelee na hujuma dhidi yake.

Usiwe mtu asiyeweza analyse issues, simple issues. Baada ya uchaguzi kwanini walitaka kumkamata akaokolewa na European na USA embasies? Alikuwa na kosa gani? what was the motive behind the intended arrest?

To crown it all, kwanini walimpiga risasi? wakaondoa CCTV, walinzi etc etc. Huna akili kiasi hicho kuweza kuona kuwa huyu mtu yuko hatarini...
 
Tundu Lissu hana hakika ni nani adui yake, Lissu hana hakika nani alimpiga risasi wala kundi gani liliandaa lile tukio!
But with the trend of what happened before and after his shooting, one can irresistibly point to the involvement of the government of Magufuli!
 
Lissu arudi tuu. Alietaka kumuua hana tena pumzi,hana tena mamlaka,kaoza nyama zote,kaliwa na wadudu,kabaki fuvu tuu na mfupa wa kiuno chini ya futi sita. Spy Chief hana tena kazi,aliteuliwa usiku katenguliwa usiku. Kamanda Zero yupo huko ubalozini anajifunza kiingereza uzeeni. Maisha ya binadamu ni hadithi tuu anasemaga Mzee Mwinyi.
Kaka umeongea kitu kizito sana! 🤔🤔🤔

Mwenye kuelewa ataelewa.....
Ingekuwa vizuri zaidi ila chama kinamhitaji aongeze Nguvu kwenye hii mikutano iliyoruhusiwa na Yeye ninavomjua hawezi kufika bila kukutana na Mh Samia wazungumze kuhusiana na usalama wake kwa sababu ukweli ni kwamba Watesi wake bado Samia anao serikalini anachapa nao kazi kawabadilisha vitengo tuu Ila wotr wapo serikalini ndo mapungufu ya Rais Samia yalipo hajiamini kuwatema.
Nani kakwambia wapo?! Ni nani kakwambia ukishindwa mission ile utabaki hai?!😊 Hizi habari mnapata wapi?!
 
Yupo Mungu atamlinda na kumwepusha na mabaya yote. Aliyemwokoa ktk gharika lile ndiye huyu atamlinda hata sasa adui zake atawachanganya.
Maandiko yanasema usimjaribu Bwana Mungu wako. Ndiyo maana ukishasali usiku huwa unafunga mlango na sio kuacha wazi eti Umeshamkabidhi Mungu jukumu la kukulinda kupitia sala.
 
Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.

Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?

BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Mashetani kwa sasa wanahaha pa kujificha baada ya baba yao kujifia, Je unawasikia? Yule mzee wa Kipeperushi cha Tanzanite unamsikia tena?

Ukiwa mtu makini, haya maisha ya Duniani ni ya kuheshimu sana.
 
Post ya ovyo kabisa! Huyo jamaa yako alikuwa hapa 2020; kafanya kampeni na kutukana juu nani alimgusa?Alipuuzwa tu. Mhe. Rais Samia alienda Brussels kaongea nae. Kubwa kabisa, Mwenyekiti wake Mbowe anashiriki mikutano ya kujenga taifa Ikulu. Msilete siasa za ovyo kuichafua nchi. Tanzania ni salama sana...anayeogopa labda ni adui wa taifa.🙏🙏🙏

Alipuuzwa wakati aliondoka kwa kukimbia. Au unadhani hatukuona kilichokuwa kinaendelea?
 
Shetani nyonya damu keshalala ndani ya futi 12 aje tu kuna amani sasa.
 
Tundu Lissu hana hakika ni nani adui yake, Lissu hana hakika nani alimpiga risasi wala kundi gani liliandaa lile tukio!

Aaa wapi, Lisu alikuwa anamtaja Magufuli waziwazi kuhusu shambulio lake, na mazingira ya shambulio lake aliyeweka wazi. Hivi mnatuona ni watoto hatujui ukweli ni upi? Tena isitoshe wakati ule CDM walipendekeza kuletwe shirika binafsi la nje kufanya uchunguzi wa tukio lile, maana Taasisi za ndani zilishachagua upande kwenye shambulio lake, kwa kutaka ama kwa kulazimishwa.
 
Mimi nachokiona hapa ni uspesho kwa Lissu kwamba Lissu ni mtu hatari sana kuliko wanasiasa wenzie wote ndio maana yeye bado anawindwa hadi leo na anahitaji kupewa ulinzi na Rais kuhakikushiwa hato sumbuliwa wala kudhuriwa kwa aina yeyote.

Huo ndio ukweli hata kama unataka kuongea kwa njia ya kubeza.
 
Back
Top Bottom