Labda Rais akiwaambia msimdhuru Lissu hapo ndio atakuwa salama au labda kuna ulinzi spesho wa Rais ambao ataagiza ulimnde Lissu.Kwamba POLICE anaowatuhumu kumdhuru ndo wamuhakikishie USALAMA?
Akae huko huko sasa.
Kwamba apewe ulinzi spesho Kutoka Serikalini!!!!¡!!!Labda Rais akiwaambia msimdhuru Lissu hapo ndio atakuwa salama au labda kuna ulinzi spesho wa Rais ambao ataagiza ulimnde Lissu.
Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm.Chadema imejifia hukuna wa kuangaika nayo
Labda Rais akiwaambia msimdhuru Lissu hapo ndio atakuwa salama au labda kuna ulinzi spesho wa Rais ambao ataagiza ulimnde Lissu.
Ni Lissu huyohuyo alisema ata kama mwenyekiti wake anahusika achukuluwe hatua!Aaa wapi, Lisu alikuwa anamtaja Magufuli waziwazi kuhusu shambulio lake, na mazingira ya shambulio lake aliyeweka wazi. Hivi mnatuona ni watoto hatujui ukweli ni upi? Tena isitoshe wakati ule CDM walipendekeza kuletwe shirika binafsi la nje kufanya uchunguzi wa tukio lile, maana Taasisi za ndani zilishachagua upande kwenye shambulio lake, kwa kutaka ama kwa kulazimishwa.
Kwamba apewe ulinzi spesho Kutoka Serikalini!!!!¡!!!
Tz Bado hatujafikia huko, walinzi wa chama chake unatosha.
Basi Rais awaambie hao wabaya wa Lissu wasimdhuru Lissu tena, yani Rais ahakikishe usalama wa Lissi kuwa haguswi.Kwamba apewe ulinzi spesho Kutoka Serikalini!!!!¡!!!
Tz Bado hatujafikia huko, walinzi wa chama chake unatosha.
Kwamba Rais atoe kauli gani?Kauli ya rais tu, maana shambulizi lake lilikuwa la kisiasa. Wamkudhuru wanapewa maagizo na huyo huyo rais.
Wakati wa kugombea urais serikali uwa inashiriki kuhakikisha usalama wa wagombeaSasa mbona alirudi na akagombea Urais na kufanya kampeni nchi nzima?usalama wake ulikuaje kipindi hiko?
Aliyetaka kumwua alijulikana wazi. Na mwaka 2020 Lisu alipokuwa kwenye kampeni, Dunia nzima ilikuwa inafuatilia, ndiyo maana yule muuaji aliogopa kumfanyia chochote. Alikuwa akisubiri uchaguzi upite. Ndipo alipomwandalia kesi ya ugaidi. Bahati nzuri hata kwenye vyombo vya dola watu wazuri wapo, wakatoa taarifa kwa watu wa karibu wa Lisu.Kuna watu wamekuuliza hapo, huyo lisu 2020 aliporudi kugombea urais akazunguka nchi nzima nani alimgusa.
Magu anaemsingizia kwamba ndio alikuwa mtesiwake Sasa hayupo for 2years.
Mambo mengine nikutafuta kiki za kijinga tu.
Naelewa kwamba siku zote Lissu ni mtu spesho ndio maana nikasema hata katika hili Lissu anahitaji kuhakikishiwa usalama wake moja kwa moja kutoka kwa Rais bila ya hivyo Lissu haji Tanzania, hivyo ni muendelezo wa uspesho wa Lissu hapa Tanzania.Huo ndio ukweli hata kama unataka kuongea kwa njia ya kubeza.
Aache mambo meng arudi om, mbona MDUDE Nyangali tupo naye mtaani??Basi Rais awaambie hao wabaya wa Lissu wasimdhuru Lissu tena, yani Rais ahakikishe usalama wa Lissi kuwa haguswi.
Wangemdhuru muda ule wa uchaguzi nini kingetokea?Wakati wa kugombea urais serikali uwa inashiriki kuhakikisha usalama wa wagombea
Pia dunia yote macho yalielekea kwenye kuona uchaguzi unavyoendelea,ivyo wale wahuni wasingeweza kumdhuru ktk mazingira hayo maana dunia nzima ilikuwa ina-monitor kinachoendelea kwenye kampeni.
Baada ya kampeni ndipo wakataka kumkamata lakini German embassy iliingilia kati na kumsafirisha Lissu nje.
Hapana mkuu Lissu ni mtu spesho si sawa na mtu mwengine yeyote.Aache mambo meng arudi om, mbona mdude tupo naye mtaani,
Yeye ni mwanadamu kama wengine.
Uchaguzi ungeahirishwa na Amani ingetatizwa.Wangemdhuru muda ule wa uchaguzi nini kingetokea?
Duh! Kweli Lissu ni binaadamu spesho.Uchaguzi ungeahirishwa na Amani ingetatizwa.
WANADAMU wote ni sawa machoni pa muumba,Hapana mkuu Lissu ni mtu spesho si sawa na mtu mwengine yeyote.
Yeye anaamini zaidi ulinzi wa kuhakikishiwa na Rais.WANADAMU wote ni sawa machoni pa muumba,
Asiogope, Mungu atamlinda.
Ni Lissu huyohuyo alisema ata kama mwenyekiti wake anahusika achukuluwe hatua!
Kwamba atalinda usalama wake.Kwamba Rais atoe kauli gani?
Naelewa kwamba siku zote Lissu ni mtu spesho ndio maana nikasema hata katika hili Lissu anahitaji kuhakikishiwa usalama wake moja kwa moja kutoka kwa Rais bila ya hivyo Lissu haji Tanzania, hivyo ni muendelezo wa uspesho wa Lissu hapa Tanzania.