Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

Arudi nyumbani huyu mtanzania mwenzetu. Lakini na sie tunashauku ya kujua zaidi kuhusu zile breaking news za kifo cha Rais wetu alizokua anazitoa huko mitandaoni ughaibuni akijinasibu kua 'source' zake za uhakika zimemhakikishia kifo cha Rais wetu.
 
Tundu Lissu ana deni kubwa kwa Watanzania. Mungu amjalie sana. Man of God.
 
Sasa Magu hayupo mwaka wa 2 huu.. Vipi huyu mr Lisu anahofia kitu gani?
 
Magufuli kashafariki!
. Vipi mbona harudi sasa?
 
Nafasi nzuri kama zipi? Si mnasema sukuma gang imekomeshwa?
 
Arudi nyumbani huyu mtanzania mwenzetu. Lakini na sie tunashauku ya kujua zaidi kuhusu zile breaking news za kifo cha Rais wetu alizokua anazitoa huko mitandaoni ughaibuni akijinasibu kua 'source' zake za uhakika zimemhakikishia kifo cha Rais wetu.
Kwani unadhani humu kwenye taasisi zetu hakuna ndugu/marafiki/wapendwa/majirani zake ambao wanampenyezea taarifa!
 
Binafsi, natofautiana nawe juu ya hili.
Sasa sijui utataka nieleze sababu?
 
Labda Rais akiwaambia msimdhuru Lissu hapo ndio atakuwa salama au labda kuna ulinzi spesho wa Rais ambao ataagiza ulimnde Lissu.
Issue ni simple, nani aliondoa cctv na walinzi kwake? Hao wanajulikana....hao wakamatwe na ndiyo atakuwa salama akirudi. Aliyesema Mbowe safari hii huchomoki kapandishwa cheo, akawa shahidi mkubwa wa kesi ya kubambikia Mbowe, leo yuko ofisini na cheo kikubwa. Usalama uko wapi wa Lisu?
 
A very good point to note! kama hawahusiki magufuli for that matter, kwanini walikataa kuleta wachunguzi kutoka nje!
 
watekelezaji bado wako ofisini. Jiwe aliwatuma watu, bado wako ofisini! Hao ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…