Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mungu yupo upande wake, ndio maana hadi leo yupo hai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matendo makuu ya MunguLissu died and rose again, haezi kufa twice.
Wako bize na ManaraUnahatarisha maisha yako kuteteta waTz, halafu waTz wenyewe ndio hawa. Asirudi
Tundu Lissu ana deni kubwa kwa Watanzania. Mungu amjalie sana. Man of God.Lissu hakumuogopa Magu akiwa hai, iweje aogope kivuli Cha Magu?
Mwambieni pia kuhadaa watu anakuja na asije ni DHARAU Kwa wananchi waliomuombea akiwa on bed na akiwa salama.
Maana amesema zaidi ya maratatu naja naja na asionekane.
NDIO yake iwe NDIO na HAPANA yake iwe HAPANA.
Sasa Magu hayupo mwaka wa 2 huu.. Vipi huyu mr Lisu anahofia kitu gani?Magufuli hakuwa mjinga, alijua kuwa dunia nzima inamtazama yeye wkati wa kampeni na uchaguzi. Alisubiri attention ya dunia iondoke baada ya uchaguzi, then aendelee na hujuma dhidi yake.
Usiwe mtu asiyeweza analyse issues, simple issues. Baada ya uchaguzi kwanini walitaka kumkamata akaokolewa na European na USA embasies? Alikuwa na kosa gani? what was the motive behind the intended arrest?
To crown it all, kwanini walimpiga risasi? wakaondoa CCTV, walinzi etc etc. Huna akili kiasi hicho kuweza kuona kuwa huyu mtu yuko hatarini...
Magufuli kashafariki!Aaa wapi, Lisu alikuwa anamtaja Magufuli waziwazi kuhusu shambulio lake, na mazingira ya shambulio lake aliyeweka wazi. Hivi mnatuona ni watoto hatujui ukweli ni upi? Tena isitoshe wakati ule CDM walipendekeza kuletwe shirika binafsi la nje kufanya uchunguzi wa tukio lile, maana Taasisi za ndani zilishachagua upande kwenye shambulio lake, kwa kutaka ama kwa kulazimishwa.
Kwa hiyo anaogopa Samia atamdhuru?Kauli ya rais tu, maana shambulizi lake lilikuwa la kisiasa. Wamkudhuru wanapewa maagizo na huyo huyo rais.
Nafasi nzuri kama zipi? Si mnasema sukuma gang imekomeshwa?Aliyetaka kumwua alijulikana wazi. Na mwaka 2020 Lisu alipokuwa kwenye kampeni, Dunia nzima ilikuwa inafuatilia, ndiyo maana yule muuaji aliogopa kumfanyia chochote. Alikuwa akisubiri uchaguzi upite. Ndipo alipomwandalia kesi ya ugaidi. Bahati nzuri hata kwenye vyombo vya dola watu wazuri wapo, wakatoa taarifa kwa watu wa karibu wa Lisu.
Lisu alisaidiwa na mazingira ya uchaguzi na tabia ya udikteta wa marehemu. Akakimbilia ubalozi wa Ujerumani. Balozi za Ujerumani, Nordic countrues na US walipofanya uchunguzi wao na kujiridhisha kuwa kitisho cha usalama wa Lisu kilikuwa dhahiri, ndipo walipomsaudia kutoroka nchi.
Mastermind amekufa, lakini kundi lake bado lipo. Kwa sasa wapo kwenye nafasi nzyri zaidi kutekeleza uovu wake wakijua kuwa wakifanikiwa, lawama zote zitaenda kwa Rais wa sasa, bila ya wao kuhisiwa au kuguswa.
Lisu hata akirudi, ni lazima aishi kwa tahadhari kubwa. Aliyekufa ni mmoja tu, lakini wasaidizi wake bado wapo. Kaleman aliyeondoa CCTV camera bado yapo, Bashite aliyesimamia opereration iliyokusudia kufanya mauaji bado yupo. Kisanduk aliyefyatua risasi bado yupo. Na wengine waliokuwa kwenye hiyo operation kama akina Kingay, Musiba,bado wapo tele. Akina Jams waliosema wameandaa mpango wa mauaji ambao hautashindwa tena, bado wapo. Kwa hiyo, kimsingi ile timu ya mashetani, ukiondoa mkuu wao, wote bado wapo.
Kwani unadhani humu kwenye taasisi zetu hakuna ndugu/marafiki/wapendwa/majirani zake ambao wanampenyezea taarifa!Arudi nyumbani huyu mtanzania mwenzetu. Lakini na sie tunashauku ya kujua zaidi kuhusu zile breaking news za kifo cha Rais wetu alizokua anazitoa huko mitandaoni ughaibuni akijinasibu kua 'source' zake za uhakika zimemhakikishia kifo cha Rais wetu.
Eti rafiki, watanzania wenyewe ndio sis! Unawafia kwa lipi la zaidi? Hatuwezi kujitetea tukitetewaUnahatarisha maisha yako kuteteta waTz, halafu waTz wenyewe ndio hawa. Asirudi
Binafsi, natofautiana nawe juu ya hili.Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.
Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?
BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Ndio atalindaje sasa ni kwa kumuwekea walinzi spesho au kutangazia umma kwamba Lissu asiguswe na yeyote?Kwamba atalinda usalama wake.
Issue ni simple, nani aliondoa cctv na walinzi kwake? Hao wanajulikana....hao wakamatwe na ndiyo atakuwa salama akirudi. Aliyesema Mbowe safari hii huchomoki kapandishwa cheo, akawa shahidi mkubwa wa kesi ya kubambikia Mbowe, leo yuko ofisini na cheo kikubwa. Usalama uko wapi wa Lisu?Labda Rais akiwaambia msimdhuru Lissu hapo ndio atakuwa salama au labda kuna ulinzi spesho wa Rais ambao ataagiza ulimnde Lissu.
A very good point to note! kama hawahusiki magufuli for that matter, kwanini walikataa kuleta wachunguzi kutoka nje!Aaa wapi, Lisu alikuwa anamtaja Magufuli waziwazi kuhusu shambulio lake, na mazingira ya shambulio lake aliyeweka wazi. Hivi mnatuona ni watoto hatujui ukweli ni upi? Tena isitoshe wakati ule CDM walipendekeza kuletwe shirika binafsi la nje kufanya uchunguzi wa tukio lile, maana Taasisi za ndani zilishachagua upande kwenye shambulio lake, kwa kutaka ama kwa kulazimishwa.
🤣🤣🤣ile dhambi itawatesa kwa muda mrefu sanaSasa Magu hayupo mwaka wa 2 huu.. Vipi huyu mr Lisu anahofia kitu gani?
watekelezaji bado wako ofisini. Jiwe aliwatuma watu, bado wako ofisini! Hao ni hatari sana.Lissu arudi tuu. Alietaka kumuua hana tena pumzi,hana tena mamlaka,kaoza nyama zote,kaliwa na wadudu,kabaki fuvu tuu na mfupa wa kiuno chini ya futi sita. Spy Chief hana tena kazi,aliteuliwa usiku katenguliwa usiku. Kamanda Zero yupo huko ubalozini anajifunza kiingereza uzeeni. Maisha ya binadamu ni hadithi tuu anasemaga Mzee Mwinyi.
Acha wa kutoka nje hata wa ndani hawakuruhusiwaA very good point to note! kama hawahusiki magufuli for that matter, kwanini walikataa kuleta wachunguzi kutoka nje!