Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

Kwamba Magufuli alitaka kujaribu kumuuwa tena waziwazi au kwamba Lissu alikimbia kubambikiwa kesi?
Yes alikuwa abambikiwe kesi ya uhaini! Adhabu no firing squard!
Najaribu kuwaza watu ambao nao walipitia hali ya kushambuliwa na kunusurika kifo ila bado wapo nchi hawakuwahi kuwakimbia watesaji wao.
The magnitude of life threats differs a lot between the two groups you are contemplating!!
 
Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.

Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?

BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Tundu Lissu hana hakika ni nani adui yake, Lissu hana hakika nani alimpiga risasi wala kundi gani liliandaa lile tukio!
 
Kuna watu wamekuuliza hapo, huyo lisu 2020 aliporudi kugombea urais akazunguka nchi nzima nani alimgusa.

Magu anaemsingizia kwamba ndio alikuwa mtesiwake Sasa hayupo for 2years.

Mambo mengine nikutafuta kiki za kijinga tu.
 
Tundu Lissu hana hakika ni nani adui yake, Lissu hana hakika nani alimpiga risasi wala kundi gani liliandaa lile tukio!
Mbona aliwataja hadharani kipiliiiiimbbbbbe na we wenzie mara kadhaa.
 
Yes alikuwa abambikiwe kesi ya uhaini! Adhabu no firing squard!

The magnitude of life threats differs a lot between the two groups you are contemplating!!
Mimi nachokiona hapa ni uspesho kwa Lissu kwamba Lissu ni mtu hatari sana kuliko wanasiasa wenzie wote ndio maana yeye bado anawindwa hadi leo na anahitaji kupewa ulinzi na Rais kuhakikushiwa hato sumbuliwa wala kudhuriwa kwa aina yeyote.
 
Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.

Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO SALAMA KURUDI?

BE SKEPTICAL, KUWA SKEPTICAL NI AKILI (to quote you!)
Kweli asirudi ila arudi siku ya kuzindua kampeni zake za kugombea urais
 
Na wewe ni mbuzi kwa walioserikalini wanakwambia mzee Magu alimchunia amalize kampeni ndo amumalize kabisa ila Mungu Mkubwa ubalozi wa mataifa matatu ukaingilia Kati kumwokoa,wewe upo unabweka unakula na kulala bure kwa baba yako hujui ya dunia.
Hata kwa Sasa asirudi ila arudi wakati wa kampeni
 
You must be crazy and hopeless1 Mbowe alipigwa risasi? Kila mmoja kuna anavyotazamwa na watawala! Lisu alipelekwa uwanja wa ndege na balozi wa scandinavian countries/USA akikabiliwa na kesi ya uhaini waliyokuwa wameigushi kama ya Mbowe? Unadhani Lisu angelitoka mzima mbele ya magufuli kama siyo balozi za nje kumnusuru?
Usijibizane na hayaa mapumbafu hayajui hata nchi inaelekea wapi, wao wanadhani ujasiri wa Lissu kurudi kugombea Urais bhasi Magufuli alishamuacha,wakati target ilikuwa amuue baada ya uchaguzi na wangemuweka lokapu kwa kisingizio Cha kesi wamdunde sindano za sumu Kama alivyokuwa akisema hadharani Heri James M/kiti wa vijana CCM taifa. Majinga na manafiki ndo yanaongea ujinga ujinga
 
Mimi nachokiona hapa ni uspesho kwa Lissu kwamba Lissu ni mtu hatari sana kuliko wanasiasa wenzie wote ndio maana yeye bado anawindwa hadi leo na anahitaji kupewa ulinzi na Rais kuhakikushiwa hato sumbuliwa wala kudhuriwa kwa aina yeyote.
Wewe ndo unaona mbali haya majinga ya UvCCM yanayowaza vyeo ni kuropoka tu,Lissu anawindwa na CCM na huyu Samia kwa CCM ni Cha mtoto Kuna watu ndani ya CCM hawapendi Amani kwa kuwa wanakwapua mali za nchi waziwazi na Lissu Kama si tu msomi mahiri Bali kuzijua sheria za nchi kwa upana na kuwa tayari kuwaeleza watanzania ukweli hayo majizi makubwa ndani ya CCM nje na utawala wa Samia hawapendi Lissu aongee.
 
Lissu arudi tuu. Alietaka kumuua hana tena pumzi,hana tena mamlaka,kaoza nyama zote,kaliwa na wadudu,kabaki fuvu tuu na mfupa wa kiuno chini ya futi sita. Spy Chief hana tena kazi,aliteuliwa usiku katenguliwa usiku. Kamanda Zero yupo huko ubalozini anajifunza kiingereza uzeeni. Maisha ya binadamu ni hadithi tuu anasemaga Mzee Mwinyi.
 
Mimi nachokiona hapa ni uspesho kwa Lissu kwamba Lissu ni mtu hatari sana kuliko wanasiasa wenzie wote ndio maana yeye bado anawindwa hadi leo na anahitaji kupewa ulinzi na Rais kuhakikushiwa hato sumbuliwa wala kudhuriwa kwa aina yeyote.
Mungu asipoilinda nyumba, wailindao wafanya KAZI Bure,

Rais haezi mlinda Lissu,

Mungu ndo amlinda Lissu na alimuokoa na MAUTI,

Kuna wakati Huwa nawaza risasi zile zimeleta athari Fulani ktk UBONGO wa Lissu.
 
Yeye apambane kuwatafutia ugali wanae kwa sababu arudi asirudi hakuna atakacho badilisha
 
Hata kwa Sasa asirudi ila arudi wakati wa kampeni
Ingekuwa vizuri zaidi ila chama kinamhitaji aongeze Nguvu kwenye hii mikutano iliyoruhusiwa na Yeye ninavomjua hawezi kufika bila kukutana na Mh Samia wazungumze kuhusiana na usalama wake kwa sababu ukweli ni kwamba Watesi wake bado Samia anao serikalini anachapa nao kazi kawabadilisha vitengo tuu Ila wotr wapo serikalini ndo mapungufu ya Rais Samia yalipo hajiamini kuwatema.
 
Lissu arudi tuu. Alietaka kumuua hana tena pumzi,hana tena mamlaka,kaoza nyama zote,kaliwa na wadudu,kabaki fuvu tuu na mfupa wa kiuno chini ya futi sita. Spy Chief hana tena kazi,aliteuliwa usiku katenguliwa usiku. Kamanda Zero yupo huko ubalozini anajifunza kiingereza uzeeni. Maisha ya binadamu ni hadithi tuu anasemaga Mzee Mwinyi.
Umenifurahisha Kama mazuri kafa kabakiz amfupa wa kiuno. Ni kweli keshakufa ila kaacha Ameambukiza Sumu kubwa ndani ya CCM na wasaidizi wake wengi bado Samia anatembea nao na hataki kuachana nao kawabadilisha nafasi tu ila nao ni miongoni mwa washauri wake,Samia kama Mzanzibari angekuwa na dhamira njema angeacha katiba Mpya akimaliza mda wake ajiendee zake Zanzibar apumzike atuache Wabara na katiba nzuri
 
Lissu arudi tuu. Alietaka kumuua hana tena pumzi,hana tena mamlaka,kaoza nyama zote,kaliwa na wadudu,kabaki fuvu tuu na mfupa wa kiuno chini ya futi sita. Spy Chief hana tena kazi,aliteuliwa usiku katenguliwa usiku. Kamanda Zero yupo huko ubalozini anajifunza kiingereza uzeeni. Maisha ya binadamu ni hadithi tuu anasemaga Mzee Mwinyi.

Chief spy unaemtaja anahusikaje na jaribio la kifo cha Lissu ilhali uteuzi wake ulianza 2019 na ameondoka 2023
Ilhali Lissu alikutana na dhahma ya risasi 2017

Ukiwa muongo muongo jitahidi uwe na kumbukumbu
 
Back
Top Bottom