Pre GE2025 Tundu Lissu: Uhusiano wa Mbowe na Serikali ya Rais Samia umetugharimu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi sababu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa na kutoa maoni yake kuhusu changamoto za kisiasa nchini.

Lissu ameyasema hayo wakati wa mahojiano ya hivi karibuni na kituo cha habari cha Voice of America (VOA), ambapo amezungumzia masuala ya mabadiliko ndani ya chama na hatua za kulazimisha mageuzi ya kidemokrasia nchini.
IMG_1583.jpeg

Lissu amesema CHADEMA inahitaji uongozi mpya ambao utaiondoa nchi kutoka kwenye mkwamo wa kisiasa uliopo sasa. Ameeleza kuwa mazungumzo ya maridhiano na Rais Samia Suluhu Hassan ambayo yamefanyika kwa takriban miaka miwili hayajazaa matunda yoyote, akisisitiza kuwa ni wakati wa kuanzisha "Nguvu ya Umma" (mass mobilization) ili kuamsha taifa na kushirikiana na asasi za kiraia na vyama vingine vya siasa kulazimisha mabadiliko ya kidemokrasia.

"Tunatakiwa kufanikisha mabadiliko makubwa ya kidemokrasia ili kulazimisha mabadiliko ya mfumo wa uongozi," amesema Lissu.

Pia, Soma: Lissu: CHADEMA ipo nusu kaputi, Mbowe hataki kupambana na Samia

Alipoulizwa kuhusu tofauti kati yake na Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Lissu amekiri kuwa kuna tofauti za kimsingi juu ya namna ya kukipeleka chama mbele. Amedai kuwa uongozi wa sasa haujachukua hatua za kutosha kupambana na changamoto zinazolikabili taifa, kama vile utekaji na mauaji ya wanachama wa chama hicho.

"Chama kinaonekana kipo nusu kaputi kwa sababu Mwenyekiti haonekani kutaka kubomoa daraja na uongozi wa Rais Samia," amesema Lissu.
IMG_1584.jpeg

Lissu ameeleza msimamo wa CHADEMA kuhusu kushiriki uchaguzi, akisema chama hicho hakitashiriki chaguzi zozote zijazo kama hakutakuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Amerejelea uchaguzi wa serikali za vijiji, vitongoji, na mitaa uliofanyika hivi karibuni, akisema ulikuwa "majanga" kwa kiwango cha udanganyifu kilichofanywa.

"Tumesimama kwenye msimamo wa No Reforms, No Election. Lazima tupiganie mabadiliko kabla ya kushiriki chaguzi," amesisitiza Lissu.

Lissu ametoa wito wa mabadiliko ndani ya CHADEMA, akisema chama hicho hakiwezi kupambana na changamoto za nje kama hakitasafisha mfumo wake wa ndani.
 
K
Tatizo la LISSU kuwa controlled by Msigwa
Kwani miaka yote ya uongozi wa mbowe lissu alikuwa controlled na musigwa? Wapo akina heche watagombea. Mbowe akae pembeni. Lakini mbowe hatakubali. Pia sidhani kama Lisu akiwa mwenyekiti msigwa ata muamlisha toka ccm. Kwani mbowe mbona yuko controlled ba Samia toka waingie maridhiano.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi sababu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa na kutoa maoni yake kuhusu changamoto za kisiasa nchini.

Lissu ameyasema hayo wakati wa mahojiano ya hivi karibuni na kituo cha habari cha Voice of America (VOA), ambapo amezungumzia masuala ya mabadiliko ndani ya chama na hatua za kulazimisha mageuzi ya kidemokrasia nchini.
View attachment 3177020

View attachment 3177021

Mwenyekiti mtarajiwa Lissu yuko sahihi , Mbowe akili imefika mwisho akae pembeni
 
Moja ya mafanikio ya maridhiano ni Lissu kurudi Tanzania, sasa imemgharimu vipi? Pia siasa sio uadui
 
Msigwa kaharibu akili za Lissu
K

Kwani miaka yote ya uongozi wa mbowe lissu alikuwa controlled na musigwa? Wapo akina heche watagombea. Mbowe akae pembeni. Lakini mbowe hatakubali. Pia sidhani kama Lisu akiwa mwenyekiti msigwa ata muamlisha toka ccm. Kwani mbowe mbona yuko controlled ba Samia toka waingie maridhiano.
 
Moja ya mafanikio ya maridhiano ni Lissu kurudi Tanzania, sasa imemgharimu vipi? Pia siasa sio uadui
Chama hakieleweki huu ni wakati wa kwenda na ccm sako kwa bako, hili jambo Lissu ndio analiweza , Mbowe ameshakuwa mzee wa busara hafai
 
Lakini mbowe ana mwili timamu
 
CCM wanamhitaji sana mbowe kuliko chadema. Mbowe amefanya CDM kuwa dhaifu na CCM kuwa strong. Mbowe aache kuwa mugabe wa CDM!!!!!
Muhuni mbowe kafuata njia ya zitto ....mbowe alikuwa anatumika na maadui wa JPM na maadui wa UZALENDO waliopo ndani ya ccm na hao maadui ndiyo wameshika nchi kwa sasa .....kuhusu ccm ...ccm ni chama mfu tayari ni kama kifo cha mti wa MBUYU....mti wa mbuyu ukifa unabaki umesimama imara japo umekwisha kufa na kukauka kabisa ....njia nyepesi ya kuuteketeza huo mbuyu mfu ni kuutia MOTO TU
 
K

Kwani miaka yote ya uongozi wa mbowe lissu alikuwa controlled na musigwa? Wapo akina heche watagombea. Mbowe akae pembeni. Lakini mbowe hatakubali. Pia sidhani kama Lisu akiwa mwenyekiti msigwa ata muamlisha toka ccm. Kwani mbowe mbona yuko controlled ba Samia toka waingie maridhiano.
Mbowe ana backing ya serikali, they know yeye ndio only guy anae zuia upinzani kuwa aggressive na kuishia kufanya siasa za ki father sana. While ccm is aggressive
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi sababu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa na kutoa maoni yake kuhusu changamoto za kisiasa nchini.

Lissu ameyasema hayo wakati wa mahojiano ya hivi karibuni na kituo cha habari cha Voice of America (VOA), ambapo amezungumzia masuala ya mabadiliko ndani ya chama na hatua za kulazimisha mageuzi ya kidemokrasia nchini.
View attachment 3177020
Lissu amesema CHADEMA inahitaji uongozi mpya ambao utaiondoa nchi kutoka kwenye mkwamo wa kisiasa uliopo sasa. Ameeleza kuwa mazungumzo ya maridhiano na Rais Samia Suluhu Hassan ambayo yamefanyika kwa takriban miaka miwili hayajazaa matunda yoyote, akisisitiza kuwa ni wakati wa kuanzisha "Nguvu ya Umma" (mass mobilization) ili kuamsha taifa na kushirikiana na asasi za kiraia na vyama vingine vya siasa kulazimisha mabadiliko ya kidemokrasia.

"Tunatakiwa kufanikisha mabadiliko makubwa ya kidemokrasia ili kulazimisha mabadiliko ya mfumo wa uongozi," amesema Lissu.

Pia, Soma: Lissu: CHADEMA ipo nusu kaputi, Mbowe hataki kupambana na Samia

Alipoulizwa kuhusu tofauti kati yake na Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Lissu amekiri kuwa kuna tofauti za kimsingi juu ya namna ya kukipeleka chama mbele. Amedai kuwa uongozi wa sasa haujachukua hatua za kutosha kupambana na changamoto zinazolikabili taifa, kama vile utekaji na mauaji ya wanachama wa chama hicho.

"Chama kinaonekana kipo nusu kaputi kwa sababu Mwenyekiti haonekani kutaka kubomoa daraja na uongozi wa Rais Samia," amesema Lissu.
View attachment 3177021
Lissu ameeleza msimamo wa CHADEMA kuhusu kushiriki uchaguzi, akisema chama hicho hakitashiriki chaguzi zozote zijazo kama hakutakuwa na mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Amerejelea uchaguzi wa serikali za vijiji, vitongoji, na mitaa uliofanyika hivi karibuni, akisema ulikuwa "majanga" kwa kiwango cha udanganyifu kilichofanywa.

"Tumesimama kwenye msimamo wa No Reforms, No Election. Lazima tupiganie mabadiliko kabla ya kushiriki chaguzi," amesisitiza Lissu.

Lissu ametoa wito wa mabadiliko ndani ya CHADEMA, akisema chama hicho hakiwezi kupambana na changamoto za nje kama hakitasafisha mfumo wake wa ndani.
hapo uliandika mwenyekiti wa chadema ni makosa ya kiuandishi au ndiyo maandalizi ya kumpoka mbowe nafasi yake?
 
Anachokisema Lissu ni sahihi kabisa mabadiliko ni muhimu sana,Chadema ya leo wapo watu wamegeuka na kufanya kisirisiri kazi za CCM,kwa sasa chama kipo na watanzania wanakifahamu vzr CHADEMA na wanakiunga mkono vzr,tatizo ni uongozi tu, nchi haiwezi kukaa ni kama haina vyama makini vya upinzani ni Aibu kubwa kwa Taifa na wanaoongoza vyama hivyo,CCM hii haina urafiki na mtu na wala halihitaji maridhiano na kiumbe yeyote ndani ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ndio maana inaiba kura na kupoka madaraka ya wananchi,CCM Ilipofika sasa inaua yeyote anayesema Ukweli na kuwasemea watanzania wanyonge na maskini.Mabadiliko ya uongozi CHADEMA ni muhimu sana sana ili tuondoke hapo tulipo,ili kama ni ustaarabu ktk uchaguzi na mambo mengine ktk nchi uwahusu CCM na VYAMA vyote na sio CCM wakose ustaarabu Alafu watake vyama vingine viwe na ustaarabu huo, haitawezekana zaidi ya hapo ni maandalizi ya machafuko ndani ya nchi.
 
Back
Top Bottom