Tundu Lissu una uchungu na Taifa lako. Unaumia linavyoibiwa ila Mbowe ameungana na wanaoliibia

Tundu Lissu una uchungu na Taifa lako. Unaumia linavyoibiwa ila Mbowe ameungana na wanaoliibia

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Chama chetu hakina mwenyekiti bali kina mpigaji tu.

Lissu unaongea kwa uchungu sana. Nimesikia ukizungumzia wizi wa wanyama pori huko Loliondo.

Wizi wa pesa za umma ambazo ni kodi ya wananchi.

Tatizo Chadema ni mganga njaa Mbowe
 
Kumuamini mwanasiasa ni dhambi ambayo sijawi na siwezi kuifanya kamwe
 
Lissu na yeye anakulamo kulamo, alishapewa za awali, Sasa kaijia nyingine.

Si unaona anavyofutuka mwili
 
Chama chetu hakina mwenyekiti bali kina mpigaji tu.

Lissu unaongea kwa uchungu sana. Nimesikia ukizungumzia wizi wa wanyama pori huko Loliondo.

Wizi wa pesa za umma ambazo ni kodi ya wananchi.

Tatizo Chadema ni mganga njaa Mbowe
Wewe bwege kwani huko CCM hakuna wanaume hadi unamng'ang'ania Mbowe kiasi hicho au ndiye alikutoa usichana wako?
 
Chama chetu hakina mwenyekiti bali kina mpigaji tu.

Lissu unaongea kwa uchungu sana. Nimesikia ukizungumzia wizi wa wanyama pori huko Loliondo.

Wizi wa pesa za umma ambazo ni kodi ya wananchi.

Tatizo Chadema ni mganga njaa Mbowe
Sukuma gang katika ubora wako.
 
Genge la mzee wa 'maendereo hayana vyama' pamoja na wale wa vyama vyenye bendera nyingi kuliko wanachama, vipo katika harakati za kuchochea hali ya kutoelewana kati ya Mbowe na viongozi wengine wa chama chake.
 
Duh unamjua kiasi hicho
Ile apartment ya ubeleji walikuwa wanaokota chupa za pomb Kali na wine za bei mbaya, ikabidi mke alale mbele.

Be careful with him, si yule wa zamani
 
Lisu Hana hoja zozote zaidi ya ubabaishaji tu na uropokaji usio na ushahidi ndani yake.

Nionyeshe Ni wapi alipowapatieni ushahidi wa usafirishaji wa wanyama pori wetu kutoka katika mbuga zetu? Nionyesheni ushahidi alipowapatieni wa aina ya ndege,shirika la ndege,namba za ndege na wakati ilipotua na kuondoka mbugani,nionyesheni ushahidi wa picha na video wa upakiaji wa wanyama pori wetu toka katika hifadhi zetu.
 
Ile apartment ya ubeleji walikuwa wanaokota chupa za pomb Kali na wine za bei mbaya, ikabidi mke alale mbele.

Be careful with him, si yule wa zamani
Alilala mbele kwa nn sasa lissu ni mlevi maisha yote toka anamuoa
 
Back
Top Bottom