Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Wewe bwege kwani huko CCM hakuna wanaume hadi unamng'ang'ania Mbowe kiasi hicho au ndiye alikutoa usichana wako?Chama chetu hakina mwenyekiti bali kina mpigaji tu.
Lissu unaongea kwa uchungu sana. Nimesikia ukizungumzia wizi wa wanyama pori huko Loliondo.
Wizi wa pesa za umma ambazo ni kodi ya wananchi.
Tatizo Chadema ni mganga njaa Mbowe
Hutakiwi kumuamini mwanasiasa, unaamini itikadi inayowaunganisha.Kumuamini mwanasiasa ni dhambi ambayo sijawi na siwezi kuifanya kamwe
Sukuma gang katika ubora wako.Chama chetu hakina mwenyekiti bali kina mpigaji tu.
Lissu unaongea kwa uchungu sana. Nimesikia ukizungumzia wizi wa wanyama pori huko Loliondo.
Wizi wa pesa za umma ambazo ni kodi ya wananchi.
Tatizo Chadema ni mganga njaa Mbowe
Kwa kifupi hua sipendi kitu kinaitwa siasaHutakiwi kumuamini mwanasiasa, unaamini itikadi inayowaunganisha.
Akikengeuka wewe unaendeleza itikadi.
Hakuna maisha bila siasa. Hasira zako dhidi ya wanasiasa ndiyo ushiriki wako kwenye siasa yenyewe.Kwa kifupi hua sipendi kitu kinaitwa siasa
Kunenepa ni bia tu haizid milionLissu na yeye anakulamo kulamo, alishapewa za awali, Sasa kaijia nyingine.
Si unaona anavyofutuka mwili
Bia ameshaacha siku hizi, anakunywa zile za bei kaliKunenepa ni bia tu haizid milion
Duh unamjua kiasi hichoBia ameshaacha siku hizi, anakunywa zile za bei kali
Ile apartment ya ubeleji walikuwa wanaokota chupa za pomb Kali na wine za bei mbaya, ikabidi mke alale mbele.Duh unamjua kiasi hicho
Alilala mbele kwa nn sasa lissu ni mlevi maisha yote toka anamuoaIle apartment ya ubeleji walikuwa wanaokota chupa za pomb Kali na wine za bei mbaya, ikabidi mke alale mbele.
Be careful with him, si yule wa zamani