Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

Unaonyesha ulivyo mjinga! Kwani huu ni wakati wa kuelezea sera au wakati wa kutangaza nia?
 
Atakemea vipi rushwa wakati yeye na zito walikuwa wanahongwa kuwadanganya/kuwatisha watanzania kuwa tusipowaruhusu waendelee kupora madini yetu tutashitakiwa?
 
Hivi bado mnatoa rushwa? inamaana hamna elimu ya kutosha kuhusu rushwa?
 
Kwani nani hasemi atasimamia utawala wa sheria?
Mbona hata CCM wanasema.
 
Sikiliza, TAFAKARI, ndio useme. Kuna ya mtangaza nia na kuna ya mgombea na chama chake. Ukichanganya madesa unakuwa kituko. Theme kuu ya Lissu ni utawala bora unaongozwa na sheria bora.
 
Kwani chini rais mchapakazi mr Magufuli hayo Mambo ya kukwepa Kodi na rushwa bado yapo Tanzania?
 
Huna hoja wewe, sasa kama leo miaka sitini ya uhuru hayo mambo hayajafanyika bado mnaomba kura za nini ndio maana mnabaki kuiba kura kila uchaguzi unapowadia. Very hopeless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…