Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea.

Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na mateso makubwa badili mfumo wa Sera zako zijikite kwenye mazingira halisi ya nchi yetu inayohitaji. Maji, umeme, afya bora uonevu tunaofanyiwa wananchi wa kunyimwa huduma za msingi za kijamii ndo tunaotaka uukemee.

Mheshimiwa Tundu Lissu unaosema wameonewa ni wale ambao wanatuibia na kutuoñea wananchi sisi wananchi tumeteseka muda mrefu tumepata Rais Magufuli anayewabana unaowaita wanaonewaa kwa manufaa ya ya wengi masikini wanaopita kwenye barabara mbovu wanaokunywa maji machafu hawa Magufuli ameamua kula nao sahani moja.

Kaeni na Chama chenu mudraft upya Sera zako Sera ulizooñgea ni dhaifu sana to be the Head of state.

Tuambie mambo ya kuijenga nchi lakini Personal attack zako kwa kweli hafu za uongo na kutunga ukipata kura hats laki moja kati ya wapiga kura una bahati. Umewaangusha wafuasi wako wamenywea, weakest speech ever.
Unaonyesha ulivyo mjinga! Kwani huu ni wakati wa kuelezea sera au wakati wa kutangaza nia?
 
Atakemea vipi rushwa wakati yeye na zito walikuwa wanahongwa kuwadanganya/kuwatisha watanzania kuwa tusipowaruhusu waendelee kupora madini yetu tutashitakiwa?
 
Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea.

Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na mateso makubwa badili mfumo wa Sera zako zijikite kwenye mazingira halisi ya nchi yetu inayohitaji. Maji, umeme, afya bora uonevu tunaofanyiwa wananchi wa kunyimwa huduma za msingi za kijamii ndo tunaotaka uukemee.

Mheshimiwa Tundu Lissu unaosema wameonewa ni wale ambao wanatuibia na kutuoñea wananchi sisi wananchi tumeteseka muda mrefu tumepata Rais Magufuli anayewabana unaowaita wanaonewaa kwa manufaa ya ya wengi masikini wanaopita kwenye barabara mbovu wanaokunywa maji machafu hawa Magufuli ameamua kula nao sahani moja.

Kaeni na Chama chenu mudraft upya Sera zako Sera ulizooñgea ni dhaifu sana to be the Head of state.

Tuambie mambo ya kuijenga nchi lakini Personal attack zako kwa kweli hafu za uongo na kutunga ukipata kura hats laki moja kati ya wapiga kura una bahati. Umewaangusha wafuasi wako wamenywea, weakest speech ever.
Hivi bado mnatoa rushwa? inamaana hamna elimu ya kutosha kuhusu rushwa?
 
Bado mko kizamani sana. Mpaka mtajiwe zahanati, rushwa, ufisadi nk ndio mnaona kuna kitu.

Kwa taarifa yako, unaposema utasimamia utawala wa sheria hilo limemaliza yote maana unazungumzia rushwa wakati IPO mamlaka husika na wewe kama Rais ni wajibu wako kuipa uwezo tuu iwajibike? Zahanati wizara ya Afya unaipa budget yake 100% na inatimiza mipango yake?

Madaraja unahakikisha fedha zilizotengwa zinaenda na kila jambo mamlaka husika yanatimiza wajibu.
Tunataka strong institutions na sio strong persons katika kujenga nchi.

Sio utatuzi wa mambo usubiri msafara wa Rais uje apewe mic na kamera ya TBC1 ndio unapatikana. Hayo mambo ya stone age hatutaki ni ushamba wahed
Kwani nani hasemi atasimamia utawala wa sheria?
Mbona hata CCM wanasema.
 
Sikiliza, TAFAKARI, ndio useme. Kuna ya mtangaza nia na kuna ya mgombea na chama chake. Ukichanganya madesa unakuwa kituko. Theme kuu ya Lissu ni utawala bora unaongozwa na sheria bora.
 
Hili lilihisiwa na wengi kuwa HOTUBA yake inakuwa ya hisia kwa yaliyomtokea zaidi.

Kutekwa watu na kupotea
Kupigwa risasi. Hapa nampa mpole
Kuonewa wapinzani

Mambo ya Muhimu kama
Elimu, Uchumi, ukwepaji wa kodi na Rushwa
Usimamizi wa rasilimali n.k hajagusa
Hotuba ilikuwa dhaifu. Natamani kama akipange atoe labda nyingine.
Kwani chini rais mchapakazi mr Magufuli hayo Mambo ya kukwepa Kodi na rushwa bado yapo Tanzania?
 
Huna hoja wewe, sasa kama leo miaka sitini ya uhuru hayo mambo hayajafanyika bado mnaomba kura za nini ndio maana mnabaki kuiba kura kila uchaguzi unapowadia. Very hopeless.
 
Back
Top Bottom