Tundu Lissu, unda Tume ya kuponya majeraha ya uchaguzi wa mwenyekiti

Karibu siku 30 sasa embu nipe Ahadi moja ya mwana Tanu iliyotekelezwa au iliyopo kwenye progress mkuu?

Lema amekuwa motivational speaker...

Tuwategemee kina Hilda, Rose Mayemba na kina Kaswahili au Nimo😃
Ulitaka kwa sasa wawe wamefanya nini?
 
Lissu anatafuta ukombozi wa Taifa, wewe unataka akawapetipeti wale akina mama wasaliti?- Acha utani.

Team Mbowe wao wanamsongo wa mawazo wa kushindwa uchaguzi tu na wala siyo mustakbali wa chama.

Sasa hivi inabidi wakubali ukweli tu kuwa uchaguzi umeisha na kazi iliyombele ni kukijenga chama.
 
Kabla ya uchaguzi mlikuwa na story hizi hizi sijui Mbowe ana idadi kubwa ya wajumbe, yako wapi? Ameshindwa kihalali, jengeni chama vinginevyo kaeni pembeni kwa kutulia. Labda kama mlitaka Mbowe afie kwenye hicho kiti.
CHAMA ni watu mkuu
 
Lissu anatafuta ukombozi wa Taifa, wewe unataka akawapetipeti wale akina mama wasaliti?- Acha utani.

Team Mbowe wao wanamsongo wa mawazo wa kushindwa uchaguzi tu na wala siyo mustakbali wa chama.

Sasa hivi inabidi wakubali ukweli tu kuwa uchaguzi umeisha na kazi iliyombele ni kukijenga chama.
Upo sahihi mkuu, ndo hiyo kuponya msingo wa mawazo, ni muhimu sana kwa masilai ya chama
 
Lissu anatafuta ukombozi wa Taifa, wewe unataka akawapetipeti wale akina mama wasaliti?- Acha utani.

Team Mbowe wao wanamsongo wa mawazo wa kushindwa uchaguzi tu na wala siyo mustakbali wa chama.

Sasa hivi inabidi wakubali ukweli tu kuwa uchaguzi umeisha na kazi iliyombele ni kukijenga chama.
Ukombozi unaletwa na nguvu ya pamoja na sio Lisu peee
 
Hawez kujitenga na 47% ya party coccus mzee .

Huu ushauri mnaompa ni desastor..

Fikiria mwaka huu amepata wabunge let say 40..

Wote wagome kuchangia harakati za chama kama alivyokuwa anafanya yeye...

Pen is better than a sword
CHAMA ni watu, mkuu linapokuja swala ukombozi umoja ni nguvu na ushindi Lisu pekee hawezi
 
Asiogope wala kuona haya wala aibu kutumia falsafa ya 4Rs za Dr Samia Suluhu Hassan,

MARIDHIANO ndio tiba kamili mbadala ya kuponya makovu na majeraha mabaya sana yaliyowapata viongozi na wafuasi wa chadema kabla na baada ya uchaguzi wa ndani ya chama hicho 🐒
Hekima na busara za kiongozi ni muhimu sana, na sio kuwa overcodence
 
Hapana,

TL wants to prove something he cant..

Aachwe hivyo hivyo na kina Rose Mayemba na Kina Hilda..

Hiyo arrogance wanayoonyeshwa team FAM na kina Libe na SyW ni ya juu sana kwa mtu yeyote kuvumilia...

Tuache CDM mpya izaliwe.
Ni kweli mkuu, lakin pia wanachama ni muhimu zaidi, kuijenga chadema mpya
 
Maadui wa CDM kwa sasa wako ndani ya CDM ni muda wa viongozi wapya kuwa makini katika mipango Yao,maana Kuna dalili zote za kuuza ramani.

Na ukweli ni kwamba wengi wao wanao mpinga Lisu ni wale walio kuwa na mirija ya ulaji.
 
Kweli mkuu, Tundu Lisu inatakiwa awe makini sana, hekima,busara
 
Hekima na busara za kiongozi ni muhimu sana, na sio kuwa overcodence
ni muhim sana mwenyekiti mpya wa Chadema akawapa nafasi wasaidizi wake kumsaidia kueleza falsafa ya uongozi wake,
anaongea sana pekeyake na kwakweli anachoka sana,

mtangulizi wake hakua na succession plan ndio maana aliona ngumu kuachia uongozi, yeye huyu mpya hafai kurudia kosa hilo. Inafaa kuimpact falsafa na maono yake kwa generation anayoiamini na anayoona inafaa kuirithi uongozi wake huko mbeleni, vinginevyo ataongea mpaka misuli imtoke, akiondoka siku hiyo hiyo anasahaulika 🐒
 
Gentleman naona akili zimeanza kurudi taratibu
 
focused and young visionary politicians tupo pale mbele always in everything hakuna kubabaika 🐒
Karb sana kwa ajili ya kujenga taifa letu pendwa la Tanzania.
 
Back
Top Bottom