Tundu Lissu uvuguvugu, haukufikishi mbali!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Ukimsikiliza Tundu Lissu utaona kwamba ni vuguvugu, haoneshi rangi yake halisi anajifanya au niseme yuko liberal kwenye dini anafikiri kwamba kwa kuwa katikati atawawini wote waislamu na Waktisto lkn asichokijua labda zero Muslims watampigia kura na wakristo kuna watakaompigia na kuna watakaomkataa kwa sababu hayuko upande wao kiimani haoneshi atleast, Christians wanataka mtu asimame aende Kanisani tumuone akipokea, ashiriki Ibada, najua najua mtakachosema lkn it works kama yuko liberal ataishia majukwaani.

Sasa mtu kama W.Slaa, zero muslims watampigia kura lkn Wakristo kama wote plus uchagani na meru hivyo ni ngumu tundu lisu kutoboa.

Afrikans and black people in general siyo liberal, bali ni conservatives wawe Waislamu au Wakristo kwanza Waislamu ndio kabisa, hivyo mambo ya kudharau Msalaba na kuongelea bila ya respect inaonyesha hau respect Ukristo, hivyo una kazi ngumu sana, Msalaba ni symbol of Christianity.
 
Acha kuwaza udini haukusaidii chochote.

Washika makopo ya kuchambia na wasioshika makopo kabla ya kuingia nyumba za ibada, wote njia yetu moja. Tupendane.
 
Hujaeleweka

Unataka ajioneshe kuwa ni mwislamu mujahidina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…