Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mbowe amehojiwa jana na Clouds FM kipindi cha Jahazi. Amesema very clear Kuwa wahuni wote wanajulikana. Hata ambao wapo kwenye negotiations wanajulikana. Lakini kama chama hawatawafukuza. Watashughulika nao kwa akili na mwishowe watajitoa wenyewe. Wakianza kufukuzwa watapata public sympathy watakapoanza kulia lia wamefukuzwa na hivyo kuondoa ajenda muhimu ya chana kwa sasa. Kwaiyo wanaofika bei wanajulikana, waliofika bei wanajulikana. Mbowe akamalizia kwa kusema Chadema ipo imara kuliko nyakati zote zile!After the fact, you trash him.
Why didn’t you [trash him] before the fact?
Sour grapes [emoji524].
Chadema wanaamini katika kupambana na polisi badala ya kuichallenge CCM kwa hoja by Frederick SumayeHuyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.
Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!
Mashinji zaidi ya hivyo vyeti vyake sioni kama ana uwezo wa kuongoza chochote kile. Labda familia yake.Chadema wanaamini katika kupambana na polisi badala ya kuichallenge CCM kwa hoja by Frederick Sumaye
Katika mazingira hayo mlitaka Dr Mashinji afanyaje?!
Nakumbuka lowassa alivyo ondoka ccm alitukanwa kweli, na nnatabiri siku magufuli akiondoka ccm atatukanwa pia.So formulaic.
After the fact, you trash him.
Why didn’t you [trash him] before the fact?
Sour grapes [emoji524].
Chadema nzima kuna PhD tatu tu na sasa zimebaki mbili ulitegemea muujiza gani labda mwenyekiti angekuwa Baregu.Mashinji zaidi ya hivyo vyeti vyake sioni kama ana uwezo wa kuongoza chochote kile. Labda familia yake.
Unaweza kuta na yeye ni wale waliokariri tu. Mavyeti yote hayo halafu hakuna utofauti aliouleta tujuwe alielimika!
Sasa unadhani atasema chadema kipo dhaifu?Mbowe amehojiwa jana na Clouds FM kipindi cha Jahazi. Amesema very clear Kuwa wahuni wote wanajulikana. Hata ambao wapo kwenye negotiations wanajulikana. Lakini kama chama hawatawafukuza. Watashughulika nao kwa akili na mwishowe watajitoa wenyewe. Wakianza kufukuzwa watapata public sympathy watakapoanza kulia lia wamefukuzwa na hivyo kuondoa ajenda muhimu ya chana kwa sasa. Kwaiyo wanaofika bei wanajulikana, waliofika bei wanajulikana. Mbowe akamalizia kwa kusema Chadema ipo imara kuliko nyakati zote zile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini umeanza kumwamini zero brain? yaani, hajui kama Chadema wamekuwa wakiichallenge CCM all the time, na wengine wanauguza majeraha na wengine wamepotezwa kwa sababu hiyo hiyo? mwambie aache ungese!Chadema wanaamini katika kupambana na polisi badala ya kuichallenge CCM kwa hoja by Frederick Sumaye
Katika mazingira hayo mlitaka Dr Mashinji afanyaje?!
Tatizo kila akitaka kukigeuza chama, anakuta na nguvu kubwa ya "Mwamba".Huyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.
Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!
kwani hizi phd na doctorate si ndio zimesababisha watu kupotezwa zilipoanza kudadisiwa? wasomi wa kweli wako nje ya CCM hata kama huwaoni kwenye nafasi za uongozi Chadema lakini ndo wanasuka mambo nyuma ya pazia. Kama chama kinavutiwa na watu wa aina ya Bansen bana na kuwa ubalozi what do you expect? Bana ailete faida nchi hii? Kweli?Chadema nzima kuna PhD tatu tu na sasa zimebaki mbili ulitegemea muujiza gani labda mwenyekiti angekuwa Baregu.
A/c ya ruzuku iko Arusha kwa mwenye chama ulitaka Dr Mashinji atendeje?.......Wachangaji wenyewe ndio hao kina Gekui na Waitara wamekimbia......mnyonge mnyongeni haki yake mpeni bwashee!
Visiki gani? alitaka kugeuzaje chama? kiweje kwa mfano? amekuambia?Tatizo kila akitaka kukigeuza chama, anakuta na nguvu kubwa ya "Mwamba".
Cha ajabu ni hao hao Chadema wanasema wamenyimwa uhuru wa kufanya siasa wakati ndani ya chama kuna visiki kibao vya kisiasa.
Huyo Mashinji ana rundo la vyeti na cv ni exceptional. Lakini utendaji ulikuwa sifuri. Aliwekwa akidhaniwa atafanya vyema kanda ya ziwa.
Ila kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti kabisa. Maana unaweza ukawa msomi ambaye hujaelimika!