Tundu Lissu vs Fatma Karume

Me and you are thinking on the same wavelength!

In a roundabout way, that [what you have described] is what she is saying!
 
Kazifuta?
Hajafuta hata moja. She is not one to be embarrassed by her previous tweets. She calls it as she sees it and if time proves her wrong she admits it and moves on.
Tofauti na wale wanajipinda kama pretzel kutaka kutuaminisha kuwa siku zote walikuwa supporters wakubwa wa chanjo.

Amandla....
 
Akina nani hao wanaoaminisha kuwa siku zote walikuwa supporters wa chanjo?
 
Ndiyo maana yake hiyo mkuu. Mimi nilimuwlewa hivyo. Na hata kabla Lissu hajajiunga, Fatma alipokaribishwa kuchangia alisema mimi leo nitachangia kwa njia tofauti na akauliza maswali yale yale aliyomuuliza Lissu baada ya kujiunga. Alikuwa anauliza maswali chokonozi na chochezi kushajihisha mjadala.
 
Ni kama yuko biased!

Magufuli angefanya hivi hivi alivyofanya Samia sasa hivi, kangekuwa kako mstari wa mbele kumchana Magufuli!

Not principled at all.
Narudi tena kwamba hukumwelewa hata kidogo!
 
Kiukweli Lisu ni mwanasiasa mjuzi Sana., Fatma Karume anamwelewa, lakini alijitoa ufahamu tu. Lisu anastahili Kuwa Raisi wa nchi hii, ni vile tu Tanzania imejaa manyang'au wa siasa
 
Ambacho haujaelewa mkuu ni kwamba,Fatima Karume alikuwa anatoa leading questions kwa Tundu,hakuwa na maana ya kumtetea Samia
 
Hahaha, Ok Nyani, no need to be Sorry, ila ni vizuri ujiweke clear upo upande gani, hamna "Ukweli" duniani, Ukweli kwako unaweza kuwa uongo kwa mwingine. Ukweli ni relative thing
Are crazy? Nani alikuambia ukweli ni relative? You cant be serious. Tatizo wewe umeathirika sana na huu ubishi wa kibongo-bongo, unajikita kwenye ushabiki zaidi mpaka ukasahau kuwa ukweli una-exist!
 
ITS SO SAD KUWA HUKUMWELEWA ALICHOKUWA ANASEMA FATMA KARUME. UNGEULIZA WATU WAKUELEWESHE.


 
Naeleweka sana. Nipo upande wa ukweli.

Tundu Lissu akisema ukweli, nakubaliana naye.

Hata wewe ukisema ukweli, nitakubaliana nawe.

Ukisema uongo na pumba, nitakuchana.

Your brain can’t process that?
Huyo uliyemjibu amestahili jibu lako.

Ni watu wachache sana wanafuata ukweli popote ulipo.

Yeye anadhani ukiwa A basi B akiongea ukweli upinge tu.
 
Swali la Fatma zuri sana...sema watu ni wavivu kusikiliza na kufikiri...Fatma amechokoza mada..na amejaribu kuwasilisha jinsi watu baadhi wanavyochukulia chadema...amempa nafasi lissu kudadavua mengi

Nashangaa mleta mada anajaribu ku personalize
Mleta mada hataki kukiri kwamba hakumwelewa Fatma. Hataki kuelewa kwamba Fatma alitumia Fasihi katika kuchokoza mada. Bahati mbaya hakusikiliza mjadala wenyewe. Bahati mbaya tena haoni kwamba amekosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…