Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #61
Wewe umeelewa nilichokiandika? Umeelewa ulichokisoma? Unaelewa ‘in a roundabout way’ maana yake ni nini?Mleta mada hataki kukiri kwamba hakumwelewa Fatma. Hataki kuelewa kwamba Fatma alitumia Fasihi katika kuchokoza mada. Bahati mbaya hakusikiliza mjadala wenyewe. Bahati mbaya tena haoni kwamba amekosea.
Ambacho sijaelewa ni kipi?ITS SO SAD KUWA HUKUMWELEWA ALICHOKUWA ANASEMA FATMA KARUME. UNGEULIZA WATU WAKUELEWESHE.
Fatma alikuwa anauliza kwa sarcasm kuwa hayo ndo maneno yanayosemwa. Ungemsikiliza zaidi alisema kuwa Rais alitaka apewe muda ... Apewe muda akae vizuri. Kwa hiyo wapinzani wanyamaze ajipange. Ungemsikiliza kwa sauti nyingine ungemwelewa alikuwa aki kebehi hoja za wanaosema hayo. Si kwamba yeye ndo anachoamini. Ngoja nikutumie some posts ktk mambo hayo perhaps you could understand.Ambacho sijaelewa ni kipi?
Heshima kwa shangaziHii nadhani ni ya muda kidogo Nyani. Fatma sasa hivi kabadilika sana kuhusu kumkosoa huyo wa kudemka. Nafuatilia karibu kila siku Maria Space kule Twitter na kama mtu humjui kwamba hana chama basi utahitimisha kwamba ni Chadema.
Kwa hiyo hiyo “in a roundabout way” unaielewa peke yako? Mtu anasoma bandiko na kuona muktadha wake kwa ujumla wake. Narudia tena; hukumuelewa.Wewe umeelewa nilichokiandika? Umeelewa ulichokisoma? Unaelewa ‘in a roundabout way’ maana yake ni nini?
Examination in chief !!!Heshima kwa shangazi
Wengi hawamuelewi shangazi...
Shangazi anazungumza kiuwakili zaidi... anauliza na kuongea kama yupo mahakamani anamtetea mtu... wengi wanafikiri anakisimamia chama cha majangili. Alichokuwa anatafuta ni majibu ya uwazi na uhalisia (ukisikiliza vizuri hata Lissu mwanzo hakuelewa lakini kabla ya kujibu aligundua sio shangazi anauliza bali ni wakili anauliza kama yupo mahakamani)
Anywho...
Ushabiki maandazi ndio unalipoza taifa
Hii mada ni ushabiki maandazi
Watu wanafurahi kuona au kusikia watu wamepishana mahala padogo..
Kila mtu Ana mawazo tofauti tuheshmu mawazo ya watu kuliko kushangilia watu wanapopishana kauli. Leo kuna wanaofurahia chadema wamepishana lugha wengine Mbowe yupo magereza wanaona ni 'alijitakia' Mbowe anaipenda Tz na watu wake kutoka moyoni wapo wanaikipenda chama na matumbo yao bila kujali wananchi wanataka nini. Mbowe hapiganii Katiba Mpya kwa sababu yeye atanufaika bali watoto na wajukuu na vitukuu wa kila Mtz wa vyama tofauti itikadi tofauti dini tofauti imani tofauti watafurahia na kujivunia nchi yao na kuwaenzi wazee wao (Mbowe na wengi wenye kulipenda Taifa)
Hebu watu wajaribu kugeuka nyuma then watazame mbele Wamtazame Muumba Wao
Upendo ni tunda la roho
Serikali inafurahia mkoroganyo uliopo sasa bila kufikiri yatakapomwagika hakuna atakayekwepa hukumu hii
Watawala upo ugumu gani wa kukaa na Vyama vya upinzani mkazungumza mlijenge Taifa
Huku kujimwambafai hakutawasaidia kipindi kirefu
Kila jambo Lina muda
Ushabiki maandazi ukome
Usifurahi Juu ya mwenzio apatapwo na shida huijui kesho yako....
Mbowe tunasema hivi "Bwana Akuangazie Nuru ya Uso Wake ..... Asikuache Ukaangamia.... Daniel aliokolewa kwenye midomo ya simba nawe utaokooewa kutoka kwenye mikono dhalimu....... Watesi wako watalikiri jina lako na uaminifu wako Juu ya Taifa..... Mungu Akulinde Akupiganie Akushindiye...
Exactly! Fatma wanted Lissu to react on those issues that pro-samia propagates.Mkuu nadhani hujamwelewa kabisa Shangazi Fatuma Karume! Kwanza huu mjadala ulifanyika jana kupitia Maria Sarungi space kwenye twitter.
Mjadala huu ulikuwa mrefu sana na kulikuwa na washiriki wengi nadhani kama 4,000 hivi. Ulianza saa mbili usiku hadi zaidi ya saa sita usiku.
Niliusikiliza; hapo Fatuma alikuwa akiuliza maswali chokozi na chokonozi ili Tundu afunguke. Kwa kizungu ni kama alikuwa anauliza leading questions!
Msaidie labda ataelewa. Tena Pakawa kanikumbusha jambo; Fatma alikuwa anaongea kama yupo mahakamani akifanya examination in chief baada ya shahidi kufanyiwa cross examination.Fatma alikuwa anauliza kwa sarcasm kuwa hayo ndo maneno yanayosemwa. Ungemsikiliza zaidi alisema kuwa Rais alitaka apewe muda ... Apewe muda akae vizuri. Kwa hiyo wapinzani wanyamaze ajipange. Ungemsikiliza kwa sauti nyingine ungemwelewa alikuwa aki kebehi hoja za wanaosema hayo. Si kwamba yeye ndo anachoamini. Ngoja nikutumie some posts ktk mambo hayo perhaps you could understand.
Sarcasm? Alikuwa anauliza kwa sarcasm gani hapo?Fatma alikuwa anauliza kwa sarcasm kuwa hayo ndo maneno yanayosemwa. Ungemsikiliza zaidi alisema kuwa Rais alitaka apewe muda ... Apewe muda akae vizuri. Kwa hiyo wapinzani wanyamaze ajipange. Ungemsikiliza kwa sauti nyingine ungemwelewa alikuwa aki kebehi hoja za wanaosema hayo. Si kwamba yeye ndo anachoamini. Ngoja nikutumie some posts ktk mambo hayo perhaps you could understand.
Ambacho sijaelewa ni kipi?
😂😂😂😂😂😂 Kumwelewa Fatma katika hili unatakiwa uwe na utulivu wa akili bila hivyo humwelewi....Sarcasm? Alikuwa anauliza kwa sarcasm gani hapo?
She must really suck at sarcasm if that’s her way of being sarcastic.
There is nothing declarative in what I wrote. It’s all inference.
I inferred from her tone, manner, and her interruptions.
And I stand by everything I said about her.
Wewe ‘in a roundabout way’ unaielewaje?Kwa hiyo hiyo “in a roundabout way” unaielewa peke yako? Mtu anasoma bandiko na kuona muktadha wake kwa ujumla wake. Narudia tena; hukumuelewa.
Nyani Ngabu yuko balanced sana. Siyo kwamba ni vugu vugu. Anatumia free will kufanya balanced analysis. Amegoma kufunga ndoa na extremes. He criticises and praises where it's dueNyani huwa hueleweki upo upande upi, ni vuguvugu 100%
What’s that got to do with anything? You’re just giggling for no apparent reason trying to make yourself seem so profound!😂😂😂😂😂😂 Kumwelewa Fatma katika hili unatakiwa uwe na utulivu wa akili bila hivyo humwelewi....
View attachment 1876564
What’s that got to do with anything being talked about here?View attachment 1876563
Hebu soma hapa labda unaweza ukaelewa kidogo.
Niambie wewe una maana gani na hiyo roundabout yako!! Naweza nikasema ninavyoelewa ukasema tena sijakuelewa! Fatma alikuwa anafanya “examination in chief”Wewe ‘in a roundabout way’ unaielewaje?
Nami narudia tena: hujaelewa nilichokiandika.
Sina haja ya kukuambia maana ya msemo ulio wa kawaida.Niambie wewe una maana gani na hiyo roundabout yako!! Naweza nikasema ninavyoelewa ukasema tena sijakuelewa! Fatma alikuwa anafanya “examination in chief”
Alikuwa Devil's Advocate?Mleta mada hataki kukiri kwamba hakumwelewa Fatma. Hataki kuelewa kwamba Fatma alitumia Fasihi katika kuchokoza mada. Bahati mbaya hakusikiliza mjadala wenyewe. Bahati mbaya tena haoni kwamba amekosea.