Sasa unawasemea watu wote? Hivi hujaona namna mjadala unavyoendelea hapa baadhi wakitoa hoja za ajabu kabisa!Ah wapi.
Labda kwa akili yako ndo unayaona ni maswali magumu.
To some of us they are very basic.
Up your standards game.
Fatma ana uzanzibar mwingi sana, na ni Mzanzibari kwelikweli
Sina hakika haya mazungumzo yalifanyika lini hasa. Lakini naamini si muda mrefu uliopita kwani kilichokuwa kinajadiliwa ni kile kinachoendelea hivi sasa nchini.
Huyu so-called Shangazi is caping hard for Samia! I wonder why 🤔?
In a roundabout way she is saying that Mbowe and the opposition are getting what they deserve for being disrespectful towards Samia Suluhu Hassan.
They are being disrespectful to her because she is a woman.
Sijui ana kigugumizi au sijui haijui vizuri lugha ya Kiswahili, lakini hata kuuliza maswali yanayoeleweka vizuri, hawezi!
Kwenye huu mjadala nipo na Tundu Lissu! Kajibu vizuri sana hizo hoja/maswali ya huyo Fatma. Nakubaliana naye katika kila alichokisema.
On the other hand, ni kama vile huyo Fatma na watu anaofanana nao kimawazo kuhusu Samia, anataka Samia asikosolewe sana kwa sababu ni mwanamke.
BS! She signed up for it and people have the right to go in on her with the same ferocity they went in on her predecessors.
She shouldn’t get preferential treatment just because she is a woman.
No one holding public office should be above criticism and no one should be below praise.
Heshima kwa shangazi
Wengi hawamuelewi shangazi...
Shangazi anazungumza kiuwakili zaidi... anauliza na kuongea kama yupo mahakamani anamtetea mtu... wengi wanafikiri anakisimamia chama cha majangili. Alichokuwa anatafuta ni majibu ya uwazi na uhalisia (ukisikiliza vizuri hata Lissu mwanzo hakuelewa lakini kabla ya kujibu aligundua sio shangazi anauliza bali ni wakili anauliza kama yupo mahakamani)
Anywho...
Ushabiki maandazi ndio unalipoza taifa
Hii mada ni ushabiki maandazi
Watu wanafurahi kuona au kusikia watu wamepishana mahala padogo..
Kila mtu Ana mawazo tofauti tuheshmu mawazo ya watu kuliko kushangilia watu wanapopishana kauli. Leo kuna wanaofurahia chadema wamepishana lugha wengine Mbowe yupo magereza wanaona ni 'alijitakia' Mbowe anaipenda Tz na watu wake kutoka moyoni wapo wanaikipenda chama na matumbo yao bila kujali wananchi wanataka nini. Mbowe hapiganii Katiba Mpya kwa sababu yeye atanufaika bali watoto na wajukuu na vitukuu wa kila Mtz wa vyama tofauti itikadi tofauti dini tofauti imani tofauti watafurahia na kujivunia nchi yao na kuwaenzi wazee wao (Mbowe na wengi wenye kulipenda Taifa)
Hebu watu wajaribu kugeuka nyuma then watazame mbele Wamtazame Muumba Wao
Upendo ni tunda la roho
Serikali inafurahia mkoroganyo uliopo sasa bila kufikiri yatakapomwagika hakuna atakayekwepa hukumu hii
Watawala upo ugumu gani wa kukaa na Vyama vya upinzani mkazungumza mlijenge Taifa
Huku kujimwambafai hakutawasaidia kipindi kirefu
Kila jambo Lina muda
Ushabiki maandazi ukome
Usifurahi Juu ya mwenzio apatapwo na shida huijui kesho yako....
Mbowe tunasema hivi "Bwana Akuangazie Nuru ya Uso Wake ..... Asikuache Ukaangamia.... Daniel aliokolewa kwenye midomo ya simba nawe utaokooewa kutoka kwenye mikono dhalimu....... Watesi wako watalikiri jina lako na uaminifu wako Juu ya Taifa..... Mungu Akulinde Akupiganie Akushindiye...
Ulisikilia mjadala mzima kwenye space ya Maria?Mnaojaribu kutuaminisha kwamba Fatma aliongea vile ili kumpush Lissu aseme ni kwa namna gani wanamchukulia Samia, mnakosea.
Tone na mpangilio wa maneno ya Fatma yanaonyesha dhahiri ni kwa namna gani anaumia kwa kile ambacho CHADEMA wanakifanya.
Hata kama nje ana misimamo yake ya ukosoaji, lakini deep down into her, she is hurting.
Na ana uoni hafifu kifikra kwa sababu tu ni feminist aliyejaa. Sijawahi kusikia Chadema wakimprovoke Samia kwa dhania kuwa ni Mwanamke na dhaifu.
Ukweli ni kuwa, Fatma ameshaona kuwa Rais anafeli. Na pengine kinachomfelisha ni uwezo wake kama mwanamke.
ninahisi anafanya makusudi Fatma. ninadhani anatumia fani yake vema hapo, ile kuchokoza jambo ili mtuhumiwa afunguke. ndo maana unaona Lisu kaelewa hakujaa upepo. hapa Fatma anawatafutia jibu wale wenye madai hayo aliyemtwanga Lisu.
Sina hakika haya mazungumzo yalifanyika lini hasa. Lakini naamini si muda mrefu uliopita kwani kilichokuwa kinajadiliwa ni kile kinachoendelea hivi sasa nchini.
Huyu so-called Shangazi is caping hard for Samia! I wonder why 🤔?
In a roundabout way she is saying that Mbowe and the opposition are getting what they deserve for being disrespectful towards Samia Suluhu Hassan.
They are being disrespectful to her because she is a woman.
Sijui ana kigugumizi au sijui haijui vizuri lugha ya Kiswahili, lakini hata kuuliza maswali yanayoeleweka vizuri, hawezi!
Kwenye huu mjadala nipo na Tundu Lissu! Kajibu vizuri sana hizo hoja/maswali ya huyo Fatma. Nakubaliana naye katika kila alichokisema.
On the other hand, ni kama vile huyo Fatma na watu anaofanana nao kimawazo kuhusu Samia, anataka Samia asikosolewe sana kwa sababu ni mwanamke.
BS! She signed up for it and people have the right to go in on her with the same ferocity they went in on her predecessors.
She shouldn’t get preferential treatment just because she is a woman.
No one holding public office should be above criticism and no one should be below praise.
Hiyo ilikua jana twitter kwenye Maria space. Twitter wameanzisha kitu konki sana
Sina hakika haya mazungumzo yalifanyika lini hasa. Lakini naamini si muda mrefu uliopita kwani kilichokuwa kinajadiliwa ni kile kinachoendelea hivi sasa nchini.
Huyu so-called Shangazi is caping hard for Samia! I wonder why [emoji848]?
In a roundabout way she is saying that Mbowe and the opposition are getting what they deserve for being disrespectful towards Samia Suluhu Hassan.
They are being disrespectful to her because she is a woman.
Sijui ana kigugumizi au sijui haijui vizuri lugha ya Kiswahili, lakini hata kuuliza maswali yanayoeleweka vizuri, hawezi!
Kwenye huu mjadala nipo na Tundu Lissu! Kajibu vizuri sana hizo hoja/maswali ya huyo Fatma. Nakubaliana naye katika kila alichokisema.
On the other hand, ni kama vile huyo Fatma na watu anaofanana nao kimawazo kuhusu Samia, anataka Samia asikosolewe sana kwa sababu ni mwanamke.
BS! She signed up for it and people have the right to go in on her with the same ferocity they went in on her predecessors.
She shouldn’t get preferential treatment just because she is a woman.
No one holding public office should be above criticism and no one should be below praise.
Fatma amebadirisha msimamo tangu Samia aingie..si ajabu hayati angekuwa hai na akafanya haya..angekuwa ameahafungua shauri the hugue..Ni kama yuko biased!
Magufuli angefanya hivi hivi alivyofanya Samia sasa hivi, kangekuwa kako mstari wa mbele kumchana Magufuli!
Not principled at all.