Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameibua wasiwasi juu ya uwezo wa vyombo vya usalama nchini kuchunguza kesi za mauaji na utekaji zinazoshika kasi hivi karibuni.
Lissu amesisitiza kuwa ni vigumu kwa vyombo hivyo kujichunguza vyenyewe na kutoa haki, akidai kuwa uchunguzi wa huru unahitajika ili kuhakikisha uwazi na ukweli katika kesi hizi. Amesema matukio haya yameibua hofu miongoni mwa wananchi, na kutoa wito wa hatua za haraka kukomesha hali hiyo.
Soma pia;
=> Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu
=> Utekaji nchi hii unachagizwa na ukondoo wa Watanzania