Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeyote anaeshupaza shingo HQ ya chama isifanyiwe uchunguzi anasaidia kudhuluma kwa haki na stahiki za kamanda Ally Kibao, na ataulizwa siku ya mwisho mbele za haki, asijidanganyeDaah! Wee Jamaa tangu sakata hili lianze nimefatilia hoja zako, itoshe tu kusema Kuna namna unataka kupotosha, ukweli! Au labda uu mhusika,

Scotland yard .....ni dakika tatu tu Wauwaji WANAKULA PINGU....
Huwezi kujitekenye halafu ukachekaVitashindwaje kuichunguza chadema ambae ina uchaguzi wa ndani ambao ni wa moto sana, na ambayo pia ndio suspect namba moja wa singombingo hiyo ya mauaji? itashindaweje kwa mfano 🐒
basi msiwatoe watu wenu kafara kwa ramli chonganishi na kuwachukua wananachama wenu misukule halafu mnasingizia sijui ati nini, useless kabisaaaa, acheni ushirikina 🐒Huwezi kujitekenye halafu ukacheka