Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameibua wasiwasi juu ya uwezo wa vyombo vya usalama nchini kuchunguza kesi za mauaji na utekaji zinazoshika kasi hivi karibuni.
Lissu amesisitiza kuwa ni vigumu kwa vyombo hivyo kujichunguza vyenyewe na kutoa haki, akidai kuwa uchunguzi wa huru unahitajika ili kuhakikisha uwazi na ukweli katika kesi hizi. Amesema matukio haya yameibua hofu miongoni mwa wananchi, na kutoa wito wa hatua za haraka kukomesha hali hiyo.
Vitashindwaje kuichunguza chadema ambae ina uchaguzi wa ndani ambao ni wa moto sana, na ambayo pia ndio suspect namba moja wa singombingo hiyo ya mauaji? itashindaweje kwa mfano 🐒

kukaa kimya ni kusaidia kudhulumu haki na stahiki za waliopoteza maisha kwasabb za uchu wa madaraka, tamaa za vyao na uongozi katika vyama kwa waliokosa uhalali na hoja za kua viongozi tena...
hata hivyo,
kunyamazia au kushupaza shingo kupinga ukweli sio suluhisho, siku ya mwisho mbele za haki lazima utaulizwa 🤭