Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza vyenyewe sakata la Mauaji na Utekaji nchini

Ni kweli kuondoa conflict of interest ni bora kuwe na mchunguzi badala ya anayetuhumiwa kuwa mchunguzi.
 
Daah! Wee Jamaa tangu sakata hili lianze nimefatilia hoja zako, itoshe tu kusema Kuna namna unataka kupotosha, ukweli! Au labda uu mhusika,
yeyote anaeshupaza shingo HQ ya chama isifanyiwe uchunguzi anasaidia kudhuluma kwa haki na stahiki za kamanda Ally Kibao, na ataulizwa siku ya mwisho mbele za haki, asijidanganye
 
Vitashindwaje kuichunguza chadema ambae ina uchaguzi wa ndani ambao ni wa moto sana, na ambayo pia ndio suspect namba moja wa singombingo hiyo ya mauaji? itashindaweje kwa mfano 🐒
Huwezi kujitekenye halafu ukacheka
 
Huwezi kujitekenye halafu ukacheka
basi msiwatoe watu wenu kafara kwa ramli chonganishi na kuwachukua wananachama wenu misukule halafu mnasingizia sijui ati nini, useless kabisaaaa, acheni ushirikina 🐒
 
Watajichunuzaje wakati wao ndio wananyooshewa vidole?
Na wanaofanya haya watu wanawatambua kuwa ni askari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…