Tundu Lissu: Wamilili wa Online Tv walipwe fidia, waliozifungia wachukuliwe hatua, maana Rais amesema zilifungia kimakosa

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.

 
Mama anasemehe tuanze upya kwa huruma na upendo ninyi mnaanza tena sijui mlipwe yani badala ya tuanze upya kama Taifa mnataka kumkomoa.
 
Bongo huwa tunafeli sana kwenye ishu za madai...
 
Lissu akili kubwa sana hatutaamini siku jamaa akiwa mfalme wa Ubelgiji
Mataga nakuona
Vip unasemaje kuhusu Mama??
Hayo mabega lazima tuyashushe kwa nyundo
 
Wezi waliopora pesa bureau de change kwa kigezo cha uhakiki wabanwe warejeshe fedha ccctv camera za kwenye maduka si wanaonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…