Tundu Lissu: Wamilili wa Online Tv walipwe fidia, waliozifungia wachukuliwe hatua, maana Rais amesema zilifungia kimakosa

Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.

Tangu lini Chadema wakaitakia mema ccm hadi wajipe kazi ya kumsifia rais Samia?.

Kazi ya kumsifia rais Samia ni ya MATAGA siyo ya chadema
 
Amesema wasemehewe halafu waelekezwe kufuata sheria. Kama wanadai kwa kusamehewa waende mahakamani
 
Aliyesababisha haya anawaangalia tu anasema, hiiiii
 
Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatuhu
Huyu nae hata kama tunamsapoti kuna mambo anapaswa atumie akili kiutawala, sitaki kuamini Lissu haelewi kilichofanyika. Hii sasa ataanza kupoteza watu tunaomuelewa.

In short, mama alichofanya ni kwamba angeweza kuamua kukaza kwani mngemfanya nini? Sababu waliofungiwa walitumia utaratibu wa Sheria iliyopo/zilizopo. Yawezekana Sheria hizo ndio kandamizi, Rais hawezi kuziongelea pale ndio maana ametoa kwanza waliofungiwa wafunguliwe halafu ndio tuanze upya.

Kwenye kuanza upya ndipo ataambiwa kwamba tatizo ni sheria iliwekwa ya kikandamizi sana hapo ndipo ataweza kuchukua steps zaidi.

Kimsingi hiyo ni amnesty/msamaha, sababu haimhusu yeye, yeye anataka uhuru wa habari uwepo ndio maana amegusia kwani ai angeweza kukaa kimya tu nani angemsumbua?

Sasa basi, kwa msamaha huo maana yaje ndio yale maneno kwamba tusameheane tuanze upya sasa Lissu anataka ligi ya nini?
 
Hmmm kweli Magufuli alikua anabana,maushauri kila Kona, mnachosha
 
Hujaelewa mtego wa Lissu.Wamesema magazeti yaliyofungiwa ilikuwa ni kwa mujibu wa sheria.Inamaana huko ni kukiri kuwa kwa Hizi online tv ambazo zimefunguliwa sheria haikufuatwa!Au kama sheria ilifuatwa kwa vyote,na ni msamaha kama unavyosema, kwa nini wasivifungulie vyote?Huu ndo ujumbe wa Lissu kwa undani wake kidogo....
 
Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.

Kuweni makini na Shoga Lissu. Atawapotosha kama alivyompotosha Shaka Ssali wa Straight Talk Africa! Eti, "...that dark guy, not the military guy; the other one not in uniform, is gone with Covid 19! Ahahahahhahah!!!!!
 
Online zipi zilizofungiwa sikumbuki kabisa, vipi ae lemutuz kasalimika
 
Aache uchochezi na kujimwambafayi nyuma ya keyboard, arudi aje ajenge nchi.
Vifunguliwe wasameheane serikali na wahusika, maisha yaendelee.
Angeendelea kuvifungia ingekuwaje??
Atafute vision nyingine, uanaharakati sasa siyo deal labda iwe ni hobby.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ana anzaga hivi hivi badaye anakuwa mkosowaji jumla ni suala la Muda tuuuu
Tatizo Mataga hamna akili
Akifanya mazuri lazima asifiwe, na akizingua lazima akosolewe
Dunia lazima iende hivyo
Sasa Mataga nyie mnataka msifie kila kitu
 
Ushamba wa tundu lisu kila analoongea anataka kitekelezwe ifike mahali raisi awe na maamuzi yake sisi sote ni binadamu swala la kujifanya mtu kisa kasoma sana kutaka kuendesha serikali kwa akili zake za kunywa mapombe na kuishi nje kujiona maisha kayapata
 
Aje ili mumuue?
Auliwe na Nani??

Lakini alichosema hapo kinaukweli,
Kama Kweli hakuna Sheria iliyotumika kuzifungia, Hilo ni dai la kisheria Kwa wamiliki hao, haiwezekani, mtu afuate taratibu zote za Sheria Hadi kupewa leseni la kufanya biashara Kwa mjibu wa sheria, halafu, sijavunja Sheria ktk uendeshaji wa chombo hicho, uje tu ukifungie,

Unazijua gharama nilizotumia kiuendeshaji? Muda nilotumia, hii Kweli ni kuoneana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…