Mmefanya hila dhidi yake na kumuweka ndani kwa mambo ya kubumba bumba. Pasipo kujua au kujua kuendelea mshikiloa mnazidisha moto na ghadhabu, ilahali na nyie mda wenu wa kukaa ndani unajongea na ikiwezekana kunyongwa kabisa
Huyo mjuba wamuachie tu, maana hakuna walichokizuia, hali inazidi kuwa tete hata bila yeye na reform yake. Wanakinukisha wengine wasio na chama na hawaeleweki wapo wapi