G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Hayo ndiyo maneno ya Tundu Lissu leo. Amewaasa watanzania wawe makini kwani kwa lundo la kodi alilotoza Rais Magufuli basi upo uwezekano ikiwa atarudi madarakani akatoza mpaka kodi ya kujifungua.
"Tabora hakuna Bodaboda ambaye hajanyang'anywa hela na Polisi, naambiwa ukipark pikipiki 500, ukiingia stendi 1000, ukipiga kona ukakutana na Askari Elfu 30, vitambulisho vya Machinga Elfu 20, Wanawake pesa zenu zinachukuliwa hayo ni maendeleo?,wataleta hadi kodi ya kuzaa"-LISSU
Dah ila kama kuna ukweli vile. Haiwezekani kiongozi unajimwambafai kumbe unawaumiza wananchi wako.