Tundu Lissu: Wenje atoe video recording ya mjadala wa tuhuma dhidi yake na wenzake kupokea pesa za Abduli na mama yake

Tundu Lissu: Wenje atoe video recording ya mjadala wa tuhuma dhidi yake na wenzake kupokea pesa za Abduli na mama yake

Sure,at the same time anaongea kirahisi tu eti nilikutana na Abdul kwenye sherehe nikaona atusaidie Lissu kulipwa hii error in argument kabisa na conclusion yake inaonyesha Abdul anafahamiana naye ila anamislead umma
Ishu ya yeye kukutana na Abdul anaiongea kikawaida sana na hata mazingira ya wao kukutana bado sio convincing kukubali kuwa yalilenga kumsaidia Lisu kupata stahiki zake.

Inawezekana kwenye proposal ya Lisu kupata fedha zake kulikuwa kuna agenda nyingine nyuma yake ambayo Abdul na Wenje walikuwa wamekubaliana.
 
Ezekia Wenje amekiri mwenyewe kwamba kuna video recording ya mjadala wa tuhuma dhidi yake na wenzake kupokea pesa za Abduli na mama yake. Ni kweli. Walirekodi kikao hicho chote kwa video.

Ili kuondoa ubishi wa suala hili ninawashauri watoe video recording yote ya kikao hicho. Wasikate vipande vipande wala wasihariri chochote. Watoe video nzima ya mjadala huo ili wanachama na Watanzania wajue ni akina nani walituhumiwa kwa kupokea pesa ya Abduli na mama yake, ushahidi niliouwasilisha dhidi yao na wao wenyewe walijiteteaje!!!View attachment 3181258
Huyu jamaa anatakiwa anyamaze tu. Kwa vyovyote hivyo haina maslahi kwa umma zaidi ya kukifanya chama chake kuwa ni hopeless. Kwa vile mambo hayo yalifanyika katika Kamati Kuu basi wale watakaopiga kura wanajua ukweli wake. Kama Wenje anamsingizia watamnyima kura za umakamu Mwenyekiti na watashinikiza ajitoe kwenye chama. Kama yeye ndie anayemsingizia Wenje atausikia uenyekiti redioni.

Amandla...
 
Tundu Lissu haaminiki tena, maelezo ya Wenje yamenyooka sana.
Lissu ashikilie hapo hapo ili chama kirejeshe heshima yake iliyoanza kupotea.
Hawa madalali wa Abdul wapishe fikra mpya
 
Ishu ya yeye kukutana na Abdul anaiongea kikawaida sana na hata mazingira ya wao kukutana bado sio convincing kukubali kuwa yalilenga kumsaidia Lisu kupata stahiki zake.

Inawezekana kwenye proposal ya Lisu kupata fedha zake kulikuwa kuna agenda nyingine nyuma yake ambayo Abdul na Wenje walikuwa wamekubaliana.
Uko sahihi.........
 
Hakuna mapandikizi wala nini, hayo mapandikizi yangekuwa na maana yoyote kusingekuwa na hekaheka kubwa hivyo za dola kunyamazisha upinzani na ukosoaji kwa nguvu kubwa hivyo.
We mtu wewe inaonekana uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo.Mapandikizi yapo na yataendelea kuwepo na watajibihevu kama wapinzani kweli,kumbe wanazuga.Mpinzani halisi ni Lissu,hata CCM wanajua hilo,ndomaana wanamsapoti Mbowe ambaye ni dhaifu kwao,na kumpinga Lissu kwa gharama kubwa.
 
Mkuu unaweza kutoa ushahidi wa hicho unachokisema. Hii itakuwa ni njia sahihi ya kumzuia kuendelea kugombea na kupunguza maneno.
Hapo umempa mtihani mgumu sana,hawezi kudhibitisha.
 
Back
Top Bottom