Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Wapiga magoti hamnazo kichwani ni ma empty head a.k.a. tabulalasa .Yaani wewe ni mjinga halafu hauelewi kuwa ni mjinga. Bora moderator ameona na kubadlisha. Hata hiyo treatments inatakiwa iwe treament.
Wapiga magoti hamnazo kichwani ni ma empty head a.k.a. tabulalasa .View attachment 1589835
English gani hii? Went to sought? Badala ya went to seek. Kujifanya unajua wakati ni mpuuzi.Tundulissu went abroad to sought Medical treatments after an assassination attempt done by unknown peoples in 7/9/2017 ..
Tundulissu is not puppet
Ukweli unauita rubbish, sasa uwongo utauitaje?
Huwezi kutumia went and sought,huyu mziba ni mpuuzi hata English hajui.True ...sought is past tense of seek✅
wabajangula abomukyalo
Kila raia anajitambua ana mwanasheria wake binafsi. Mimi ninaye.Kumbe Robert ni daktari wa nini?
Ng'wangaluka?wabajangula abomukyalo
Concentrate on my thread where I write Robert Amsterdam to met up with lissu at hospital.
Mnafanna na magufuli hamjui lugha.Duh lugha gongana kweli .To met up ni tense ipi?
Ficha ujinga wako.Sasa mnadai wamekutana hospital au na wewe ni kichwa boksi Kama mleta uzi
Mnafanna na magufuli hamjui lugha.
Megafools = magufuli?Nasheka zaija kunyita - nani kasema kwamba Queen's English is cure all like Panadol/Asprin.
Hvi wingi wa people ni peoplesTundulissu went abroad to sought Medical treatments after an assassination attempt done by unknown peoples in 7/9/2017 ..
Tundulissu is not puppet
Well Nope.. test tubes stay in labs.. not in O.RHe is a test tube. May be
Am not supporter wa tundulisu.. but nikuulize tu hizo point za kusadikika ulizoandika hapo?Absolutely not true,Tundu A. Lissu is really Puppet.
1.Uwepo wa Back up ya Wazungu .
Uwepo wa back up ya wazungu kwa kwa Tundu Lissu inaonesha moja kwa moja wanasaidia mtu wanaemtumia.Kila kinachotokea Tanzania (upande wa T.Lissu) basi hawa mabwana Wamekuwa Mstari wa Mbele kumkingia kifua na kumtetea hata pale anapovunja sheria.
2.Uwepo wa Robert Amsterdam.
Historia yake inajieleza yenyewe kumuhusu huyu jamaa.Na Tunaona alichokifanya kipindi hicho katika mataifa kadhaa anaenda kukufanya Tanzania kupitia Kivuli|Akili|upumbavu wa Tundu Lissu kibaraka wake.
3.Kutohubiri amani katika nchi yake.
T.L amekuwa mgombea pekee ambae yupo mstari wa Mbele kutafuta political Violence hata kuishinda ile kiu ya kuomba kura Wananchi wa kitanzania.
Na hapa tunaona katika hawa Mataifa Mengi hawa jamaa hutafuta mtu atakae anzisha vurugu za kisiasa ili wapate upenyo kwa Mgongo wa haki.Kumbe Wanataka kuivuna nchi.
4.Kusapport Mambo ya kishoga.
Maadili na sheria ya Tanzania hairuhusu kabisa vitendo hivi viovu..Hata misingi ya kiimani ya dini zetu imekataa pia.HATA T.LISSU natambua anajua.
Lakini kwa kuwa yupo under influence ya hawa mabwana(wazungu) inabidi akubaliane nao tu.(kwa hili atapata Laana sana na Miungu ya Kiafrika).
Kuweni Makini Ndugu zangu, TUNDU A.LISSU ni kibaraka wa Wazungu.
Na ni Msaliti(traitor) mkubwa wa nchi yake.
Megafools = magufuli?
Ehee!! Kumbe na kiswahili unakijua vizuri!!!?? Sasa unatumia lugha hii ya kibeberu ili iweje?Wewe hujui chochote ...
Ama kweli eti "people they dont" aandike tu kiswahili aisee.Mkuu andika kiswahili tafadhali.