Tundu Lissu went Abroad to seek medical treatments and not political sympathy

Tundu Lissu went Abroad to seek medical treatments and not political sympathy

Yaani wewe ni mjinga halafu hauelewi kuwa ni mjinga. Bora moderator ameona na kubadlisha. Hata hiyo treatments inatakiwa iwe treament.
Wapiga magoti hamnazo kichwani ni ma empty head a.k.a. tabulalasa .
IMG_20201004_081026.jpg
 
Tundulissu went abroad to sought Medical treatments after an assassination attempt done by unknown peoples in 7/9/2017 ..

Tundulissu is not puppet
English gani hii? Went to sought? Badala ya went to seek. Kujifanya unajua wakati ni mpuuzi.
 
Absolutely not true,Tundu A. Lissu is really Puppet.

1.Uwepo wa Back up ya Wazungu .

Uwepo wa back up ya wazungu kwa kwa Tundu Lissu inaonesha moja kwa moja wanasaidia mtu wanaemtumia.Kila kinachotokea Tanzania (upande wa T.Lissu) basi hawa mabwana Wamekuwa Mstari wa Mbele kumkingia kifua na kumtetea hata pale anapovunja sheria.

2.Uwepo wa Robert Amsterdam.
Historia yake inajieleza yenyewe kumuhusu huyu jamaa.Na Tunaona alichokifanya kipindi hicho katika mataifa kadhaa anaenda kukufanya Tanzania kupitia Kivuli|Akili|upumbavu wa Tundu Lissu kibaraka wake.

3.Kutohubiri amani katika nchi yake.
T.L amekuwa mgombea pekee ambae yupo mstari wa Mbele kutafuta political Violence hata kuishinda ile kiu ya kuomba kura Wananchi wa kitanzania.
Na hapa tunaona katika hawa Mataifa Mengi hawa jamaa hutafuta mtu atakae anzisha vurugu za kisiasa ili wapate upenyo kwa Mgongo wa haki.Kumbe Wanataka kuivuna nchi.

4.Kusapport Mambo ya kishoga.

Maadili na sheria ya Tanzania hairuhusu kabisa vitendo hivi viovu..Hata misingi ya kiimani ya dini zetu imekataa pia.HATA T.LISSU natambua anajua.
Lakini kwa kuwa yupo under influence ya hawa mabwana(wazungu) inabidi akubaliane nao tu.(kwa hili atapata Laana sana na Miungu ya Kiafrika).

Kuweni Makini Ndugu zangu, TUNDU A.LISSU ni kibaraka wa Wazungu.
Na ni Msaliti(traitor) mkubwa wa nchi yake.
Am not supporter wa tundulisu.. but nikuulize tu hizo point za kusadikika ulizoandika hapo?
Hata moja una ushaidi nazo?

Haswa point ya ushoga.. oh anasupport ushoga. yes una ushahid wa kauli yake hata moja au document inayoonyesha kuwa ana support ushoga?

Sion relation iliyopo kati ya robert na TL. Maybe robert na upinzani. But not TL.
Eti sababu Robert ana history ya upinzani.. basi atakuwa anajuana na TL? Based on what? Wapi..? Na kwa evidence ipi?

Ni msaliti ? Realy?How? When alisaliti nchi? With concrete evidence support hoja yako.
 
Back
Top Bottom