Absolutely not true,Tundu A. Lissu is really Puppet.
1.Uwepo wa Back up ya Wazungu .
Uwepo wa back up ya wazungu kwa kwa Tundu Lissu inaonesha moja kwa moja wanasaidia mtu wanaemtumia.Kila kinachotokea Tanzania (upande wa T.Lissu) basi hawa mabwana Wamekuwa Mstari wa Mbele kumkingia kifua na kumtetea hata pale anapovunja sheria.
2.Uwepo wa Robert Amsterdam.
Historia yake inajieleza yenyewe kumuhusu huyu jamaa.Na Tunaona alichokifanya kipindi hicho katika mataifa kadhaa anaenda kukufanya Tanzania kupitia Kivuli|Akili|upumbavu wa Tundu Lissu kibaraka wake.
3.Kutohubiri amani katika nchi yake.
T.L amekuwa mgombea pekee ambae yupo mstari wa Mbele kutafuta political Violence hata kuishinda ile kiu ya kuomba kura Wananchi wa kitanzania.
Na hapa tunaona katika hawa Mataifa Mengi hawa jamaa hutafuta mtu atakae anzisha vurugu za kisiasa ili wapate upenyo kwa Mgongo wa haki.Kumbe Wanataka kuivuna nchi.
4.Kusapport Mambo ya kishoga.
Maadili na sheria ya Tanzania hairuhusu kabisa vitendo hivi viovu..Hata misingi ya kiimani ya dini zetu imekataa pia.HATA T.LISSU natambua anajua.
Lakini kwa kuwa yupo under influence ya hawa mabwana(wazungu) inabidi akubaliane nao tu.(kwa hili atapata Laana sana na Miungu ya Kiafrika).
Kuweni Makini Ndugu zangu, TUNDU A.LISSU ni kibaraka wa Wazungu.
Na ni Msaliti(traitor) mkubwa wa nchi yake.